ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 19,728
- 28,283
Unaweza kujikuta we ndio mjinga......Hawa watu walishaaminishwa kujikinga kwa kujivukiza tangu Covid inaingia. Leo hii bila elimu ya kutosha mnawaambia kuna kinga ya sindano.
Unaweza kujikuta we ndio mjinga......Hawa watu walishaaminishwa kujikinga kwa kujivukiza tangu Covid inaingia. Leo hii bila elimu ya kutosha mnawaambia kuna kinga ya sindano.
Gwajima ni kama sauti ya mtu aliye nyikani. Alarm ya saa na nyakati hizi za giza.Exactly.....huyu Gwajima pamoja na uzushi wake kuna kitu anajaribu kutoa angalizo sio mjinga hivyo....
Leo hii watu wanambeza Magufuli lakini hawana uwezo hata robo yake......kwa kifupi suala la chanjo libaki kwa mtu binafsi na familia yake...
Kila mtu apambane na hali yake.PERIOD