Huku mtaani tumechoka kusubiri kama vipi CDM jitoeni tutangazieni mgombea urais wetu tuanze harakati.Tumejijenga kwa muda mrefu sasa iweje vyama ambavyo sijawahi kuviona ludewa huku vitucheleweshe.
Mtoa mada anawasilisha mawazo ya CDM. Kuanzia mwanachama mmoja mmoja na hadi uongozi kwa ujumla. Event moja kwao inatosha kujumuisha kuwa wao wanapendwa zaidi na hawana haja ya kushirikiana.
Kuna kila dalili hii hali ya kujiona mnatosha ndio inayosababisa UKAWA kuparaganyika na tutawasema CUF lakini kumbe ni CDM na imani yao kuwa wanatosha ndio chanzo.
Watanzania tunataka upinzani wenye nguvu kuiondoa CCM lakini dalili ndogo tu ya ubinafsi inatupa ukakasi na kuondoa imani yetu kwenu
Mtakaposhindwa kushirikiana kama ukawa hatutajali sababu our conclusion ni kuwa wote hamfai na mfie mbali nyie mliotawaliwa na UMIMI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.