Watu wanafanya mauaji kipuuzi..wee una Hela unaenda kuua mtu kama Kondoo siupumbavu huo....Hatareee...
kosa akilofanya ni kumuacha housegirl anapeta na kutumia namba yake ya simu..!
damu ya mtu haimwagiki bure asee lazima itasaka walioimwaga hadi wote waisotee...
Yale mateso ya kubaka na kuchinja binadamu hadi kukata roho yaliashiria kisasi kizito
Mhhhhhh mambo yamefikia patamu.Kuna uwezekano maana naona na gari walilotumia wauaji limekamatwa nafikiri kwa sasa litakuwa limefikishwa Dar. Lilichukuliwa CMC ni Toyota Hilux rangi ya bluu
Usingeandika kabisa mkuu.Hapo jibu liko wazi ila Naomba ninyamaze
Watu wanafanya mauaji kipuuzi..wee una Hela unaenda kuua mtu kama Kondoo siupumbavu huo....
Mkuu ni PM.. jibuHapo jibu liko wazi ila Naomba ninyamaze
Yaah...nikweli ndio maana nikasema...Mtu mwenye Hela anapotaka kufanya Mauaji anajiuliza Mara nyingi ukichukulia kuna Issue bado iko HOT Mahakaman angetumia Gharama yyt kutafuta watu Proffessinol sasa unaenda kuchukua sijui wavuta Unga daah...Nway ila ukweli unabaki Damu ya MTU inaliaJuu ya hilo, mimi toka mwanzo niliamini lazima hao watu watakuwa waliacha trail ya ushahidi.
Wasiwasi ulikuwa na bado upo kwenye weledi wa wapelelezi wa Kitanzania.
Naamini kabisa hao wauaji waliacha traces za DNA.
Kwa namna huyo binti alivyouwawa, ingekuwa kwingine naamini tayari kungekuwepo na suspects ambao ama wangekuwa in custody au wangekuwa wanatafutwa.
Lakini kibongobongo ndo hivyo tena...persons of interest ni weeengi!
Always follow the money. ..huyo atakaye faidika ndiye
Aiseeeeeeeee kumbe mimi jasusi...sikujua. ...duh kazi kweli kweli hahaha. ... umenichekesha sanaAisee wewe utakuwa jasusi
Police wakiamua kuku trace wanajua a to z aisee na hapo hawajakurupuka time will tellPolice huwa hawakurupuki kwenye swala zito kma hili....kuna shida tena kubwa tu kwa mariam
Police wakiamua kukufatilia unadakwa tu kiulaini aisee tusubirie uchunguzi zaidi wote watadakwa tu kiulaini, kuua MTU damu huwa haiendi hivi, sijui kwanini walimuua aneth vibaya hivo. Hata ka aneth hayupo I wish atendewe haki yake aisee.Police ni mwanadamu bwana sio mungu mpaka akosee kukamatwa kwa mtu mwingine ambaye ni wa karibu naye haimaanishi na yeye ndio kahusika miriam anajuana na watu wengi sanaaaaa
Tena mawasiliano yote hurekodiwa aisee usipàange deal kwa simu. Kuna watu walikuwa wanatorosha kitu ila walienda kudakiwa mpakani.Dada mariam amekutwa anawasiliana na housegirl sana.hata kabla ya anneth kuuawa aliongea na housegirl zaidi ya mara 10.....jiulize tu alikua anaongea nae nini kila cku
Hao watu roho zao za kishetani, maskini aneth alikimbilia had chooni wakavunja mlango, ka haitoshi na kubaka juu, Dada ake alihojiwa na Gea habibu nikashindwa kuvumilia aisee. Kuna watu waovu aisee.Polisi wakosee wapatie haituusu.... Ili mradi ukweli ujulikane tu. Wangepatia kama nao wangekuwepo kwenye tukio siku hiyo. Hivi wewe ubakwe na watu sio mtu na kama haitoshi uchinjwe!!!!!! Kweli!!! Ni adhabu Kali kiasi gani binadamu kumpa mwenzake. Natamani nawewe ungechukuliwa tu kuliko kuendelea kua hapa na vi utetezi vyako.
haya binti housegal yuko dar kwa anety,huyu mama saimon yuko arusha alimshauri kivipi ukichukulia huyo housegal aliletwa kuja kufanya kazi kwa anety akitokea kwao anety?,connection ipo kweli kati ya mama saimon na huyu housegal?.Sasa mkuu kama Mariam ametajwa na house girl polisi wafanyeje?
Alikua anaongea na housegirl nini kila cku cmu zaidi ya kumi anampigia.hata cku ya mauaji aliongea nae zaidi ya cmu kadhaa inaonekana nyie hamjui chochote...hata hawara yke magoma yuko ndaniPolice ni mwanadamu bwana sio mungu mpaka akosee kukamatwa kwa mtu mwingine ambaye ni wa karibu naye haimaanishi na yeye ndio kahusika miriam anajuana na watu wengi sanaaaaa
Aiseeeeeeeee. ..kazi kweli kweliAlikua anaongea na housegirl nini kila cku cmu zaidi ya kumi anampigia.hata cku ya mauaji aliongea nae zaidi ya cmu kadhaa inaonekana nyie hamjui chochote...hata hawara yke magoma yuko ndani
Kazi kwelikweli police wamkamate bila sababu si itakua ujuha huo.cnc ameuawa upelelezi umefanyika n yeye kukamatwaAiseeeeeeeee. ..kazi kweli kweli
?????????????????Kazi kwelikweli police wamkamate bila sababu si itakua ujuha huo.cnc ameuawa upelelezi umefanyika n yeye kukamatwa