Abdillahjr
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 694
- 320
Vipi mlibakwa wote na mlalamikaji??!! Upu.mbavu ni kivumishi sahihi Kwako!!!
Tena alhaji anakuja na mwanamke nje ya ndoa? Ndivyo dini Inavyosema?Mashambulizi from other side yameanza! ! Tuambie kwann alhaji alitupa line miezi 6 iliyopita, lakini few weeks back mwandishi alimpata kwa same number ingawa ilipokelewa na dereva wake! ! Jamaa anajikanyaga sana, tutajua tu mwisho wa hii film
Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Huyu mbakaji hasafishiki wandugu. Hamwezi kudivage attention za watu kwa kuleta theads za kujaribu kumpakazia matope, kama mnalipwa mwambieni ukweli tu kuwa hapa mnamwibia maana hasafishiki kwenye hii saga.
ndiuka, unataka tukuamini kuwa Kapuya amezini na hicho kitoto?
Ameandika mwenyewe kwamba ni kweli waliwahi ku do Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu!Acheni Propaganda Makamanda.
Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Yani amtapeli shigongo halafu huyo huyo shgongo aandke habari zake tena? Hayo maelezo yako yanafanana na utetezi wa huyo kapuya?? Ny.oko wewe
Kuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
processing dataKuna watu wazushi lkn huyu bint kiboko!! Ni huyu aliyesema Kapuya alimbaka na kumuambukiza ukimwi!! Ni muongo kabisa duh!! Ni kweli walikuwa wapenzi lkn maelezo meng aliyotoa ni usanii mtupu! Kumbe aliwahi kumtapel hata mama Salma Kikwete na akatupwa Segerea! Tena aliwahi kumtapel Kimei wa CRDB! Hahaha njaa hzi hatar! Aliwahi kumtapel hata bosi wa Global publisher! Si mwanafunzi ni mdada mwenye miaka 21 na ana mtt!! Ana majina zaid ya matano!! Hii hatar kabisa!! Mechoka mie...
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ana miaka kumi na 16, ana soma turian secondary, cheti cha kuzaliwa anacho, ndugu yako kambaka na kumwambukiza Virusi vya ukimwi..acha ngonjera zako.