Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 4,318
- 10,022
English hiiMen only
English hiiMen only
Baharia bora ni yule anayenajisi na kulawiti watoto wadogo!
Hizo ndizo sifa za "baharia" kwa mujibu wa watanganyika ambao kimsingi robo tatu yao ni ILLITERATES!
KiswanglishEnglish hii
Wewe wasema.Huyo ni haramia sio baharia
Hata makanisani haya mambo yapo sana ni tabia ya mtu mmojammoja ambaye anaweza kuwa katika kada yoyote na kokote..ualimu imekuwa ni kada ya kihuni sana,matukio yanayowahusisha watu wa taaluma hii ni ya kinyama na kijinga sana,ya kipumbavu mno,hawa ndyo wanashinda na watoto wetu siku tano za wiki,je,,,,watt wetu wako ktk mikono salama???wapumbavu sana
Huo si ndio wanaita MFADHAIKO eti mpenzi eeh?
I guess.Men only
here is need for them to undergo mental health checkups before they are allowed to take up such a noble profession .Ivi walimu siku izi wameshikwa nann???
Kaa na mwanao umfundishe siku tano na usipeleke kwa hao wapumbavu mkuu mbona simple tuualimu imekuwa ni kada ya kihuni sana,matukio yanayowahusisha watu wa taaluma hii ni ya kinyama na kijinga sana,ya kipumbavu mno,hawa ndyo wanashinda na watoto wetu siku tano za wiki,je,,,,watt wetu wako ktk mikono salama???wapumbavu sana
Pelekeni dangulo mara. Huku igombe yameshafunguliwa hivyo hatuna tatizoMasela wa mikoan manakwama wapi duuh....
Machangu hakuna tulete danguro huko
It's true!!!T
here is need for them to undergo mental health checkups before they are allowed to take up such a noble profession .
Mashuleni,majumbani ,makanisani,misikitini kote kuna haya mambo,la maana ni kuwajengea watoto wetu uwezo wa kupambana na hawa wachafuzi kwa kutoa taarifa muhimu zozote kuhusu haya mambo ,pia kuwa karibu nao na kuwawekea mazingira rafiki ili wawe wazi kwetuHata makanisani haya mambo yapo sana ni tabia ya mtu mmojammoja ambaye anaweza kuwa katika kada yoyote na kokote..
Kumbeeee ndio maana wanasema Walimu wa kijaniii ...... Ok tumejua yote hayoPolisi Mkoa wa Mara wanamshikilia Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Bwai A, Wilaya ya Musoma Lazaro Mmanga, kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 14 wakati akijiandaa kufanya mtihani wa Taifa.
Kamanda wa Polisi Mkoa Juma Ndaki amesema Mwalimu huyo alimpitisha Mwanafunzi dirishani na kumuingiza Ofisi ya Mwalimu Mkuu kisha kufunga mlango wa kutokea na yeye akazunguka dirishani na kuingia ndani ya ofisi hiyo.
Amesema baadhi ya Wanafunzi waliokuwa wakimwagilia maua pembeni waliona tukio hilo wakatoa taarifa kwa Viongozi wa Kijiji na Mwalimu akakamatwa akiwa na Mwanafunzi Ofisini na kufikishwa kituoni.
Ndaki amesema baada ya kufikishwa kituoni baadhi ya Wananchi walivamia Kituo hicho kwa lengo la kutaka kumuua na kukazuka vurugu zilizosababisha gari la Polisi kupigwa mawe na kunusurika kuchomwa moto, Watu 42 wanashikiliwa kutokana na vurugu hizo.
Mi nadhani kuna nyege ambazo zinakuwaga on the brink of mental illness.
Who can explain this?
Kuna ubakaji kwa mujibu wa sheria ya Ubakaji na kuna ubakaji kwa maana ya kutumia nguvu na ubavu bila ya hiyari ya Mhusika
Adhabu zitofautishwe kidogo
Huyo Binti alimsaidia Makamu Mkuu wa Shule kwny uhalifu huo ndio sababu kelele za kuomba msaada zimepigwa na wanafunzi waliokuwa wanamwagilia bustan sio Binti mwenyewe
Binti akishaanza kuwa na Nyege maana yake yupo tayari kiakili kutaka hayo mambo japo anaweza asiwe tayari kiakili kujua afanye na nani na kwa wakati gani hivyo baadhi ya nyakati wao ndio wanaanza uchokozi ikiwa ni pamoja na kuvaa mavazi ya kindoano doano na kujibidua bidua akiona Mabaharia
This is beyond humman imagination..Mi nadhani kuna nyege ambazo zinakuwaga on the brink of mental illness.
Who can explain this?