#COVID19 Mapokezi ya chanjo ya Covid-19 yapo hasi sana kwa Watanzania

Ww ynayejiita msomi na mjuaji njoo hapa unieleze chemicals content za hiyo chanjo unayoishobokea et ni sarama, uje na visibitisho kuwa ni bora na sarama, uje na visibitisho ilifanyiwa lin utafiti na ina %ngap ya kufanya kaz ndan ya mwil wa binadam, na uje utoe solution kwa wale inao wazuru, mfano damu kuganda, kugeuka magnetic ndan ya mwil wa binadamu sehem aliyochanjwa, wanawake kukosa hedhi, vifo vya gafra, and then uje useme kwann hizo chanjo znatofautiana kulingana na sehem zinayokwenda kutoa huduma? Mfano kuna chanjo wanayoitoa ulaya ni tofaut na wanayoitoa afrika, na unaweza kukuta n kampuni moja lkn znatoa chanjo 2 tofaut yaan ile ya afrika haitakiw kuuzwa ama kusambazwa uko ulaya, je ni nn kilichojificha?? Wew unayejiita unaakili sana kuwazid wanaopinga njoo hapa upingane na mm kwa hoja na visibitisho, mm ninavisibistisho kuwa chanjo si sarama, wew unaesema ni sarama na unajiita msomi njoo hapa...mshazid kuwapnea wale wasio na elimu, sasa mwenye elimu mimi hapa namtaka mwenye elimu mwenzangu tupingane kwa hoja na sio vitisho na matusi ya wanasiasa......
IMG-20210726-WA0009.jpg
 
Hii chanjo ni hiari, sio lazima. Sioni sababu ya zogo. Kama hutaki kaa kimya usitake ku influence na wenzako.
Mbona yellow fever hatuchanji mpaka uwe na safari kwenda ambako lazima uchanje na hakuna anayepiga kelele.
Wale wa kununua vyeti kama vya yellow fever wala hawapigi kelele, wanasubiri wajue bei tu 🤣
 
Exactly.....huyu Gwajima pamoja na uzushi wake kuna kitu anajaribu kutoa angalizo sio mjinga hivyo....
Leo hii watu wanambeza Magufuli lakini hawana uwezo hata robo yake......kwa kifupi suala la chanjo libaki kwa mtu binafsi na familia yake...
Kila mtu apambane na hali yake.PERIOD
Gwajima ni kama sauti ya mtu aliye nyikani. Alarm ya saa na nyakati hizi za giza.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom