Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,223
HUYO MWANAMKE MAMA SAIMON NIMEFANYA KAZI NAYE NA NINGESHANGAA KAMA ASINGEHUSIKA NAMJUA VIZURI TABIA ZAKE MI ALISHAWAHI KUNIKAMATIA BASTOLA................ WACHA AISOME NAMBA.KWANZA MUMEWE ALIVYOFARIKI HATA KABLA MACHUNGU HAYAJAISHA ALITANGAZA NDOA NA MTU MWINGINE NA ERASTO HAKUWA MUME WA KWANZA ,,,,,,, ALIOLEWA MUME AKAWA HANA MKWANJA WA KUTOSHA ERASTO KAJA KAMUOA.................
Nifah,
It is possible, in law we say and believe that; when doubt creates doubt.....doubt prevails. Kuna uwezekano mkubwa Vifo vya hawa watu wa2 mtu na kaka yake, beyond readonable doubt vinatokana na huyu mwana mama mke wa marehemu Erasto.
Kwa kuwa ni mwanamke sina wasi wasi atasema tu.
Damu ya mtu haiendi bure na kwa mwanamke hata awe jasiri vipi hawezi vumilia hivi sasa anajuta na kutahayari na kulia kwa kusaga meno kwa nini alifanya.
Police wazingatie ushahidi wao kwa kuchukua statement of alibi yake ushahidi wa kuunga mkono tayari wanao ambao kisheria unaitwa " circumstantial evidence" ambao ni ule wa kutajwa na mshitakiwa mwenza ambao unatosha kumtia hatiani prosecution wakiweza kuupangilia vizuri. Vile vile sina shaka police wamepata ushahidi wa kutosha kupelekea kumkamata.
Huyu hakika ni binadamu mbaya kabisa!
Unaua mumeo!
Ametafuta kwa ujuzi na mafaniko muishi maisha mazuri unamuua! Ule hiyo pesa na nani?
Kwa mipango ya mungu labda ale mtoto yeye hatakula! Imekuwa Mali ya shetani kwake.
Duuu! Ww ni mpelelezi mzuri, au umo? - Ubarikiwe sana.Nasikia hakuhudhuria maziko ya wifi yake (Marehemu Aneth).
Najiuliza...Aneth ndio alikuwa mstari wa mbele katika kesi ya mauji ya kaka yake.
Kama wifi yake huyo anahusika katika mauaji yake (Aneth) probably anahusika katika mauaji ya mumewe (Erasto)
Hatari sana.
Wenye akili kubwa hufanyia kazi kila kiashiria,hata kile ambacho kwa akili za kawaida ni cha kupuuzwa.Nifah,
It is possible, in law we say and believe that; when doubt creates doubt.....doubt prevails. Kuna uwezekano mkubwa Vifo vya hawa watu wa2 mtu na kaka yake, beyond readonable doubt vinatokana na huyu mwana mama mke wa marehemu Erasto.
Kwa kuwa ni mwanamke sina wasi wasi atasema tu.
Damu ya mtu haiendi bure na kwa mwanamke hata awe jasiri vipi hawezi vumilia hivi sasa anajuta na kutahayari na kulia kwa kusaga meno kwa nini alifanya.
Police wazingatie ushahidi wao kwa kuchukua statement of alibi yake ushahidi wa kuunga mkono tayari wanao ambao kisheria unaitwa " circumstantial evidence" ambao ni ule wa kutajwa na mshitakiwa mwenza ambao unatosha kumtia hatiani prosecution wakiweza kuupangilia vizuri. Vile vile sina shaka police wamepata ushahidi wa kutosha kupelekea kumkamata.
Huyu hakika ni binadamu mbaya kabisa!
Unaua mumeo!
Ametafuta kwa ujuzi na mafaniko muishi maisha mazuri unamuua! Ule hiyo pesa na nani?
Kwa mipango ya mungu labda ale mtoto yeye hatakula! Imekuwa Mali ya shetani kwake.
Wewe nae ndio nini kupotea hivyo?Umbea kunogaaa, looh
Haswaaaaa "Miriam"
Hii ndio faida ya kuwa na ukaribu na hao watu mkuu.Duuu! Ww ni mpelelezi mzuri, au umo? - Ubarikiwe sana.
Duuu! Hii nayo kali! Nimeipenda lakini punguza maneno makali Mkuu, yanayokaribia matusi, hoja zako ni mali. (SAMAHANI SANA MKUU).Wenye akili kubwa hufanyia kazi kila kiashiria,hata kile ambacho kwa akili za kawaida ni cha kupuuzwa.
Nashukuru umenielewa mkuu...
Wapo wapumbavu wasiyoijua nguvu ya viashiria,achana nao.
Sio kila mtu amejaaliwa karama ya kuitumia akili aliyonayo.
Hakika tunatofautiana sana ktk matumizi ya akili.
Nimeandika kwa kutumia busara sana mkuu,mhusika ataelewa kwa nini nimemuambia vile.Duuu! Hii nayo kali! Nimeipenda lakini punguza maneno makali Mkuu, yanayokaribia matusi, hoja zako ni mali. (SAMAHANI SANA MKUU).
Spay!!!???Sure n
akumbuka mkuu....wewe ni zaidi ya Spay
Yes nina ukaribu naye ni aunt yangu na namjua kuliko hao wanaoongea vitu wasivyovijua kwa kutaka tu kushabikia kwa sababu wameona imetangazwa au kusikia
Karibu jf kumtetea mke wa marehemu. Unaandika kwa kuonyesha umekunwa haswa... Si msubiri kama sio yeye watamuachia. Wewe utakuwa mmoja wa watuma msg kwa kimwambi.
Hakuna viashiria vyovyote alivyokutwa navyo mpaka hao police hawasemi chochote na wamechukua magari yake 2 sasa magari yake na mauwaji yanahusiana na nn
Wamarekani wana msemo mbaya unasema: "once a woman kills, she becomes a serial killer"Nifah,
It is possible, in law we say and believe that; when doubt creates doubt.....doubt prevails. Kuna uwezekano mkubwa Vifo vya hawa watu wa2 mtu na kaka yake, beyond readonable doubt vinatokana na huyu mwana mama mke wa marehemu Erasto.
Kwa kuwa ni mwanamke sina wasi wasi atasema tu.
Damu ya mtu haiendi bure na kwa mwanamke hata awe jasiri vipi hawezi vumilia hivi sasa anajuta na kutahayari na kulia kwa kusaga meno kwa nini alifanya.
Police wazingatie ushahidi wao kwa kuchukua statement of alibi yake ushahidi wa kuunga mkono tayari wanao ambao kisheria unaitwa " circumstantial evidence" ambao ni ule wa kutajwa na mshitakiwa mwenza ambao unatosha kumtia hatiani prosecution wakiweza kuupangilia vizuri. Vile vile sina shaka police wamepata ushahidi wa kutosha kupelekea kumkamata.
Huyu hakika ni binadamu mbaya kabisa!
Unaua mumeo!
Ametafuta kwa ujuzi na mafaniko muishi maisha mazuri unamuua! Ule hiyo pesa na nani?
Kwa mipango ya mungu labda ale mtoto yeye hatakula! Imekuwa Mali ya shetani kwake.
Na pia huyo mama saimon hajui hata nyumba ya anathe ipo upande gani hata huyo house girl hamjui ni kweli wale wanataka Mali tu maana wameshachukua magari yake range Rover& Ford Ranger magari ya bei rahisi wameacha eti wanasema wanaenda kuyachunguza hayo magari isitoshe wamemficha hawataki aonenane hata na mwanasheria wake au ndugu zake mpaka Leo hajulikani yupo kituo gani na walienda nyumbani kwake kuchunguza wameondoka na cheni zake za gold, viatu na nguo zake eti wanaenda kuzichunguza kama hawana wanachoficha kwann wasimruhusu kuonana na mwanasheria wake na ndugu zake wanamtesa tu na hiyo familia unamsingizia tu coz mama saimon hajaolewa na wala hawezi kuolewa coz mume wake alishasema kwenye wosia hataki mke wake aolewe akiolewa atafutwe msimamizi wa Mali mwingine wangemuacha aishi kwa amani na watoto wake kwasababu hakumkuta mume wake tajiri aliolewa akamkuta Ana maisha ya kawaida amevumilia mengi mpaka kufika hapo alipo
Mama saimon hajaolewa na hao ndugu hata wakipewa Mali hawatawasaidia watoto wa kaka yao coz walishawakana kuwa hawawatambui kama watoto wa familia wakipewa hizo Mali watoto wa marehemu watateseka na pia erasto alitafuta Mali kwa ajili ya familia yake mkewe na watoto na sio ukoo mzima wa wasuya mirathi yao walishapewa Mali zilizobaki erasto aliandika ziwe chini ya uangalizi wa mke wake kwa ajili ya watoto wake
Amen my friendHaya sawa.
Hayo ni maagano ya familia yao ya wasuya wala mama saimon hakushiriki ni kweli antuja alikuwa anatembea na kaka yake na hayo maagano yao itakuwa wanayaendeleza ndio maana wanakufa na wewe chunguza tarehe aliyokufa erasto ndio aliyokufa anathe
Asante kwa picha inatia uchungu. ....èhhhh MOLA wangu niepushe na majanga kama haya. ....nifundishe nipitite katika kweli yako mimi na kizazi changu na TANZANIA yangu kwa ujumla. ...AMEN RANi August 9, 2016 ambapo stori inayochukua headlines kwenye magazeti ya Tanzania ni kuhusiana na kukamatwa kwa mke wa marehemu wa bilionea Erasto Msuya.
Kwa mujibu wa gazeti la Tanzania Daima limeripoti kwamba Miriam Msuya alikamatwa
juzi na Jeshi la Polisi nyumbani kwake Sakina Arusha kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam kwa uchunguzi zaidi kuhusu tuhuma za mauaji ya Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya.
Gazeti la Tanzania Daima leo August 9 2016 limeripoti kuwa mke wa Msuya alikamatwa baada ya msichana wa kazi wa marehemu Aneth Msuya kumtaja kuhusika. Mfanyakazi huyo wa ndani ni mmoja kati wa watu wanaoshikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji
hayo.
Sasa millardayo.com & Ayo TV imempata kamanda wa polisi Arusha Liberatus Sabas na kayaongea haya;
"Nadhani kama mtakuwa mnakumbuka hilo tukio lilitokea jiji Dar es Salaam
kwahiyo hapa baada ya uchunguzi kufanyika jeshi la Polisi likamkamata mke wa marehemu Erasto Msuya ambae ni Miriam Msuya na kusafirishwa Dar es Salaam kwa ajili ya uchuguzi wa kina, alikamatwa Alhamisi iliyopita. "
========
View attachment 379778
View attachment 379779
Zuri...what's good?
Unasema wamsubiri kama siyo yeye watamwachia...well, kwa upande mmoja hiyo ni kweli lakini kwa upande mwingine si rahisi.
Hapa tupo kwenye court of public opinion na ndo maana unaona wengine tayari washatoa mikataa yao na wengine wanashindana kutoa nadharia njama kwa kadri ya uwezo wa imaginations zao.
Kwa hiyo acha tu huyo dada naye atoe utetezi wake.
Kwa kawaida kiwango cha ithibati katika mahakama ya maoni ya watu ni kutajwa tu kwa namna moja ma nyingine.
Lakini kwenye mahakama ya sheria kiwango cha ithibati ni tofauti kabisa.