Mwigulu michembe anatakiwa ajue kwamba hapambani na chadema bali anapambana na umma,anajichimbia kaburi lake kisiasa
Umeandika point bro. Hivi kwanza dhamira ya mwigulu nchemba ni ipi? Mi ni mtu mzima na ni mwanachama wa ccm ila sijaona umuhimu wa haya mambo pia mbona hatujadili matatizo ya msingi ya wananchi mnakazi ya kuleta upuzi tu. Chama hakina mvuto tena kwa wananchi mnakazi ya siasa maji taka. Mzee kinana na wazee wengne waelewesheni hao watoto tujenge chama kwanza si kuangalia masuala ya ajab.C.c mwigulu nchemba, shelui na utaifa kwanzaHivi vituko vya video nchini vitaleta hatari nchini naomba viona mbali wavikatae mchezo huu utaenda hadi mikanda ya uhaini itaonyeshwa tunaomba sie tusio na vyama mtu achie nchi yetu bado ni salama mauaji ya yesu kuteswa msalabani yalisababishwa na,wazushi walio kuwa wakienda kwa pilato na kusema tulimusikia huyu akisema hiivi na hivi walijitahidi kumutungia maneno hadi akasulubiwa hao tunao wasikia akina mwi--glu wataleta machafuko nchini narudia tuachiane Tz salama hukukutafutana kwenye mavideo kutazusha uhaini atakamwa kiongozi mkubwa wa chama nchi itawaka moto kule mbeya mwanza Arusha nk naogopa hekima zimeenda wapi juzi tu mwalimu katutoka tuwaachie wanausalama na police wafanyekazi siyo nye wenye vyama munafanya kazi zao Mzahamzaha utatumbua usaha waacheniii watanzania wamezowea Amani mara machafuko ya dini loo tunaenda wapi wanyonge hatuna,pakwenda
Umma gani? Wengine tupo curious kujua ukweli na undani wa haya mambo. Speak for you!
Shetani anajua kujigeuza malaika unaweza kumwabudu. Watanzania wamedanganywa kwa muda na watu waliojivika ukombozi lakini chini ya kapeti wakipanga namna ya kuwaua baadhi yao. Mungu ameamua kuweka wazi ndio maana hili limekuja kila mtanzania atawajua wakombozi wa tindikali, nondo, sumu, dawa za usingizi na risasi
Huu umbea tu. Mbona zenyewe hazikuwekwa youtube???
cku uongo ukijulikana kuhusu hizi video..lazima nipigwe ban...!
Hata mazembekuku ya CCM hataki kabisa hizo propaganda many are very angry na new secretariat wanashangaa zaidi ya kuvuna tembo zetu katibu mkuu wa CCM ,Kinana na Mwenyekiti wake Jakaya Mrisho wameishia political strategies kiasi kwamba mwigulu,Nape Ridhiwani ndio wamekuwa ndio waratibu so most of us we are not curious with this lame allegations speak for your self as wellUmma gani? Wengine tupo curious kujua ukweli na undani wa haya mambo. Speak for you!
yote hayo ni tisa, kumi ni hili la kupanga kuteka raia....chadema mnapaswa kulieleza taifa kwann mnajiingiza kwenye uharamia? Kwann mnafanya mambo ya kinyama halafu mnasingizia wasiohusika? Kumbukeni ikulu ni mahala patakatifu haiwezi kukaliwa na wauwaji
Shetani anajua kujigeuza malaika unaweza kumwabudu. Watanzania wamedanganywa kwa muda na watu waliojivika ukombozi lakini chini ya kapeti wakipanga namna ya kuwaua baadhi yao. Mungu ameamua kuweka wazi ndio maana hili limekuja kila mtanzania atawajua wakombozi wa tindikali, nondo, sumu, dawa za usingizi na risasi
Chadema mtajuta suala la Rwakatare lazima liwaumbue.
