Mapinduzi yaja Tanzania

Mapinduzi yaja Tanzania

say anything men,what i believe is that Tanzanians are tired!!!
Rafiki yangu mmoja,babake ni mkubwa sana serikalini huyo mzee nimekua nikibishana
nae sana kuhusu "serikali yao",....huyu jamaa alikua upande wa babake kila siku pale tunapokua
tuna bishana,...

nilishangaa sana jana aliposema:
"siipendi serikali hii tena,kama ni kweli bajeti zote hua zinapitishwa kwa rushwa,
hamna hata mbunge nitakae muona ni mzalendo maana siku zote wamejua
haya lakini hakuna aliye wahi kusema,
lakini kwanini bajeti ipitishwe kwa rushwa?
hizo hela zitarudi vipi?
afu nasikia jairo kajiuzuru kwanini asifukuzwe na ashitakiwe?"

with those questions,nilikua sehem mbaya nikamuambia tutaongea ijumaa zaidi,..
he is against what he always believed,and am sure,he is not alone,he represents thousands of
Tanzanians

Change is coming,it might not be today but it will surely come

Mkuu.......
siku zote mwisho wa ubaya ni aibu.........
Tuna akina Jairo wengi katika nchi hii..........
Ukienda kwenye halmashauri hali ndiyo mbaya......ukiwa diwani mpiga kelele basi wewe mkurugenzi atakuwa akikutumia bahasha (mshiko) mpaka utachoka......na mara nyingi akikupa bahasha ujue nae pengine kachukua pesa mara 10 ya zile alizo kupa kwenye bahasha.
Halafu pia halmashauri zikienda kuwasilisha bajeti mbele ya kamati ya akina Mrema (LAAC) lazima nako watenge fungu la kuwapa wanakamati ili kuwapofusha macho wapitishe bajeti zao zenye uozo......yaani ukienda kila kona ni uozo mtupu......na mbaya zaidi rushwa imekuwa ni sehemu ya mfumo wa utendaji wa serikali katika ngazi zote......inauma sana.....bila kuwa na kiongozi ambaye anathubutu kufanya maamuzi magumu tutazidi kuwa hapa hapa....

 
WATAWALA HAWAAMINI WANAONA KUNA JESHI LA POLISI,KUNA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA,KUNA VYOMBO VINGINE VYA ULINZI,LAKINI TAADHALI ILISHATOKA KUWA ANGALIENI MISRI,ANGLIENI SYRIA ANGALIENI NCHI ZA KIARABU DUNIA INABADILIKA MIAKA MITANO ILIYOPITIA ZILIKUA NI NCHI ZA ULAYA ORANGE REVOLUTION, SASA NI NCHI ZA KIARABU.Umma unataka mamlaka yake.

Awaaaaaaaaaaaaaaaaaamini na hawataki kuaaaaaaaaaaamini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sababu ya mapinduzi ipo, uwezo tunao, je nia ipoooo?

Sijui ni aina gani ya serikali ambayo inatuongoza hadi sasa. with alot of strategies, programmes, plans, and targets lakini kila ukifanya evaluation it is almost nil! hakuna lolote practical on the ground. Sasa tatizo ni lipi?
  1. Wasomi legelege: wengi wa intellectuals tulionao ni legelege kwa maana ya kuwa ile 'critical thinking' haipo tena zaidi ya kuwa wanatawaliwa na siasa za vyama. Utaalam wao ni hopeless kwa vile wanaishia kulaumu mfumo, badala ya kuleta mfumo utaoleta mabadiliko ya kweli
  2. viongozi wa serikali: wote ni wanafiki, wala rushwa, wapenda ukabila, umaarufu, kuenziwa. Kazi yao kubwa ya msingi, kusaidia wananchi, wameiacha pembeni, badili yake wanahangaika na wafanyabiashara pamoja na WAZUNGU 'WAWEKEZAJI'
  3. VYAMA vya siasa: hawajui nini la kufanya. unachukua nchi ili iweje? muulize jk na wenzake wakwambie kwanini aliamua kugombea urais tangu 2005, ili atufanyie nini watanzania
  4. wafanyakazi wa serikali: hawa ndo wahanga na wadhalilishwaji wakuu kwa kipindi cha urais wa huyu bwana mkubwa. mnaogopa maandamano kudai haki zenu??? subirini kama zitawafuata mezani. mshahara saivi mnazidiwa na alawansi wanayopewa wanafunzi wa vyuo vikuuu. Jiulizeni, nie mna tatizo gani hadi serikali isiwajali nyie wazalishaji na ipige magoti kwa wanafunzi??
  5. sisi wananchi na upumbavu wetu: watanzania ni wajinga kupita maelezo. mnakalia ushabiki wa chama huku mnakufa njaa? mnauawa katika ardhi yenu? mnakaa gizani huku madini yanakwenda? mnakufa kwa kukosa dawa za malaria wakati viongozi wanajitwalia mali kwa mikataba na njia mbovumbovu za kifisadi? mnakosa ajira kwa waziri mkuu kusema sie 'wajinga' hatujasoma?gharama za maisha zinapanda wakati wabunge wanahongwa mamilioni ili kupitisha budget? .....
INAKERA
SIMAMA CHUKUA HATUA!
MALAWI WAMECHOKAAAAAAAAAA?
 
