ya limboka tumeyajadili sana hapa yamechuja, usitutoe kwenye mada.
mtesi wa ulimboka alikamatwa na yupo mahabusu halafu kwa sasa hayo ya ulimboka yametuchosha tunataka mapya dada.
ya limboka tumeyajadili sana hapa yamechuja, usitutoe kwenye mada.
Hapana sijakurupuka mkuu,hebu rudia tena kuisoma habari yake kama utamwelewa! Au mkuu labda sijaona vizur,anaposema video zinawaonyesha makada wa chama....halafu huko mbele anasema ambao hawajajulikana...sasa alijuaje ni makada wa chama ilihali 'hawajajulikana'?soma hapo anaposema na watu wengine sita...
Slaa amekalia kurudia maneno yale yale kama kasuku, TISS TISS, sasa ngoja waje kugonga mlango wake. Ndio atawatambua ni nani, wao hawatazami uzee wa mtu,ni kichapo kwa kwenda mbele.
Slaa amekalia kurudia maneno yale yale kama kasuku, TISS TISS, sasa ngoja waje kugonga mlango wake. Ndio atawatambua ni nani, wao hawatazami uzee wa mtu,ni kichapo kwa kwenda mbele.
Mkuu, umesahau neno 'be' katika sentensi yako uliyomalizia kwa kimombo.I will the last person to BELIEVE this RUBBISH!!!!!
Naam, imani yangu kwa CHADEMA inazidi kuimarishwa. Viva CHADEMA.
cdm ilianza na mungu na itamaliza na mungu.
tukio la kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa lwakatare limeibua mapya ndani ya chama hicho yaliyojificha mbali na video ya lwakatare inayomuonesha akipanga mipango ya kuteka na kuzuru watu pia imebainika kuwa kuna video zingine ambazo zimewasilishwa kwenye vyombo vya uchunguzi zikionesha viongozi wa chadema wakipanga mipango zaidi ya mauaji kwa baazi ya watu muhim wakiwemo wanahabari na watu wengineo wanajf hawa wanasiasa wanatupeleka wapi?
makada wa chama wacojulikana wanaweza kuwa mateja tu wametengenezewa filamu na nchemba na kuvalishwa kombati za chadema ili kutupotezea muda, na jinc mambo yanavyoenda watajichanganya zaidi maana walijiandaa tu mwanzoni hawakujua mbele itakuwaje na ndo hivyo wnazidi kujianika
ya limboka tumeyajadili sana hapa yamechuja, usitutoe kwenye mada.
Mkulu mtoa mada, mimi kama mshabiki wa filamu za mwigulu ninasikitika sana kwani sijatendewa haki na producer, alihaidi kuwa anazo nyingine nyingi na atatuwekea hapa mtandaoni kama alivyofanya toleo la kwanza, kwanini kazipeleka polisi pasipo kutuma nakala mtandaoni kama alivo haidi?tatizo la watu wavivu kushughulisha bongo zao ndio hili...kama hujaelewa kwann usiende hata wavuti au website ya gazeti husika upate taarifa kamili. Unaishia kumshambulia mtu anayekupa habari mkuu?
Mkuu, umesahau neno 'be' katika sentensi yako uliyomalizia kwa kimombo.
ndoto za mchana hizo. Subiri uwaone mitume wenu mbowe na Slaa ndani ya karandiga.