TUNATUBU WATANZANIA WOTE MWENYE ENZI MUNGU ATUREHEMU MILELE YOTE AMENWatanzania wanajua umepata wapi mali , watanzania wanajua huwa unapendelea kufikia hotel au guest gani ukiwa safarini kikazi , watanzania wanajua umekula nin leo , watanzania wanajua gari unalotumia la mkopo umeazima au umenunua kwa mtu na hela hujamalizia, watanzania wanajua una sh ngapi bank ................ yaaani
Watanzania ni shida
Ya mwisho
Watanzania wepesi wa kusikia jambo bila hata kulifanyia uchunguzi na kulisambaza kwa watu huku wa kiapa kuwa ni kweli na wenyewe walikuwepo kwenye tukio. Hao ndoo watanzania
Mtu yuko bussy kufatilia mambo yasiyo yake anayasahau yake, mtu ana mcheka mtu fulani kuwa hana pesa wakati yeye mwenyewe hafiki kiwango cha huyo anaye mcheka.
Mtanzania ana furahia matatizo ya mwenzake.
Asante
Angalizo
Hii coment haihusiani na mada inayoendelea ila nimemjibu mgirik
Ehh MOLA wangumke wa sedekia aliolewa na Houseboy wake?
dah lazima Erasto ulichepuka nae....una uchungu sana hizo arv imezijuaje kama nawe hutumii? Pole sana dadaHahaha I was zea inside out........ Kulikuwa Na mawe I mean madini kila mahali.... Bastola bunduki pesa.. Arv Rip erasto msuya my big boss....
And I was there young And innocent ...
. Na ni kweli alikuwa Na wanawake kwa kiwango cha kutisha
u remind me of him[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
laiti kama ingekuwa saa hii nadhani Na mm ningekuwa Na mm nagombea mali saa hizi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
Sasa ww tukana weee udhani inakusaidia huo ndo ukweli....... Wenyewe, Kuna Hawa watu wanasema ni sijui shangazi zake Na wake zake humu ni wapuuzi Na wanabisha ujinga I dare....... Kusema haya yoote sababu I was there kama alikukula au alikuwa mkeo jipange ukitukana hapa haikusaidii......huyu baba sai angefufuka hapa asingebisha ninayo sema zaidi angenambia nikuashe na pesa angenipa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah
[emoji85] [emoji85]
Mkuu ulichosema ndio ukweli huyu mama anachezeshwa mchezo usiomhusu kabisa. Lipo shinikizo kutoka sehemu Fulani. Ninachohisi ni kwamba kuna taasisi imeahidiwa pasu kwa pasu iwapo watafanikisha hii mission.Mie bado naendelea kuamini huyu mm simon yuko framed na watu wauaji aonekane kama ni yeye anahusika.Swali kubwa la msingi polisi wanatakiwa wajiulize afanye haya mauaji ili apate faida gani haswa?? Something is not right somewhere, something fishy.
Kisheria alishinda na ndugu hawakuridhika na ushindi huo,Ukifuatlia sana na narudia tena aslimia Zaidi ya 90 huyo mama sioni sababu ya yeye kumua Wifi yake, mali ni zake alishashinda na kesi hakamuue kwa sababu gani haswa?
Are sure kuwa ni mali!Halafu hao ndugu hawariziki kaka yao alipokufa aliacha urithi na Mali walipewa ila hawariziki wanataka Mali zote alizoacha kaka yao hawaangalii kama kaka yao ameacha watoto 4 na mjane tangu kaka yao kafa mama saimon haishi kwa raha wala amani ni kumtukana vitisho kibao na ndio maana wanakufa juzi huyo dada yake anathe Joyce kafiwa na mtoto wake wa kumzaa na huyo atasema mama saimon ndio kamuua wamuache mama wa watu aishi maisha yake kwa amani na watoto wake
Kama sio mdogo wake ni dada yake! Sio kwa povu hiloMary unaukaribu wowote na mama saimon?? n kama unao jitahidi kuwaleza watu unachokijua kuhusu mama saimon mana yawezekana wanayoongea watu wengine humu ndani ni upotoshaji,labda utusaidie wewe
Nawasilisha kwako!!
Uyo uliemnukuu katoa maelezo angalau yanajenga taswira fulani hivi ingawa amekiri kuwa na uhusiano wa karibu na huyo mama.Are sure kuwa ni mali!
Kwa nini msichana wa kazi aondolewe halafu mauaji yafanyike kwa mtu aliyekuwa mbele kuwajua wauaji wa kakake?
Kwa nini amshaur msichana wa kazi aondoke (??????????????)
Kwa nini alimshaur msichana wa kazi aondoke? Kwa nini hataki kujua wauaji wa mme wake? Tuanzie hapoYes nina ukaribu naye ni aunt yangu na namjua kuliko hao wanaoongea vitu wasivyovijua kwa kutaka tu kushabikia kwa sababu wameona imetangazwa au kusikia
Kama mwanaye halafu hajui hata nyumba anayoishi iko wapi?Na nyie hata wewe ndugu wa mama saimoni mnafaidi, hakuna mazuri kweli unaweza ongelea ya ndugu wa Erasto?
Mara anetj hawezi kuuliwa na mama sai, sababu alimlea vizuri ka mwanawe...halafu unakuja ooooh ndugu wote sijui nini..hata aneth haumtaji kabisa tena.
Nimeanza kupata picha ya mali, inawazingua upande wenu pia. Huwezi kuponda fam ya Erasto na mama yake na wanae kihivi...Eti?
Emdelea kuandika raha kukusoma
Kula kwa zamu ndio tatizo sasa hivi ndgu wa mwanamke ndio wamejazana hpo sgKama sio mdogo wake ni dada yake! Sio kwa povu hilo
Kama mwanaye halafu hajui hata nyumba anayoishi iko wapi?
Punguzeni kutisha wenzenu jamani... yani humu kila mtu anajifanya usalama, usalama huo vepeeee...???Niftah usihofu tunaitaji mwanga tu NA kusaidia mawazoyako KWENYE HII kesi...nimejaribu kuangalia watoa hoja we n mtumuhimusana kama awajui
Na ndo kinacho watesaKula kwa zamu ndio tatizo sasa hivi ndgu wa mwanamke ndio wamejazana hpo sg
Ni kweli kabisa, tabia ni hulka ya mtu na sio kabila.Kuna watu wanakera sana.. Yaani matatizo yao binafsi wanataka kuyahusisha na makabila.. Alafu ajabu makabila mengine yakiua hawasemi chochote, ila akiwa yeyote wa Kaskazini utasikia ndio walivyo, ndio kawaida yao. Hivi yule Housegirl aliyechinja kule Sinza ni Mpare au Mchaga?? Angekuwa ni Mpare au Mchagga tusingepumua humu