Sababu ya mapinduzi ipo, uwezo tunao, je nia ipoooo?

Sijui ni aina gani ya serikali ambayo inatuongoza hadi sasa. with alot of strategies, programmes, plans, and targets lakini kila ukifanya evaluation it is almost nil! hakuna lolote practical on the ground. Sasa tatizo ni lipi?
  1. Wasomi legelege: wengi wa intellectuals tulionao ni legelege kwa maana ya kuwa ile 'critical thinking' haipo tena zaidi ya kuwa wanatawaliwa na siasa za vyama. Utaalam wao ni hopeless kwa vile wanaishia kulaumu mfumo, badala ya kuleta mfumo utaoleta mabadiliko ya kweli
  2. viongozi wa serikali: wote ni wanafiki, wala rushwa, wapenda ukabila, umaarufu, kuenziwa. Kazi yao kubwa ya msingi, kusaidia wananchi, wameiacha pembeni, badili yake wanahangaika na wafanyabiashara pamoja na WAZUNGU 'WAWEKEZAJI'
  3. VYAMA vya siasa: hawajui nini la kufanya. unachukua nchi ili iweje? muulize jk na wenzake wakwambie kwanini aliamua kugombea urais tangu 2005, ili atufanyie nini watanzania
  4. wafanyakazi wa serikali: hawa ndo wahanga na wadhalilishwaji wakuu kwa kipindi cha urais wa huyu bwana mkubwa. mnaogopa maandamano kudai haki zenu??? subirini kama zitawafuata mezani. mshahara saivi mnazidiwa na alawansi wanayopewa wanafunzi wa vyuo vikuuu. Jiulizeni, nie mna tatizo gani hadi serikali isiwajali nyie wazalishaji na ipige magoti kwa wanafunzi??
  5. sisi wananchi na upumbavu wetu: watanzania ni wajinga kupita maelezo. mnakalia ushabiki wa chama huku mnakufa njaa? mnauawa katika ardhi yenu? mnakaa gizani huku madini yanakwenda? mnakufa kwa kukosa dawa za malaria wakati viongozi wanajitwalia mali kwa mikataba na njia mbovumbovu za kifisadi? mnakosa ajira kwa waziri mkuu kusema sie 'wajinga' hatujasoma?gharama za maisha zinapanda wakati wabunge wanahongwa mamilioni ili kupitisha budget? .....
INAKERA
SIMAMA CHUKUA HATUA!
MALAWI WAMECHOKAAAAAAAAAA?

Kama wote hao ni bure ninani huyo unayemwambia asimame kuchukua hatua? Ebu anzisha hatua zako tuone kama unaweza tembea maana wengine ni tomaso mpaka tuguse ndiyo tunaamini inawezekana...

Wenzako tulisha simama siku nyingi na baadhi ya unayoyaona na kuyasikia ni matunda yetu sisi tulioamua mapema kusimama japo we bado unatuita majina; hata hivyo hatukati tamaa wala hatubadili nia tunasonga mbele tukitazamia kufikia nchi ya ahadi na inavyooneka huu ndiyo majira na wakati wa kufika huko tuendako!
 