Pole ukweli unamuuma nani Jakaya labda watanzania wanajua CCM ni machizi tuuukweli unauma mama yangu. pole sana
Shetani anajua kujigeuza malaika unaweza kumwabudu. Watanzania wamedanganywa kwa muda na watu waliojivika ukombozi lakini chini ya kapeti wakipanga namna ya kuwaua baadhi yao. Mungu ameamua kuweka wazi ndio maana hili limekuja kila mtanzania atawajua wakombozi wa tindikali, nondo, sumu, dawa za usingizi na risasi
Mwenyekiti wako Jakaya au Katibu wako Mkuu KInana watakapopata ufahamu kidogo nadhani watakapokuwa hawako kwenye magamu ya kuuza nchi hii kwa wachina utatembea na viatu vilivyochanika manake umechafua chama chako kwa kiasi kilichopitiliza,una roho mbaya sana kisiasa hufai hata kidogo mbaya zaidi hata ulikozaliwa umefanya wana CCM wenzio pia wawe na mchcheto wakifikiria namna unavyoendesha siasaShetani anajua kujigeuza malaika unaweza kumwabudu. Watanzania wamedanganywa kwa muda na watu waliojivika ukombozi lakini chini ya kapeti wakipanga namna ya kuwaua baadhi yao. Mungu ameamua kuweka wazi ndio maana hili limekuja kila mtanzania atawajua wakombozi wa tindikali, nondo, sumu, dawa za usingizi na risasi
Hana nyimbo huyo wamepanic kaongoza Igunga , na mbinu kobao mahakama ikamtia adabu,Arumeru wananchi wakamtia adabu,Iramba ndago polisi anakiri mwigulu alisababisha mwana CCM mwenziwe afe,Mwigulu alipewa taarifa kuwa wameandaliwa vijana 6 ili wamuteke.yeye akakaa kimya bila kutoa taarifa kwenye vyombo vya dola ili mutego uwekwe ikiwezekana vijana hao wakamatwe ana kwa ana wakati wanajaribu kumuteka.kitu alicho kifanya ni kuwarekodi watekaji kwa siri wao bila kujijuwa.wakati vijana hao wanapanga mipango yote hiyo na kuikamilisha na baada ya kuikamilisa wakaendelea kukaa nayo tu bila kuifanyia kazi wakati huo Mwigulu alikuwa amejificha wapi ambako hao watekaji walishindwa kumuona na kuweza kumuteka au ni Mwigulu mwingine? ambae sifa zake hazijulikani?.
TAMBUA HAYA:
- Tazama CD ya ustaadhi ilunga ujue alisema uweke nini mahali penye neno gaidi...
- Hawa woote si watetezi wa CCM wala si wana CCM - ni MITUME WA DINI!!!!
- Vita yao mtandaoni si kwa ajili ya maslahi ya TAIFA bali ni maslahi ya DINI;
- Hakuna mtu atakaye kuwa mtetezi wa CCM baada ya 2o15 - hasa LOWASA, MAGUFULI, SITTA au MWAKYEMBE akiwa mgombea URAIS!! HILI likitokea hoja ya CCM = Catholic Church Movement yatafufuliwa!!!!!
- Ukiikosoa serikali wao wanajua unakosoa kwa sababu mtu wao aliyekuwa maarufu kama "CHAGUO LA MUNGU" sasa haaminiki kutokana na maasi dhidi ya watu wasiona hatia kuongezeka tena yamebaki kuwa yasiyo na ufumbuzi!!!
- Ukihoji mateso ya kibanda, ulimboka na mauaji ya mwangosi na wengine huruka kimanga na kuleta UDINI!!!
- Ukihoji uadilifu wa serikali katika kushughulikia suala la ILUNGA ukilinganisha na lwakatare hupigania udini kwa kulinda "mtu wao"..
Kwa hiyo kwa sasa CCM chama cha Waislamu na CDM chama cha Wakristo,na 2015 CCM akigombea Mkristo Waislamu watahamia CUF tena na Wakristo Wahamia CCM tena.
Acha wajinga mubomoe hii nchi iliyojichokea ili tuje kuijenga nchi iliyo IMARA baada ya vita vya muda mrefu,mmegeuza siasa kuwa ndio biashara yenu wajinga wakubwa nyie.Lazima tuivunje hii biashara ya siasa na siasa iwe kwa ajili ya kuwatumikia wananchi sio kuchumia matumbo yenu na familia zenu,CCM na CDM wote wachumia matumbo tu.