Mapokezi ya Nyerere huko Uingereza

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,227
113,583

Hapa Nyerere akiikosoa Uingereza pia

Hapa Nyerere akizungumzia Rhodesia

Heheheeee Nyerere bana....kanifurahisha hapo aliposema 'jitu zima' hahahahaaaa.

Nyerere na Mandela wakizungumza na waandishi wa habari.....

Nyerere akizungumzia ugomvi na Idi Amini....
 
Last edited by a moderator:
Hii ndiyo inastahili kuitwa ''official state visit'' ambazo marais wetu wanastahili kuzikubali na kufanya ziara ya kiserikali. Maana kila kitu kiko katika mpangilio maalum na wenyeji wanahamu ya kubadilishana mawazo kama equal partners angalau katika ngazi ya fikra sahihi ingawa kunaweza kuwa na tofauti za ukubwa wa kiuchumi n.k
 
Kweli waswahili wamewachefua watu..watz waliokuwa na akili sasa wameona kwamba walilikosea sana taifa lao..I wonder nini kinapita ktk kichwa cha mleta mada,na kwanini siku zote hakuwahi leta kitu km hii...pengine tumshukuru Mungu kuna watz wana akili bado na ni wengi..NI vyema ulikuwa unaangalia vitu vyenye kulisha ubongo...waliokuwa akiangalia porno tutawaona ktk michango yao.
 
Safari za Baba riz aka Vasco Da Gama ni aibu kuita state visit. Ni kama muhuni fulani mwenye pesa zake kaingia mjini. Nyingi hajapokelewa na Marais wenzake! Anaishia zake hotelini! Ikulu za wenzie anazikia kwenye bomba!
 
Huwezi ukawa unaenda nchi za watu hovyo hovyon wakawa wanakukaribisha kwenye ikulu zao wakati wanashughuli nnyingi za kujenga mataifa yao.
 
Nyani Ngabu,

..video hii imenifikirisha kidogo.

..Mwalimu alipewa heshima hiyo licha ya Tanzania na Uingereza kutofautiana ktk siasa zao za mambo ya nje.

..kuna kipindi uhusiano wa kibalozi wa Tanzania na Uingereza ulivunjika.

NB:

..nimewaona wazee kama Ibrahim Kaduma, Cleopa Msuya, Joseph Butiku, ambao walikuwepo kwenye msafara wa Mwalimu.

..nimesikitika kwamba Baba wa Taifa hakuambatana na Mama Maria ktk safari hiyo.
 
Na kama umeangalia vizuri, hapo kwenye horse-drawn carriage wakati wapo barabarani watu walikuwa wanashangalia.

Kwa kweli alipewa heshima kubwa sana.
 
Back
Top Bottom