Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,682
- 47,059
Mkuu marekebisho kidogo hapoBwana asupoylinda Mji, waulindao wafanya kazi bure
Hizi private jet sijui wanazipendea niniMshana huyo Chivayo ana undugu na rais ni kama mpwa wake kwa Wazimbabwe wajomba sijui wapwa ni ndugu kweli tofauti na huku kwetu wanakua kama watu wa mbali ndio maana hata pesa alizokua anachezea nyingi ni za miradi Serikali imeingia na Wachina kwenye migodi nae anakula % yake tu kuhusu ajali ni ajali tu kama ajali zingine maana chopa sio za kuziamini kabisa nae alitumia ushawishi wa fedha kununua bila kutumia wataalamu sahihi wa vyombo vya anga..
Haswa, hata matajiri wakubwa wa Iraq enzi za vita walikuwa wanalimdwa na makomando wa USA kwa kulipwa hela ndefu sanaMshana Nimegundua kumbe pamoja na yote hujawahi kukutana na Madon wenye majina unaowajua wewe hapa Tz,Unajua kwamba Hwa top notch ya matajiri wa Tz wengi wanalindwa na usalama wa taifa na Makomando wa kijeshi kabisa?? Hii ipo nchi nyingi sana
Mpwa hapa kwetu nani anacheza na Rais wa Nchi kama sio watoto tu.Hizi private jet sijui wanazipendea nini
Ni majanga matupu.
Hivi Kwa humu kwetu mpwaeni ndugu wa mbali?
Hadi wakwe wanakula mema ya nchi itakuwa mpwa?Mpwa hapa kwetu nani anacheza na Rais wa Nchi kama sio watoto tu.
Humu ndani hakuna pisi kali zote mbovu.Ushaona ama kusikia mwanamke wa kinyamwezi ana sura mbofu mbofu?
Wacha kujishusha mkuu, wewe ni mzuri, lazima.
Me m bovu bwana.Hakuzidi hata robo huyo bageshi π
Sawa bosshahahaha,mie usinifananishe na hao wengine,Tafadhali, sikumbuki kama niliwahi kusema hivyo
Ni wivu tuπββοΈπHumu ndani hakuna pisi kali zote mbovu.
mimi sio mnyamwezi pls
Sema ngoja tuwaache bhana wameshika kila kitu hao.Hadi wakwe wanakula mema ya nchi itakuwa mpwa?
Halafu Watanzania kila siku huwa wanamsakama yule mama kuwa wameweka ndugu zake kwenye nafasi mbalimbali.
Unaweza kujiona mbovu kumbe mimi natamani nipate huo mfupa udondokee hapo kama fisi tu..Me m bovu bwana.
Utafiti gani ulifanya ukagundua yote hayo?Humu ndani hakuna pisi kali zote mbovu.
mimi sio mnyamwezi pls
Sijafanya tafiti yoyote bali kule selfika nilioona wote wabovu.Utafiti gani ulifanya ukagundua yote hayo?
Yaani Jf nzima mademu wote wavae sura za baba zao!
Neno 'mnyamwezi' limebeba maana nyingi zaidi ya kabila nkuu.
π π π π π π πUnaweza kujiona mbovu kumbe mimi natamani nipate huo mfupa udondokee hapo kama fisi tu..
Ni wivu tuπββοΈπHumu ndani hakuna pisi kali zote mbovu.
mimi sio mnyamwezi pls
Mimi sio Gen z sifungui uzi maisha ya nje ni ya nje yanaishia huko life goes on..π π π π π π π
Kuwa makini siku ukiniona live usije tu kunifungulia uzi ukielezea sura ya baba yangu ilivyo binuka na kuchambuka ovyo
Kacheki insta utaziona baazinya pisi za jf kwa jimsi wanavo andika reply zao, Kuna mademu wawili ni members humu sema sijajua wanatumia id Gani hakika ni wakali balaa nime appreciate πͺπͺπͺππSijafanya tafiti yoyote bali kule selfika nilioona wote wabovu.
sio dhambi kufanana na baba
nimekuelewa
Uko vizuri isanga.Mimi sio Gen z sifungui uzi maisha ya nje ni ya nje yanaishia huko life goes on..