Mapozi ya wanyakyusa ni sheeeder.

Mapozi ya wanyakyusa ni sheeeder.

angalia hiyo rangi ya ardhi chini haipo kwetu ko usidanganye umma wa wana jf.....................ha ha ha ha:A S wink:
 
angalia hiyo rangi ya ardhi chini haipo kwetu ko usidanganye umma wa wana jf.....................ha ha ha ha:A S wink:

Ipo wapi kwani?? Kwani wanyakyusa hawahamii mikoa mingine??
 
hahaha babu ongeza speed zako kwa Munkari
Mimi na Munkari hatujafahamiana gulioni Katerero...... mwalimu ni jirani yangu wa ukwee.... vikojoleo vyetu havishahabiani kwakuwa vina undugu wa ukweni. Labda itokee tu...
 
Last edited by a moderator:
Mimi na Munkari hatujafahamiana gulioni Katerero...... mwalimu ni jirani yangu wa ukwee.... vikojoleo vyetu havishahabiani kwakuwa vina undugu wa ukweni. Labda itokee tu...

Teh teh teh
Mwambie huyooo jirani mwambieee..
 
Last edited by a moderator:
Mhh imenibidi nisicheke ngoja niziweke kiporo mpk jioni nikishamaliza misele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom