Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Nyie hamuwajui ngojeni...
Hao wadada hapo aliyekaa chini ni miss neddy
Huyo aliyemkalia mwenzie kitako ni Honey Faith
Hako keusi kuliko wenzie ni Khantwe
Tulikutana kwa Rasi simbaaa!!! Afu hako kaliko kaliwa ni Heaven Sent
Mmetokelezeaaaa!!!!!
Nilijua tu lazima utuumbue jamani!!
Last edited by a moderator: