Mapinduzi yaja Tanzania


Sahihi kabisa ! Ni ukweli huu mchungu kuukubali, lakini ukirudi nyuma ni mfumo wetu na makuzi yetu! Anachosema Kiongozi wa Dini ama na serikali tuliaminishwa ni sahihi kabisa. Ndiyo maana hata viongozi wa dini wanatubeza eti ni chaguo la Mungu. Kupenda kwetu kuamini uwongo basi tunapelekea kila kitu kuomba nguvu za kimungu zitusaidie umeme urudi na rushwa iondoke.

Time is always a good judge...lets wait a little longer, with our concerted efforts I tend to believe we will be there one day!!!
 

mkuu nahisi serikali imeona njia sahihi ya kulinda maovu yao nikuwa karibu na jeshi, hivi umesahau jenerali Shimbo alivyoropoka kipindi kile cha uchaguzi? angali hata pesa wanazotengewa jeshini haziguswi na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali na wala hakuna wa kuhoji matumizi yake bungeni.
 
Watanzania wenzangu naomba niwakumbushe kwamba tunapoona kikwetwe ni tatizo tukumbuke yeye ni tunda la mti unaoitwa CCM. Mti mzuri huzaa matunda mazuri na mti mbovu huzaa matunda mabovu. Tutafanya kosa kubwa sana kama tutafikiria kuwa laweza kutokea jema ndani ya CCM. Juhudi zinazoonekana kufanywa kipindi hiki ni kutaka kuendelea kutawala na sio kuleta maendeleo.

Juhudi za mapambano ziendelee kwa nguvu zaidi kuliko hivi sasa. Hatua ya kwanza ilikuwa ni kuweka bayana tatizo kubwa la nchi hiii ni ufisadi, kwanza walikataa lakini sasa wamekubali; huu ni ushindi mkubwa sana. Kwa kuwa wananchi wameona na CCM imekubali hatua ya pili ni kuhoji kwa nini walitumia kodi zetu kufuga majambazi wa uchumi wetu na wao wamekuwa wanufaikaji wa huo mfumo?. Miaka 50 inawatosha kabisa kuonyesha uwezo wao.
1. Walianza na Nyerere - 24 Yrs
2. Akafuatia A.H. Mwinyi - 10Yrs
3. BWMkapa - 10yrs
4. Na sasa Kikwete - 6Yrs (Probabably will be 10Yrs)

Jamani hawa ni watu wanne tofauti lakini waliokuwa selected randomly from CCM busket. Waliosoma hesabu za probability inabidi kuitimisha kuwa kapu hili lina sample mbovu, should be rejected. Si watu hata na mipango yao ni mibovu kwa nini tudanganyike kufanya makosa tena?

Viongozi wa kusitasita na waoga wasioweza kusimamia maamuzi yao hawafai kabisa kabisa mfano S.Sita, Nape M. H. Mwakyembe na wengine wengi kitendo cha kutaka kuondoka CCM na kufanya mageuzi na kushindwa kufanya hivyo kwa ahadi za vyeo na leo wanapiga kelele za mageuzi ndani ya chama ni uzandikii na ubinafsi wa hali ya juu sana. Lengo la kutaka kutoka ni kutafuta nafasi za uongozi na si kuwatumikia wananchi. Watanzania msidanganyike na hawa wabinfsi. Tuliambiwa kuwa kuichagua CCM ni MAAFA.

Mimi naona mbali sijui wewe.
 
mkuu hata kama umenihakikishia ni rafiki zako siamini unalolisema, labda huyu rafiki zako si raia wa nchi hii!
 
Mwaka 1982 walijaribu ... Miaka 30 baadaya wanaweza kutenda! Ujasiri hauji hivi hivi - Ujasiri upatikana baada ya kushindwa katika njia zote zinazofaa!

ndugu usinichekeshe na zile siasa za 1982. Lazima mkubali kuwa Uhuru wenu mlipewa ofisini hivyo hakuna jasiri hata mmoja mwenye kuthubutu. Niliona mengi sana wakti nipo chuo kikuu mlimani. watu sio majasiri bali ni waoga sana na wanafiki wakubwa ndio maana mkaitwa WaDanganyika kwa maana tu tonge moja la ugali linaweza kuwabadili viongozi wenu.

Msijiongopeeeeee. Msubiri tu 2015 mjaribu bahati yenu.
 
By Ben

Moderators tunaomba msifunge au kuhamisha hii thread...........................! na wala Usalama wa Taifa usiwatishe!
Kweli Mods waache watanzania watoe dukuduku lao kuhamisha au kutoa topic kama hizi ni ku practice uoga tunaouzungumzia kuwafanya watanzania wawe watu wa kujadili mambo na matukio mepesi mepesi, na usalama wa taifa hapa ndipo sehemu nzuri ya kujua watanzania wana mawazo gani kuhusu nchi yao na kuyapeleka kunakohusika.
 

Very theoretical in deed. It does not work like that in practice. Yakitokea machafuko hapa kweli unafikiri jeshi litakwa upande upande wa Wananchi? Just be honest. Wakati wa kampeni mwaka jana jeshi lilitoa statement gani? Ile milipuko ya mabomu Gongo la Mboto, jeshi lilikuwa upande upi? Usilinganishe kabisa jeshi letu na jeshi la Misri. They are completely different. Connection ya jeshi la Misri na Wamisri ni very exceptional.
 
basi hao marafiki ni wabinafsi sana na hawafai kuishi nji hii!
 


