Mara: Mwalimu Mkuu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la saba

Ryan Herman

Member
Jul 26, 2019
42
46
Polisi Mkoa wa Mara wanamshikilia Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Bwai A, Wilaya ya Musoma Lazaro Mmanga, kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 14 wakati akijiandaa kufanya mtihani wa Taifa.

Kamanda wa Polisi Mkoa Juma Ndaki amesema Mwalimu huyo alimpitisha Mwanafunzi dirishani na kumuingiza Ofisi ya Mwalimu Mkuu kisha kufunga mlango wa kutokea na yeye akazunguka dirishani na kuingia ndani ya ofisi hiyo.

Amesema baadhi ya Wanafunzi waliokuwa wakimwagilia maua pembeni waliona tukio hilo wakatoa taarifa kwa Viongozi wa Kijiji na Mwalimu akakamatwa akiwa na Mwanafunzi Ofisini na kufikishwa kituoni.

Ndaki amesema baada ya kufikishwa kituoni baadhi ya Wananchi walivamia Kituo hicho kwa lengo la kutaka kumuua na kukazuka vurugu zilizosababisha gari la Polisi kupigwa mawe na kunusurika kuchomwa moto, Watu 42 wanashikiliwa kutokana na vurugu hizo.
 
Kuna ubakaji kwa mujibu wa sheria ya Ubakaji na kuna ubakaji kwa maana ya kutumia nguvu na ubavu bila ya hiyari ya Mhusika

Adhabu zitofautishwe kidogo

Huyo Binti alimsaidia Makamu Mkuu wa Shule kwny uhalifu huo ndio sababu kelele za kuomba msaada zimepigwa na wanafunzi waliokuwa wanamwagilia bustan sio Binti mwenyewe

Binti akishaanza kuwa na Nyege maana yake yupo tayari kiakili kutaka hayo mambo japo anaweza asiwe tayari kiakili kujua afanye na nani na kwa wakati gani hivyo baadhi ya nyakati wao ndio wanaanza uchokozi ikiwa ni pamoja na kuvaa mavazi ya kindoano doano na kujibidua bidua akiona Mabaharia
 
MKUU WA KAYA NAOMBA UONGEZE MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA MAANA HIZI MOTISHA ZINGINE NI ZA KULAZIMISHA.
MSHAHARA UKITOSHA HATA TOTOZ ATAPATA BILA SHIDA NA HATAFANYA HIVI
 
Kama alikuwa ameshaanza kumpiga mashine hapo ndio atakuwa na kosa kama ilikuwa hajaanza kesi amna.
 
Polisi Mkoa wa Mara wanamshikilia Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Bwai A, Wilaya ya Musoma Lazaro Mmanga, kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 14 wakati akijiandaa kufanya mtihani wa Taifa.

Kamanda wa Polisi Mkoa Juma Ndaki amesema Mwalimu huyo alimpitisha Mwanafunzi dirishani na kumuingiza Ofisi ya Mwalimu Mkuu kisha kufunga mlango wa kutokea na yeye akazunguka dirishani na kuingia ndani ya ofisi hiyo.

Amesema baadhi ya Wanafunzi waliokuwa wakimwagilia maua pembeni waliona tukio hilo wakatoa taarifa kwa Viongozi wa Kijiji na Mwalimu akakamatwa akiwa na Mwanafunzi Ofisini na kufikishwa kituoni.

Ndaki amesema baada ya kufikishwa kituoni baadhi ya Wananchi walivamia Kituo hicho kwa lengo la kutaka kumuua na kukazuka vurugu zilizosababisha gari la Polisi kupigwa mawe na kunusurika kuchomwa moto, Watu 42 wanashikiliwa kutokana na vurugu hizo.
Polisi Mkoa wa Mara wanamshikilia Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Bwai A, Wilaya ya Musoma Lazaro Mmanga, kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 14 wakati akijiandaa kufanya mtihani wa Taifa.

Kamanda wa Polisi Mkoa Juma Ndaki amesema Mwalimu huyo alimpitisha Mwanafunzi dirishani na kumuingiza Ofisi ya Mwalimu Mkuu kisha kufunga mlango wa kutokea na yeye akazunguka dirishani na kuingia ndani ya ofisi hiyo.

Amesema baadhi ya Wanafunzi waliokuwa wakimwagilia maua pembeni waliona tukio hilo wakatoa taarifa kwa Viongozi wa Kijiji na Mwalimu akakamatwa akiwa na Mwanafunzi Ofisini na kufikishwa kituoni.

Ndaki amesema baada ya kufikishwa kituoni baadhi ya Wananchi walivamia Kituo hicho kwa lengo la kutaka kumuua na kukazuka vurugu zilizosababisha gari la Polisi kupigwa mawe na kunusurika kuchomwa moto, Watu 42 wanashikiliwa kutokana na vurugu hizo.
ualimu imekuwa ni kada ya kihuni sana,matukio yanayowahusisha watu wa taaluma hii ni ya kinyama na kijinga sana,ya kipumbavu mno,hawa ndyo wanashinda na watoto wetu siku tano za wiki,je,,,,watt wetu wako ktk mikono salama???wapumbavu sana
 
Baharia bora ni yule anayenajisi na kulawiti watoto wadogo!

Hizo ndizo sifa za "baharia" kwa mujibu wa watanganyika ambao kimsingi robo tatu yao ni ILLITERATES!
 
Hizi kesi wa walimu kubaka mbona zimekua nyingi sana humu?
Hivi walimu wamekosa kazi? bongo wadada wanajiuza 1,000 wameshindwa wanaenda kubaka watoto, wtf is wrong with these people?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom