Mbona kama wote madume...
HHahahahaha
Huyo Mwenye soksi nyekundu katisha balaaa ni Mafikizolo
Ndo yeye haki ya nani
Huyu mwengine ni [MENTION=9432] Bishop Hiluka
Mmmetisha saana!!!!
hahah kwakweli unakiu nao.... maana asipokua makini utaunyofoa wewe, chezea muhogo wa jang'ombe
Asiye Cheka kwa post hii lazima atakuwa mchawi au yuko kwenye maadamano yasio na tija
Heheheh....naona mnamtangaza mjukuu wangu sio!!!
Sina utani nao ngoja nipite mbio!