Mara: Mwalimu Mkuu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la saba

Wanasema Wachungaji watakula madhabahuni sasa Hapa waalimu wameamua wale Madarasani Yani mwendo wa kubaka tu watoto wetu Hivi kweli Hizi Genye mpaka unabaka huna mke??? Mamaee si upige hata nyetooo... Tena siku ya mtihani
 
MKUU WA KAYA NAOMBA UONGEZE MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA MAANA HIZI MOTISHA ZINGINE NI ZA KULAZIMISHA.
MSHAHARA UKITOSHA HATA TOTOZ ATAPATA BILA SHIDA NA HATAFANYA HIVI
Kama walio na huo mshahara, japo wauona kiduchu na wanashindwa kulipa na kupata totoz, maelfu wanao randa bila kazi wanajikimu vipi? Au kuna bodi ya mikopo ya totoz?
 
Yani Mwalimu mkuu anamuingiza mwanafunzi wa kike 13yrs ofisini kupitia dirishani.......

Naye anapita hapo dirishanii...

Huku mlango wa ofisi amefunga yeye mwenyewe kwa nje...

Anambaka huko ofisine.

Noo... This is NOT POSSILE.

HATA WACHAWI HAWAWEZI LIELEWA HILI...
 
Hizi kesi wa walimu kubaka mbona zimekua nyingi sana humu?
Hivi walimu wamekosa kazi? bongo wadada wanajiuza 1,000 wameshindwa wanaenda kubaka watoto, wtf is wrong with these people?
Sielewi....!??!?!!?!!?

Nafukiri Serikali inaajiri wabakaji na sio walimu.
 
Wanasema Wachungaji watakula madhabahuni sasa Hapa waalimu wameamua wale Madarasani Yani mwendo wa kubaka tu watoto wetu Hivi kweli Hizi Genye mpaka unabaka huna mke??? Mamaee si upige hata nyetooo... Tena siku ya mtihani
Nafikiri alimdanganya huyo Mwanafunzi atamuonyesha majibu ya mtihani...
 
This is beyond humman imagination..
Nobody can explain it.

Maybe the witchcraft school of thought can.

It' s hard.! So hard.
When you mention witchcraft, a finger will always be pointed at another person and people will never be held accountable for their actions.
 
When you mention witchcraft, a finger will always be pointed at another person and people will never be held accountable for their actions.
He is being held..
But i'm sure he will soon be free.....
 
hii mbona kama walikubalina, mana mpaka huyo mtoto anapitishwa dirishani means na yeye alikuwa anatoa ushirikiano
 
hii mbona kama walikubalina, mana mpaka huyo mtoto anapitishwa dirishani means na yeye alikuwa anatoa ushirikiano
Vp kama Aliambiwa na Mwl labda kuna kitu amekifungia..mathalani funguo..

Lakini na lenyewe likaingia.

Hivi wanasema alianza kula kabisa au!??
 
Daah sijui ni sheria za wapi hizi ambazo wewe umezisema.. Ubakaji ni ubakaji tuu, Kutoa ushirikiano wakat ulimshika kwa nguvu mwanzo, haiondoi ubakaji.. Pia kutokupiga kelele wakati wa kubakwa hakumaanishi kwamba kuna consent ya mwanamke hapo.. Kila mtu ana hulka yake na ujasiri wake anapokabiliwa na hatari.. Wengine kwa kutishwa au shock tu ile, wanaweza wakatulia na ushirikiano wakatoa, lkn bado ni ubakaji tuu..

Adhabu ni zile zile, kuanzia kifungo kisichopungua miaka 30 jela..

Wewe umeelezea sheria zilivyo na upo sahihi 100%
Mie nime challenge existing laws, sidhan kama umeelewa
Below 14 hata kama kakutongoza na akajisogeza mwenyewe ‘Machinjioni ‘ bado sheria ya ubakaji inakuhusu na hapo ndipo ninapojadili na ku challenge kuwa adhabu zitofautiane na yule anaekaba, kuziba mdomo na kuanza kuparamia
 
mm nashindwa kuelewa, wanawake wote hawa hata ukiwa na buku 2 unalala naye hadi asubuhi, bado unakwenda kumbaka mwanafunzi. Sexy madness
 
Sosoliso Kuna kumbaka mtu na Kuna kuelewana ila umri mdg na pia mwanafunzi Sasa lazma hyo Mambo yatofautishwe
 
Kuna ubakaji kwa mujibu wa sheria ya Ubakaji na kuna ubakaji kwa maana ya kutumia nguvu na ubavu bila ya hiyari ya Mhusika

Adhabu zitofautishwe kidogo

Huyo Binti alimsaidia Makamu Mkuu wa Shule kwny uhalifu huo ndio sababu kelele za kuomba msaada zimepigwa na wanafunzi waliokuwa wanamwagilia bustan sio Binti mwenyewe

Binti akishaanza kuwa na Nyege maana yake yupo tayari kiakili kutaka hayo mambo japo anaweza asiwe tayari kiakili kujua afanye na nani na kwa wakati gani hivyo baadhi ya nyakati wao ndio wanaanza uchokozi ikiwa ni pamoja na kuvaa mavazi ya kindoano doano na kujibidua bidua akiona Mabaharia
Pumbavu kabisa hata kama amekufata mwenyewe huwez lala na mtoto Wa 14 yrs jinga kabisa ,peleka ndan akapige nyeto ,nyamafu kabisa
 
Hizi kesi wa walimu kubaka mbona zimekua nyingi sana humu?
Hivi walimu wamekosa kazi? bongo wadada wanajiuza 1,000 wameshindwa wanaenda kubaka watoto, wtf is wrong with these people?
Wajinga sana wacha waende ndan wakapige nyeto shenzi type
 
Sosoliso Kuna kumbaka mtu na Kuna kuelewana ila umri mdg na pia mwanafunzi Sasa lazma hyo Mambo yatofautishwe

Sheria inamtambua alie na umri wa chini ya miaka 18, hana uwezo wa kuelewa consequences ya maamuzi yake.. Ndo hapo mabaharia mnapoombwa kutomgusa kwanza mpaka aive kiakili, yaani afikishe 18..
 
Back
Top Bottom