Mapishi ya Kijeshi.....

Hapo unakuta mko katikati ya pori halafu mmepata yai la mbuni ivi...lazima vitendea kazi vipatikane
chezea njaa wewe? Hatariii sanaa
 
Boflo, wanapika juu ya kaburi?
 
Last edited by a moderator:
Sasa huyo na nywele zenye zipu anapika nini? Boflo umetumia zile dawa zako leo?
 
Thread inaongelea upishi. Saluni na Mapishi yanapata vibali tofauti, moja city na yenzie tfda;lol

Mapishi na kujipodoa(saluni) ni shuruti kwa wanawake kuyajua.....
 
inaonekana hilo chapati limetumia unga wa DONA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…