Mkuu hata nikielezea hiyo demokrasia kwa mapana na tukakuta kuwa we have the most democratic society in the world, to remove or change it won't fix the problems. The problem here is not the the type of democracy we have, but the people themselves. I agree with you that "Instead of the Tanzanian masses physically rebelling against the leaders, a rebellion that will leave the masses of Tanzanians dead or hurt, the masses must rebel instead against the lies and ignorance created by the gouvernment which keep the minds of Tanzanians people imprisoned and their mental strength weak." I am not here to advocate violence after all.

I also agree with the most you have said. But would like to add. Most Tanzanians do not want change, even if they say it, no one wants change. If they did, they would go out and do what they needed to in order to acquire the change they want. Most Tanzanians like feeling safe, they don't want to worry about who's going to get them, or what they're going to lose, or what they have to do about it, they would like to stay cozy in safety. Change is a leap into the darkness without a light, and most everyone is afraid of the darkness. However, what most Tanzanians don't realize is that once you're in the darkness, your eyes adjust and you begin with small steps making mistakes at first, and as you continue see better and better making fewer mistakes and actually causing change in others purely by observation.

I agree with you there are those who would talk all day without taking any action. I also agree with you there are some looking for some like-minded people ready for a change. But whether I am one of those minded people, I don't think we will reach anywhere. If we concentrate picking up those who are ready for change, how about those who talk all day? Should they be left out? Of course, we have start somewhere but if we are going to bring a real change, then we gonna have to start with those who talk all day. That's where the problem lies. The Tanzanian society as a whole need to change. If we only take on board those minded who like change and leave out the others, then we might end up to what you tried to avoid in your second paragraph: ".....the Tanzanian masses physically rebelling against the leaders, a rebellion that will leave the masses of Tanzanians dead or hurt...".
EMT, naomba ni-sum up

Watanzania hatupendi kufanya chochote, tunapenda kufanyiwa so even kwenye hili tunategemea some else to do it, unfortunately this time tupo wenyewe hakuna donor, burushi wala kalasinga... WE HAVE TO DO IT OURSELVES

I HATE CORWARDS AND HYPOCRITES unfortunately (again) as you said, ni sisi wenyewe, tunaongoza kwa unafiki!!
 
tatizo letu sisi watanzania tunafanyiwa vitu vya kipuuzi sana na viongozi wetu na kubaki kulaumu tu bila kuchukua hatua mahususi. Mfano mzuri ni hatua ya serikali kumpa huyu jamaa likizo iliyo na malipo maana yake ni nini sasa kama si kuwadharau watanzania? Yaani mtu ni dhalimu lakini bado kwa kuonyesha kwamba wanabariki alichikifanya wanamwambia "kaka umetufanyia makubwa, tunaomba kidogo upumzike kwa amani na kiasi hiki chukua", hiyo ndio maaana yake! Hii sasa si ni dharau kwa bunge na kwa wananchi? tuamke jamani watanzania
Tumeambiwa ni mtu wa "system"
 
jk sio mawingu y mvua aende akanyeshe mtera.. Hii kauli sitausahau..jibu rahisi kwenye mambo magumu ..

jamaa alimuambia mwandishi "kununua mitambo ya umeme siyo rahisi kama kununua jaketi ulilovaa". ati inachukua muda. hivi mtu aliyekaa ikulu miaka zaidi ya mitano anaweza kusingizia suala la muda kweli? basi atuambie inachukua vipindi vingapi vya urais kununua mitambo ya umeme ili tujue kama labda kupata uhakika wa tatizo la umeme tanzania itabidi tusubiri mpaka awamu(ya urais) ya 6, 7,8,9 ,10 au zaidi kuliko kutupa majibu ya disko.
 
EMT, naomba ni-sum up

Watanzania hatupendi kufanya chochote, tunapenda kufanyiwa so even kwenye hili tunategemea some else to do it, unfortunately this time tupo wenyewe hakuna donor, burushi wala kalasinga... WE HAVE TO DO IT OURSELVES

I HATE CORWARDS AND HYPOCRITES unfortunately (again) as you said, ni sisi wenyewe, tunaongoza kwa unafiki!!

Watanzania wanataka raha bila kuipigania.
 
