Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
- Thread starter
- #41
Mafikizolo na mpenzi wake MO11
Attachments
Last edited by a moderator:
utafiti na miss chagga wametisha
wana mapouziiiiiiiiii kama nini
Usiniuzie kesi wewe mtoto
hahahhaha we Mafikizolo.... umeshikilia nini hicho
Mafikizolo na mpenzi wake MO11
wadada zetu hawana miguu ya hivyo wewe... ukikutana na guu lazima uliangalie mara ya pili
Hahahahahahhaha wewe junior .Cux meshikili muhogo
Thubutuuu kukutwa na bwana pepsi
Shangazi farkhina akiwakilisha
Nyie hamuwajui ngojeni...
Hao wadada hapo aliyekaa chini ni miss neddy
Huyo aliyemkalia mwenzie kitako ni Honey Faith
Hako keusi kuliko wenzie ni Khantwe
Tulikutana kwa Rasi simbaaa!!! Afu hako kaliko kaliwa ni Heaven Sent
Mmetokelezeaaaa!!!!!