Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,214
- 42,087
NAMKUBALI SANA PLATINUMZ ILA KWA HIZI MBWEMBWE ULIZOZITAJA MBONA NYINGI MNO
Hahahaha welcome to celebrity forum
Sent from my iPhone using Tapatalk
NAMKUBALI SANA PLATINUMZ ILA KWA HIZI MBWEMBWE ULIZOZITAJA MBONA NYINGI MNO
tatizo la umbeya wa midume hua haunogi angekua kauleta dada warumi nadhani ungekua hot sana
jamaa yupiWewe aliokwambia huyo jamaaa ni dada nani?
ππππππππππππ₯π₯π₯π₯π₯ππππππππππWakuu achana na hela.
Jamaa yangu mmoja anashtua misuli kwa mmoja ya wale wasanii wa kike wa WCB kwa hiyo huwa ana access na baadhi ya vitu vya WCB ambavyo havijawa tayari kwa matumizi ya umma.
Jamaa mtoto wa kike alipokuja kumtembelea ghetto alifanikiwa kuona ratiba na orodha ya mapokezi yatakvyokuwa kwa watoto wa Mondi toka South Africa mpaka Tanzania wakuu ni kufuru.
Nawapa summary tu .
Kwa sababu ya mipaka kufungwa na tafrani za hapa na pale, madogo watakuja kwa helkopta mpaka Nakonde ambapo watamaliza taratibu zote za uhamiaji, baada ya hapo dude litaamka mpaka mjini Dar es Salaam ambapo maafisa wa afya watakuwa wanawasubiri ambapo baada ya kukamilisha mama yao ataongea na waandishi wa habari ambao watakuwa kwenye vibooth vya vioo ambavyo tayari vimejengwa pale WCB tower huku Zari akiwa mita 10 kutoka waandishi hao.
Baadae familia itakaa karantini kwa siku 14 kabla ya kuelekea Madale ambapo itaangushwa bonge la pati huku wasanii kadhaa wa WCB wakiperfom mbele ya mashabiki wasiozidi 50 ambao nao watakuwa na vyeti vinavyoonesha mizunguko yao yote kwa siku 14 zilizopita na cheti cha kuonesha walipima Corona na wako fit kujumuika.
hahhahahahahaaUshuzi wa futari ni balaa! Labda uwe na barakoa ya "RAMBO" ππ
Warumi kwa ushakunaku namkubali sana , hapo angeweka manjonjo hataritatizo la umbeya wa midume hua haunogi angekua kauleta dada warumi nadhani ungekua hot sana
Kwa habar za diamond kuna yule innocent dependent ndo ata confirm.Ngoja warumi a confirm hii habari π
Kwa hiyo ww unajua warumi ni mdada? π€£π€£π€£tatizo la umbeya wa midume hua haunogi angekua kauleta dada warumi nadhani ungekua hot sana
π€£π€£π€£ kwanza atachukia kwanini hii habari ya wcb imeletwa na mtu mwingine na siyo yeye mwenyewe.Kwa habar za diamond kuna yule innocent dependent ndo ata confirm.
Ahahahahahaha
yeah, kwani sio wakike mkuu?Kwa hiyo ww unajua warumi ni mdada?
mi pia namkubali mnoWarumi kwa ushakunaku namkubali sana , hapo angeweka manjonjo hatari