Mapokezi ya Nyerere huko Uingereza

You see why I missed you here? Unamwaga nondo. Zakumi apakue mawili matatu. Alipokuja state visit 1977, tulikuwepo sisi pale Ikulu kupeperusha bendera za Tanzania wakati anawasili South portal. Katika mazungumzo yake na Jimmy Carter ambayo kwa sehemu kubwa yalimulika ukombozi wa Zimbabwe na by extensio Afrika kusini, Jimmy Carter alilazimika kuchukua notes na baadaye akamkaripia Brzezinski kuwa mbona hili ulikuwa hujanibrief? Mwalimu Nyerere alikuwa mwalimu kweli kweli. Hata kwa viongozi wenzake mpaka wanaadika notes.

Jasusi na wewe umeadimika mno bana.

Wiki mbili zijazo naenda kuongeza nguzu za UKAWA bana.

Nimeyachoka mno ma CCM.
 
Hivi kwanini Nyerere hakutengeneza Nyerere wengine wa miaka 50 ijayo?
Sasa Tanzania tunasumbuka na marais wa ajabu sana.

ndio huyo kikwete alipewa nafas...kumbe alivaa ngoz ya kondoo..unaanbiwa wakat wa nyerere jakaya alpenda zaid kwenda kanisan kuliko mskitin......tena kanisa alilokuwa akisal kambarage..sjui lengo lake ilikuwa nn
 
You see why I missed you here? Unamwaga nondo. Zakumi apakue mawili matatu. Alipokuja state visit 1977, tulikuwepo sisi pale Ikulu kupeperusha bendera za Tanzania wakati anawasili South portal. Katika mazungumzo yake na Jimmy Carter ambayo kwa sehemu kubwa yalimulika ukombozi wa Zimbabwe na by extensio Afrika kusini, Jimmy Carter alilazimika kuchukua notes na baadaye akamkaripia Brzezinski kuwa mbona hili ulikuwa hujanibrief? Mwalimu Nyerere alikuwa mwalimu kweli kweli. Hata kwa viongozi wenzake mpaka wanaadika notes.

Zbigniew Brzezinski pia alipata funzo kutoka kwa Mwalimu walipokutana kuhusu ukombozi wa nchi za Afrika kusini. As the American ambassador to Tanzania, James W. Spain, stated in an interview:

"Nyerere was the first African chief of state that Carter invited back. I accompanied him. Only twice in my life have I been in substantive sessions in the White House.

I was with Carter and Nyerere, Vance, Moose and Brzezinski for something like five hours. Then too, five or six days are allotted for the distinguished visitor to see the US. We took our own plane out to Chicago, San Francisco and Los Angeles, and the rural Midwest and South. Nyerere didn't play bridge but his foreign minister (now President of Tanzania) did....

Rhodesia and Namibia were high priority issues at the time. Kissinger had devoted three or four days to them in 1976....David Owen, the British Foreign Secretary, joined him for a couple of his meetings with Nyerere....

Nyerere made no bones that he would give all the support he could, including arms, to the Namibian and Rhodesian rebels. That was to end 'colonialism.' But he saw the situation within South Africa differently. That was a fight between African and Africans. The Boers, as he always called the Afrikaners, were Africans too, bad Africans, but Africans. As he told an American visitor, 'Unlike the British in Rhodesia, they have no place to go home to'....

We were in the middle of the negotiations for an independent Rhodesia.

The personal chemistry between Carter and Nyerere was great. Toward the end of the discussions Carter shuffled his papers and said, 'Well, I think that is all Mr. President. It has been very useful.'

His National Security Adviser who had been sitting down the table and hadn't said a word coughed pointedly.

'Oh, yes,' said Carter, 'There is the matter of the Cubans in Angola.'

'Yes, indeed Mr. President,' Nyerere responded. 'I thought we were going to agree on everything, but that is something that we can disagree on. Let's talk about it.'

