Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya mkuu
Mapenzi kwao siyo diri shekeli ndiyo bigdeal..! Mpare, mchaga, muarusha, mumeru ata wamburu ni mafedhuli sana hawa wamama[emoji23] [emoji23]
 

Za gizani zile......masharti mpaka mfanye mapenzi na dada..
Dada kashiriki kwa siri..mke kashiriki kwa dhahiri
kweli hiyo vita ni kubwa.
na dunia ina mambo kama wasemavyo watu pori..[emoji87] [emoji87]
 
hata ivo mtuhumiwa wa ile kesi ya mauaji ya erasto msuya alifutiwa mashtaka ya mauaji hayo na DPP kwa wkati ule elieza felishi.ila malipo APA APA duniani naamini kwa wakati huu ao waliohusika kwa aneth sheria itafanya kazi yake
Jaji Feleshi aliiondoa kesi mahakamani baada ya wapelelezi kuvuruga ushahidi, aligundua kuna hila na pesa inatembea akaiindoa kesi na akaagiza upelelezi upya na hivyo kesi kufunguliwa upya, asingefanya vile serikali ingeshindwa asubuhi tu.
 
yeah name nimehisi hilo, yawezekana aliona huyo ndio kikwazo cha kuipata mali kama alivyokusudia. Let wait maana yaweza kuwa katajwa tu kwa chuki binafsi
Kwanini ataje kwa chuki binafsi.. situation zote zinaonyesha kuna kitu kahusika nacho, kwann asihusike katika kumzika wifi yake? huoni kuna tatzo hapo! na kwann atajwe yeye? lazma kutakua kuna kitu, kama hajahusika basi kuna kitu anajua
 
Za gizani zile......masharti mpaka mfanye mapenzi na dada..
Dada kashiriki kwa siri..mke kashiriki kwa dhahiri
kweli hiyo vita ni kubwa.
na dunia ina mambo kama wasemavyo watu pori..[emoji87] [emoji87]

mmmmh...
 
Wana roho mbaya km wasomali! Je una uhakika km wasomali wana roho mbaya
 
Haya makabila mawili (sitaki kuyataja) ni shida sana, wanatamaa sana ya hela kwa waume zao, Mkumbuke pale arusha Mianzini Ilkiurei kuna mkaka alikuwa mfanyabiashara wa madini jamaa alikuwa mhaya aliuwawa hivyohivyo kwa bastola, pale arusha Moshono tena jamaa mwingine aliponea kuuwawa baada ya bodaboda 2 kumtokea na kumpa hela ambazo mkewake aliwapa ili wammalize kabisa jamaa alimshitaki mkewe na kpelekwa mahabusu. sasa pateni picha na hii ya Erasto msuya aliuwawa na bodaboda, wanawake acheni tamaa. Halafu hawa wanawake wanatabia moja hawataki kuzaa sana na ww wanakwambia mzae mtoto 1 tu au 2 tu wanamipango wanayojua wao, wito kwa wafanya biashara wa madini mzalishe mwanamke hadi mayai yote yaishe tumboni hata 10 azae tu na uwe na mke wa pili ajue kabisa atakoma ubishi wa mchezo na akili wanazo fundishwa, haya makabiala hatari sana, akikataa piga chini maana sio dhamana kwako na kwa wazaziwako.
 
ni mtu wawapi huyo mwanamke? nyie mnaoaa angalieni na wanawake wa kuoa sio mnaoaoa tu
 
Kisasi ni hatari sana nikishajua mchezo huo upo kwenye familia au ukoo au kwa marafiki bora nikache nchi!
 
Naomba nikujibu kwa upole kwamba kulikuwa na makosa kwenye hiyo post yake , nikaliona kosa nikamweleza kupitia reply hii naye akaliona na kulirekebisha
Nitakuwekea uone ni nani kakurupuka kati yangu mimi na wewe
GT achana nao hao wameamua tu kukuzingua ukasirike
 
Kugawana mali inawezekana,kwanini mtu asizungumzie kugawana mpaka aue?mwishowe wote hawatazila hizo mali,wamachame wameacha wapare ndiyo hatari.
Inakuwa hadithi ya"MTAKA YOTE KWA PUPA,HUKOSA YOTE"
Unavyohukumu ndugu unakijua chanzo?
 
nhahahhahaaa
 
Kwanini ataje kwa chuki binafsi.. situation zote zinaonyesha kuna kitu kahusika nacho, kwann asihusike katika kumzika wifi yake? huoni kuna tatzo hapo! na kwann atajwe yeye? lazma kutakua kuna kitu, kama hajahusika basi kuna kitu anajua
Story nzima inaonesha tangu afariki kaka wa marehemu familia imekuwa na mgogoro wa mali, na huyu mama alishinda kesi, kwa chuki ndani ya familia yawezekana kuna kitu kilisababisha, soma nyuma kuna taarifa mamamkwe alisema alimwaona atakufa na pressure, isingekuwa busara akaenda angekufa mama mtu mgekuja na mengine, ila pia wanadai alishikiriki kwa mali kufanikisha mazishi
 
Kinachoongelewa hapa ni kifo cha Dada msuya sasa naona wachambuzi Wa utajiri wake alikoanzia wametia timu.
Wamesahau kwamba mafaanikio ya NTU ni siri yake na Mungu wake
Mkuu kuna mtu amesema hiyo mali ni ya baba yke ndio nami nkamwambia ukweli kua jamaa kaanza mbali na mawe alipata kwa flani ndio yakamuweka kwenye ramani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…