We will be there lakini sio mapema kama wengi tunavyofikiri. It will take a very long time. Especially kwa mtu kama huyu will make the process even longer.

Mchungaji asante kwa topic hii, mimi binafsi nashukuru Mungu kwa kutupa kiongozi legelege Kikwete....

I prefer to speak with evidence. kama inafikia hatua ya kumshukuru Mungu kwa kukupa kiongozi legelege, then what do you expect?
 

EMT,

Ni kweli kabisa ya kuwa, jambo lililo ndani ya uwezo wa binadamu mwenyezi Mungu hahusiki kabisaaaaa. Ndo maana sisi binadamu tulipendelewa kuliko viumbe wengine wooooote!!

Always a 1000 Kilometers journey begins with one step.......
 
Reactions: EMT
basi hao marafiki ni wabinafsi sana na hawafai kuishi nji hii!

mkuu wanajeshi wengi nji hii ni wabinafsi, wanalipwa hela nyingi sana na wanamtii Shimbo km Mungu wao, believe me, jaribu kumdodosa mmoja uone, watakwambia nnayosema hapa, hawao tusiwategemee kabisa katika mapinduzi tunayotarajia kuyafanya, labda askari magereza au manjuka wa mwema wanaoua raia, cha msingi watu wajitokeze kwa wingi ili risasi ziwe chache kuliko waandamanaji.
 

Mkuu you said it all. Mapinduzi ambayo Watanzania tunayafikiria ni utopia kwa sasa.


mm imeniuma ila ni KWELI

Ukweli unauma. Umeukubali but that is not what many Tanzanians want to hear.
 

Sioni kama umeona mbali hapo. Same old story of talking about political parties. Unachojaribu kusema ni kuwa CCM ndio liability kwa taifa. Realitically, that is not the case. Watanzania wote kwa ujumla ndio liability kwa Taifa. That is the naked truth. Hata ukireplace CCM na kuweka CUF, Chadema, NCCR Mageuzi etc, we will still face the same problems, unless and until sisi Watanzania wenyewe tubadilike.
 
Ukweli mtupu!Nimekuwa nikiyasema haya humu jamvini all the times.Mpaka pale tutakaposema "Lets do something" then tutaweza kupata mabadiliko.Tofauti na hapo inakatisha tamaa sana.Kwasababu hakuna kitu kibaya duniani kama woga.Woga amongst other things unaweza kutafsirika kama ujinga.

Woga ni adui wa maisha ya mwanadamu popote pale ulimwenguni.Woga unepelekea kutokuthubutu,ambako kunapelelekea maana halisi ya nchi yetu ilipo.
 
EMT,

Ni kweli kabisa ya kuwa, jambo lililo ndani ya uwezo wa binadamu mwenyezi Mungu hahusiki kabisaaaaa. Ndo maana sisi binadamu tulipendelewa kuliko viumbe wengine wooooote!!

Always a 1000 Kilometers journey begins with one step.......

Kabisa Mkuu. Utamwomba Mungu akupe mwongozo (guidance), support, strength, help katika kutatua matatizo yako. But you can sit there in your heartache waiting on God to save you from your old ways.

The LORD gives his people strength
The LORD gave his people strength
The LORD will give power to his people
The LORD will give strength unto his people

Psalm 29:11

The LORD will give strength - prosperity in our secular affairs, success in our enterprises and his blessing upon our fields and cattle. But if you don't have enterprises, fields and cattle, then there will be no blessing. What for? The LORD cannot bless for nothing.
 
Mapinduzi hayawezi kutokea ila yawezekana kabisa machafuko kutokea. Dalilizote zimekwisha jitokeza na navyowajua Wadanganyika wanasubiri tu mbiu ya Mwizi waanze kualikana wakiwa na mapanga mikononi. Ni jambo jingine kusema mapinduzi kwa sababu mapinduzi hupangwa na hutayarishwa na kundi la watu wakati machafuko ni cheche ndogo tu inayotakiwa kuwashwa na hali ikabadilika kabisa..

Kusema kweli hali iliyopo sasa hivi inatisha na nachelea kusema nina mashaka makubwa sana kama JK atamaliza miaka minne iliyobakia kwa usalama ikiwa hatachukua maamuzi magumu kukabiri hali mbaya ya uchumi iliyopo. Tatizo la Umeme hayatokani na mvua ambazo JK amedai hazikunyesha bali mipango mibaya ya serikali ktk utekelezaji wa kilimo kwanza. Mvua zimenyesha sana mwaka huu kuliko miaka 20 iliyopita, imewakumbusha wananchi zile mvua za miaka ya 70 na 80 lakini kwa sababu wananchi wengi wamevuta maji toka vyanzo vya mito kumwagilia mashamba yao, kujenga visima na kadhalika hii ndio athari yake kwani mto hauna vyanzo vya chemichemi kama za ziwa ama Bahari ni maji yanayopita kwa kasi kutoka vyanzo mbalimbalia ikiwa ni pamoja na mvua.

Wakati wananchi wanalia na umeme hali ya uchumi wetu ni mbaya kupita kiasi na pengine kuliiko hata Ugiriki isipokuwa sisi waafrika ni kawaida yetu kuficha maradhi, hivyo ugonjwa utakuja kutuumbua!... katika hali hiyo nina mashaka sana kama wananchi watakuwa na subira tena.
 
Mkuu Barubaru kwani wewe ni mtanzania wa wapi? mbona unajitoa?ama ulishaukana uraia wako! Kauli zako kwakweli zinanihamasisha hata kuvaa bomu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…