Yaani hata mimi nimelishuhudia......Ikitokea uchaguzi unafanyika kesho.....sisiemu lazima chali......hata wakiwaleta magwiji ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi hawata fua dafu......
Ila ninachoomba tu haya mapinduzi yasimwage damu na kutuacha na makovu yasiyo sahaulika.......amani mbeleeeeee maslahi ya nchi mbeleeeeee
jk sio mawingu y mvua aende akanyeshe mtera.. Hii kauli sitausahau..jibu rahisi kwenye mambo magumu ..
Nguvu ya mabadiliko Tanzania inakuja kwa kasi ya ajabu. Hakuna kinachoweza kuzuia nguvu ya umma. Kila sehemu ya maisha wananchi wa kada zote wanaonyesha kutofurahia serikali iliyopo madarakani. Ugumu wa maisha na kushamiri kwa rushwa ni kero kubwa kwa Mtanzania wa kawaida.
Hii nchi ina usalama wa taifa wa kutosha tu, hakuna kitu kama hicho.
Hii nchi ina usalama wa taifa wa kutosha tu, hakuna kitu kama hicho.
..... usitegemee kabisa eti hali tuliyopo Tanzania saizi itarekebishwa tu Chama kingine kikiingia Serkalini... Hapa tulipowekwa na CCM ni pabaya mno and itachukua mda kuweza weka mstari ulonyoooka na kuwafaa Wananchi... na wala Usitegemee eti Mwananchi wa kawaida atanufaika au kuboreshewa maisha yake at a personal level (bado safari ndefu...) - Maana ukweli ni kwamba CCM Wameshindwa... na kuja kwa CDM ni ile tu kubadilisha the name of the system itakayo kuwepo madarakani.... But for change eti ionekane.... Time ndio itasema... Na IMO siamini hilo...
Time for complaining is over is now time to take action- it begins with you
Nyie wengi ni wanafiki na kwa kuwa nchi mlipewa kwa njia ya barua basi mtasubiri hivyo hivyo mpaka barua nyingine ije.
WaTanganyika msijiongopeee HAMNA KABISA UJASIRI huo wa kuleta mapinduzi zaidi ya mapinduzi ya kilimo kuita kilimo kwanza.
Mapinduzi yanataka watu thabiti na waliojitolea kutetea maslahi ya wengi kwani lolote linaweza tokea. Nyie wengi ni wanafiki na kwa kuwa nchi mlipewa kwa njia ya barua basi mtasubiri hivyo hivyo mpaka barua nyingine ije.
Poleni sana
Emancipate yourselves from mental slavery
None but ourselves can free our minds
Have no fear for atomic energy
'Cause none of them can stop the time
How long shall they kill our prophets
While we stand aside and look?...... bob marley
Unajua maana ya machafuko wewe?Kwanza we njuka nani unamwita mwendawazimu?Wewe unatumia nini kufikiri?Makalio ama yanayotoka kunako?Kwa taarifa yako maisha ya wabongo wengi ni mabaya zaidi ya machafuko yenyewe.Inategemea na hayo machafuko.Kuna nchi zilizomo kwenye machafuko na wananchi wake wanaishi better than us tulioko kwenye amani ya kitumwa.Bisha.Wendawazimu ninyi mlinyonya wiki ngapi? Mtu aliyenyonya vizuri hawezi kufurahia machafuko. Mbona mnafikiri kwa kutumia kamasi?
Kuna wakati nilikuwa naatend mafunzo fulani katika moja ya vyuo vya ufundi vya kijeshi hapa nchini. Na wakati wa mapumziko nilikuwa nimekaa na wanajeshi wapatao kama 30 had 40 hivi tunapiga story. Tulikuwa kwenye vikundi vya watu watatu hadi wanne tukipiga story.
Mimi nikaingiza tu wazo la hali ya nchi inavyokwenda na kuilaumu serikali akiwemo Rais Kikwete. I expected kwamba jeshi lingekuwa kinyume na mimi or wangenishambulia. Huwezi amini, baada ya kuanzisha topic hiyo wanajeshi wote walinyamaza kimya wakanisogelea kunisikiliza, na mmojawapo akasema yafuatayo: "Sisi kama jeshi hatuwezi kufanya mapinduzi, maana tukifanya hivyo tunaweza kujikuta tumekosa support ya wananchi. Ninyi wananchi ndiye mnayechangua serikali mnayoitaka, na sisi kama wanajeshi tunasimamia maamuzi ya wananchi. Lakini ikitokea kwamba wananchi hao hao walioichagua serikali wakaamua kuikataa serikali yao, sisi kama jeshi la wananchi bado tutakuwa upande wa wananchi" mwisho wa kunukuu.
Kwa hiyo wakuu habari ndiyo hiyo. Sina uhakika kuhusu usalama wa taifa, kwa kuwa hao najua wanaingia kwenye hizo nafasi kwa upendeleo na kujuana, kwahiyo wanaweza wasiwe tayari kuwaangusha wale waliowapa hayo maulaji. But kwa upande wa jeshi, ninawahakikishieni kwamba the moment wananchi wanaamua kwa dhati, jeshi litakaa pembeni kulinda maandamano yao. Jeshi ni la wananchi na lipo kwa ajili ya kulinda usalama wa wananchi.
Ninajua na ninaamini kwamba jeshi litaua kadhaa siku za kwanza kabla ya jeshi kuintervene na kuamua kulinda na kusimamia maamuzi ya wananchi. Hata kama generali Mwamunyange ni swahiba mkubwa wa Kikwete, naamini atapingwa vikali na wenzake ndani ya jeshi iwapo ataamua kuwageuka wananchi.
Kwa upande mwingine fuatilieni matokeo ya kura za uchaguzi ya mwaka jana. Kambi nyingi za jeshi zilimpa kura Slaa. Kikwete alipata kura chache sana kutoka kwa wanajeshi. Kazi kwenu kufanya maamuzi.