Jamani mambo yamebadilika sana siku hizi. Miaka ya zamani kumuona rais mweusi ilikuwa big dili.
Zakumi,Jokakuu;
Lakini hizo sio characteristics of an effective leader. Hizo ni za poet.
Hapana. Ziara zake katika western countries zinazidi ziara zake China. Usiseme vitu kwa dhana wakati kuna facts.Na ziara moja ni lazime ilikuwa ya kwenda China.
Unaota? Hata personality ya urais tu hana.Nina imani Magufuli ataliletea taifa hili heshima kubwa kama Nyerere
Shwari,
Zakumi,
Mwalimu kakukosea nini? Alimnyima au alimfukuza kazi mzee wako?
Ulimuona Nyerere kama ni "raisi mweusi" tu? Hata baada ya kumsikiliza hapa, ikiwa umefanya hivyo, bado huoni alikuwa zaidi ya - "raisi mweusi" tu?
Nakumbuka pia nyakati zilizopita ulivyo mkejeli Nyerere, pamoja na Nkrumah, uliposema "viongozi wenu hao."
Viongozi wako wa Kiafrika miaka ilie walikuwa ni nani? Kenyatta, Mobutu, Kamuzu Banda, Felix Houphouet-Boigny na wengineo kama hao, vibaraka wa nchi za Magharibi?
Walinganishe hao na Ahmed Sekou Toure, Nyerere, Nkrumah, Gamal Abdel Nasser, Modibo Keita, Marien Ngouabi, na Ahmed Ben Bella. Ukiwa mkweli, utaona kuna tofauti kubwa sana kati yao in terms of their commitment to Africa's wellbeing.
Pole sana mkuu kwa kuweka matumaini yako kwa hao ambao hatimaye wamekugeuka, sasa yule mtu wako mwenye msimamo akiubadili utafanyaje?
Shwari,
Na wewe hujaonekana siku nyingi. Nafarijika kukuona hapa. Huyu Zakumi nilisha "give up" on him na kumwacha alivyo.
Hii marekani na holywood zimeharibu watu kudhani maisha bora yako kwenye pure capitalism peke yake.
Hapana. Ziara zake katika western countries zinazidi ziara zake China. Usiseme vitu kwa dhana wakati kuna facts.
Siasa za Sampuli ya Mwalimu ndio zinatawala Western Europe yote ambao account za benki bado zinasoma. Uingereza Nchi ina madeni kibao hadi inaogopa kukopa tena.
Tazama nchi za kisocialist kwa maana ya ujerumani, scandinavian countires etc.., zote zina common theme.., elimu ni ya kiwango kitakatifu, na inatolewa BURE. huduma za afya zina universal coverage na hazina mfanowe kwa ubora.
Hii marekani na holywood zimeharibu watu kudhani maisha bora yako kwenye pure capitalism peke yake. Merkel Ujerumani, na social democrat yao hadi kesho mabepari wanapanga foleni kuomba mikopo. CHINA na ucommunist wao hadi kesho marekani credit line haikauki.., na hawa ndio wamefanikiwa kwenye kumilikisha njia kuu za uchumi kwa wananchi wao wenyewe. Industrial revolution ya china kama kila kampuni kubwa ya china ingekuwa ya wageni, leo hii serikali ingekuwa apeche haina hata senti, kwani kodi hazitoshi. Bepari kulipa kodi ni mtihani mzito..,
Nyerere alikuwa bianadamu amefanya makosa, lakini huwezi sema likosa master plan.., ni vile tu sisi kama nchi hatukuw atayari kupitia proper HELL ili kuvuka..., wachina walipita kwenye hell late 70's walipovuka hapo wanamuachia kila mtu vumbi.., sisi mambo yalivyokaba tukanyoosha mikono juu na kugeuka ndondocha tusio na identity.
Zakumi,
Nyerere was also a poet. And an effective leader to top it off.
Zakumi,
Mwalimu kakukosea nini? Alimnyima au alimfukuza kazi mzee wako?
Ulimuona Nyerere kama ni "raisi mweusi" tu? Hata baada ya kumsikiliza hapa, ikiwa umefanya hivyo, bado huoni alikuwa zaidi ya - "raisi mweusi" tu?
Nakumbuka pia nyakati zilizopita ulivyo mkejeli Nyerere, pamoja na Nkrumah, uliposema "viongozi wenu hao."
Viongozi wako wa Kiafrika miaka ilie walikuwa ni nani? Kenyatta, Mobutu, Kamuzu Banda, Felix Houphouet-Boigny na wengineo kama hao, vibaraka wa nchi za Magharibi?
Walinganishe hao na Ahmed Sekou Toure, Nyerere, Nkrumah, Gamal Abdel Nasser, Modibo Keita, Marien Ngouabi, na Ahmed Ben Bella. Ukiwa mkweli, utaona kuna tofauti kubwa sana kati yao in terms of their commitment to Africa's wellbeing.
Kimweri,
Hata Marekani hakuna ubepari halisi. Habari za Marekani na ubepari halisi ni usasili [myth] tu!
Ni ubepari gani halisi ulio social welfare programs?
Local, state, na federal government, zote hizo zina welfare programs za aina moja ama nyingine.
Watu wasiojiweza [au wenye uwezo mdogo] hupata misaada mbalimbali ambayo hutokana na pesa za walipa kodi.
Kuna social security, kuna Medicare, kuna medicaid, kuna SSI, kuna WIC, kuna TANF, food stamps [EBT cards], section 8 housing, etc.
Huo ni ubepari halisi kweli?
Labda tofauti iliyopo kati ya Marekani na nchi zingine kama za Ulaya magharibi na Skandinavia ni kiasi tu cha pesa kielekezwacho kwenye hizo programs.
Lakini dhana nzima ya ubepari halisi kuwepo Marekani, kiuhalisia haipo.
Shwari,
Na wewe hujaonekana siku nyingi. Nafarijika kukuona hapa. Huyu Zakumi nilisha "give up" on him na kumwacha alivyo.