Hivi umewahi fika Msimbati, Mtwara?Mimi nature ni kitu kinachonipa utulivu wa moyo. Nikiwa na uchovu wa kazi au kichwa kimevuruga na viumbe wa Mungu huwa napenda kukaa sehemu niangalie bahari au miti. Mazingira ya kijani yananibariki sana moyo wangu
No sijawahi, Mtwara sijawahi kufika kabisa. Nikipata nafasi mwaka huu nataka niende Mafia na MtwaraHivi umewahi fika Msimbati, Mtwara?
Nimeipenda hiyo sentensi yako ya mwisho maana vijana wengi hudhani sex ndio kila kitu ukiwa kwenye mazingira tulivu kama hayoJamani umeshukuru nini eti Zodwa
Umepigilia msumari mzito Zodwa Ukiona mtu anaimba sex kila kona ujue ni msha japo kazeeka.Nimeipenda hiyo sentensi yako ya mwisho maana vijana wengi hudhani sex ndio kila kitu ukiwa kwenye mazingira tulivu kama hayo
Yani sometimes all we need is just to be alone somewhere peaceful
Maisha ni kukubali kuwa binadamu tunatofautiana vipaumbele
Zipi hizoUtimize zile ahadi kwanza dogo langu
Yeah Mtwara na Lindi kuna very attractive beaches aseeNo sijawahi, Mtwara sijawahi kufika kabisa. Nikipata nafasi mwaka huu nataka niende Mafia na Mtwara
TouchéUmepigilia msumari mzito Zodwa Ukiona mtu anaimba sex kila kona ujue ni msha japo kazeeka.
Kuna mapumziko ya akili..
Kuna mapumziko ya mwili
Kuna mapumziko ya kazi
Lakini kubwa zaidi ni mapumziko ya
KAzi, mwili na akili..
Hapa huhitaji sex bali mazingira tulivu tu
Ziwa Nyasa sikuwahi kupafikiria but nitaweka kwenye wishlist yangu sambamba na Msimbati. I hope kabla ya June this year nitaenda sehemu moja wapo kati ya hizo. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Yeah Mtwara na Lindi kuna very attractive beaches asee
Vile nimesoma umesema unapenda miti na bahari basi Msimbati is one of the beaches itayokupa both views at once
Siyo kama beach zetu za Dar hizi karibu zote ziko Mjini hakuna utulivu kuna majengo all over
Mimi binafsi napenda views za bahari, maziwa, misitu na milima bila kusahau waterfalls
Hata Kyela kule ziwa Nyasa pia kuna views design kama hiyo if it is in your wishlist
We tena,mwaka huu twende copa cabana basi [emoji1]Nina kwingi sana wajua ninavyopenda adventure
Hao wako bumbuliMkuu unavyo kwenda wasiliana. Na makamba senior akupe taratibu za hapo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Karibu Sana [emoji4][emoji4]Ziwa Nyasa sikuwahi kupafikiria but nitaweka kwenye wishlist yangu sambamba na Msimbati. I hope kabla ya June this year nitaenda sehemu moja wapo kati ya hizo. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
HIi inategemea na mindset ya mtu na experience yake katika mambo.Au kwenda kidimbwi, elements huko hakuna starehe ni kujiumiza ubongo
Tu
Ova
Mimi na mazonge yangu,maumjinimjiniNature saves life, unapofika kwenye nature kunakua na mind development ndio maana nature inatunzwa kwa gharama kubwa lakini wale wenzangu wa live band, kitambaa cheupe huko usitupeleke kabisa bora kwa shishi food nikapige kisinia outing imeishia hapo
MerciTouché
Njoo huku best...unapiga bia zako taratibuu unangalia bahari iliyo safiNo sijawahi, Mtwara sijawahi kufika kabisa. Nikipata nafasi mwaka huu nataka niende Mafia na Mtwara
Sawa mkuuWe tena,mwaka huu twende copa cabana basi [emoji1]
Ova