Mapovu baada ya kuwaambia Watafute Hela Wanaume

Mapovu baada ya kuwaambia Watafute Hela Wanaume

Cc kipenzi Yna2 njoo huku uone mambo yenyewe lol.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hizo comments sasa mie huku hoi lol. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
kila mwanaume mwenye mafanikio mbele nyuma kuna mwanamke,ulijua kuna wadangaji kama yeye,wasio na malengo kufanya familia.
sijui kwa nini vicheni part vya kuwafunda wanawake vilipotea tanganyika maana asilimia kubwa ya hawa sasa wanavicheni part vyao kichwani
 
Ukiona mwanaume anajizungusha kukupa hela baada ya kukuchakata, ujue kakuta papuchi isio na viwango.
 
Hatujakataa ila mentality ya mwanamke kujiandaa kuwa dependent financially siyo nzuri hata kidogo. Let women and men each chase money although the chase might be not the same nor yielding the same money.

P.S: Men must hustle to get handsome money
 
Back
Top Bottom