Carter didn't seem very eager. He said, 'We feel that's bad.'

Nyerere gave his standard reply: as soon as the South Africans get out of Angola the Cubans will get out.

'How can you guarantee that?'

'Because the President of Angola has promised me and I will see to it that he lives up to his promise!'

There isn't.

Brzezinski broke in. 'Mr.President, are you aware that the number of Cubans in Angola compared to the total population of Angola is larger than the number of Americans who were in Vietnam at the height of our involvement?'

'Oh, really, how interesting,' replied Nyerere.

Carter started folding up his papers.

'And, Mr. President,' asks Brzezinski, 'Are you aware that the number of Cubans in Angola compared to the total population of Cuba is very much larger than the number of Americans in Vietnam at the height of our involvement compared to the total population of the United States?'

This time Nyerere didn't say a word. He waved his hand with a condescending smile.

Carter grabbed his papers, stood up, and announced 'Well, it looks like we really are finished!'

As is obvious, I was personally very fond of Nyerere--not necessarily a good thing for adiplomat. He was a very remarkable man and, I think, a very constructive element in the peaceful solutions to the problems of Southern Africa that eventually emerged." - (Ambassador James W.Spain, in Godfrey Mwakikagile, Why Tanganyika united with Zanzibar to form Tanzania, pp. 403 - 405).
 
I have been a bit under the weather. I went through a major operation at the end of February but I have recovered well. Nitakujoin huko mwishoni wa mwezi Septemba.

Jasusi,

Pole sana. Nakutakia afya njema. Mungu yuko nasi daima.
 
ndio huyo kikwete alipewa nafas...kumbe alivaa ngoz ya kondoo..unaanbiwa wakat wa nyerere jakaya alpenda zaid kwenda kanisan kuliko mskitin......tena kanisa alilokuwa akisal kambarage..sjui lengo lake ilikuwa nn

Kiukweli Nyerere Hakuwai Kumpenda Kikwete Na Nyerere Angekuwepo Leo Hii Kikwte Asingekuwa Rais, Ikumbukwe Nyerere Alimwambia Kikwete Wewe Ni Mtoto Wakati Huo Kikwete Anamiaka Zaid Ya 40 Yeye Nyerere Alichukwa Nchi Akiwa Na Miaka 38, Kwa Hapo Tu Tunapata Kujua Alimaanisha Ni Utoto Wa Akili Na Si Wa Umli
 
Si kweli kuwa Nyerere hakumpenda Kikwete. Mwaka 1995, resume ya Kikwete ilikuwa fupi sana ukilinganisha na ya Mkapa au Salim.
 
Huyu mtu anaekiita Shwari anamwaga porojo.

Anaongea yake binafsi kutaka kutuamnisha yasiyokuwepo.

Nnaomba kumuuliza;

Kwanini wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna chakula cha kutosha? Mpaka watu wapange foleni ndiyo wapate japo sukari?

Lipi la maana alilolifanya Nyerere kwa Tanganyika/Tanzania ambalo tukilifikiria inabidi tumkumbuke?
 
Last edited by a moderator:
You see why I missed you here? Unamwaga nondo. Zakumi apakue mawili matatu. Alipokuja state visit 1977, tulikuwepo sisi pale Ikulu kupeperusha bendera za Tanzania wakati anawasili South portal. Katika mazungumzo yake na Jimmy Carter ambayo kwa sehemu kubwa yalimulika ukombozi wa Zimbabwe na by extensio Afrika kusini, Jimmy Carter alilazimika kuchukua notes na baadaye akamkaripia Brzezinski kuwa mbona hili ulikuwa hujanibrief? Mwalimu Nyerere alikuwa mwalimu kweli kweli. Hata kwa viongozi wenzake mpaka wanaadika notes.

Kuna hizi rekodi za ziara hiyo katika makavazi yao:

https://research.archives.gov/id/175790
 
78 Reactions
Reply
Back
Top Bottom