Ngoja niwakumbushe, tanzania tuna badari 3 kubwa, tina maziwa 3, tumezungukwa na nchi zisizo nz bzhari zaidi ya 5, hahitaji hata kuchimba madini, bado tungejitoshereza tu, ufinyo wa mawazo kwa chama tawala ndio tuko hapa sasa
Ndiyo maana mimi naomba usiku na mchana haya matatizo yanayotukabili watz yaongezeka hata mara mia ili kuharakisha ukombozi, siyo kama nafurahia ki hivyo ila ni kutokana na watz wenyewe kuwa wagumu kutambua chanzo cha matatizo yao.Matatizo yetu kwa asilimia 95 yamesababishwa na uongozi mbovu, kwani Mwenyezi Mungu ametujalia kila kitu cha kutufanya watz tuwe matajiri kuliko watu wote duniani, lakini kwa uzuzu wetu tumeendelea kuikumbatia CCM ambayo ni janga la kitaifa.CCM NDIYO WAMEIFUKARISHA NCHI
 
Mkuu vijana waliomaliza mafunzo ya jeshi huko monduli juzi mwz wa pili huwaambii chochote kuhusu Shimbo na JK, wanawapenda kuliko maelezo, rafiki zangu kabisa nilimaliza nao UDSM na walikuwa wapinzani wakubwa wa serikali ndo walisema maneno hayo baada yakutoka kwenye mafunzo, nahisi kuna kitu wamelishwa, au hulka ya ubinafsi.

Hawa ndo wameanza kazi hawajui chochote mpaka wakipata mshahara wa pili (wa kwanza siku zote unatosha)ndo wataona kumbe hautoshi ndo watakapo anza kugeuka taratibu. Mimi pia nina ndugu yangu ni afisa wa jeshi lakini ndo mhamsishaji wa CDM pamaoja na marafiki zake.
Mimi ninachojua ni kweli uongozi wa juu wa jeshi na UWT walihongwa sana kipindi cha uchaguzi kwa vitu vingi. Tambelea makambi mengi ya jeshi yalikarabatiwa wakati huo na maafisa wengi nadhani waliongezewa hata mishahara kuwatuliza. Usifikiri Shimbo angejitokeza kuchimba mkwara kwa maneno matupu ya JK ni baada ya kurekebishiwa mambo yake.


Nadhani mahali tulipofikia sasa hivi hata wao wanamtetea JK kinafiki, siku wananchi wakija juu sijui kama wanaweza kukaa upande wake labda siku ya kwanza lakini siyo siku zote kama wananchi wakikomaa.
 
Tumeambiwa ni mtu wa "system"

Kinachofanyaika hapa ni kuvuta muda wake wa kusitafu ufike iliasije kupoteza mafungu yake ya kustafu. Nadhani wanataka kuchonga deal hapa laikini hatujui alikuwa amebakiza miaka mingapi. nadhani anaweza kustaafu kabla ya muda ndani ya kipindi kifupi kijacho.

Unajua kwanini JK sasa hivi anakiburi sana sasa hivi? Nii kwa sababu hana cha kupoteza hivyo anafanya anavyotaka na ana beef na watanzania kwa sababu tulimktaa hivyo anafanya maamuzi ya kibabe tu sasa hivi. Jairo kama ni mshikaji wake kamwe hatamfukuza maana pia anataka kuonyesha ubabe wake kwetu aone tutafanya nini!
 
Wazee mikakati, chonde chonde, mikakati, wakati ni sasa, tupange tarehe tu ya kuanza kuikomboa nchi yetu, mama lishe wa dsm wanalitambua hilo na wanaunga mkono hoja, wauza mitumba ilala wanasubiri nani ataanza? Tupange tarehe, mwanza arusha na mbeya hawapo nyuma.
 
nakunga mkono hoja. mapinduzi yapo karibu kutokea Tz. lakni nani atayaleta? siamini kama wanasiasa wataweza kuleta mapinduzi ya kweli. nadhani wote wanabei yao na wanaweza kabisa kuwekwa sawa. nashangaa cdm concetration yote ipo arusha kwa madiwani. sidhani kama ni wakt muafaka wa kuhangaika na madiwani ambapo suala kubwa la taifa kuwa tete lipo kama lilivyo.

binafsi naamini mapinduzi yatafanywa na makundi yafuatayo: wamachinga na wanafunzi wa vyuo vya juu. kama tutakaa kutegemea watumia JF kuanzisha mapinduzi...i doubt it. wana JF watachangia sana lkn kuchukua hatua ya kuanzisha mabadiliko ya mustakabali wa nchi hii ...hamna kitu. tutasubiri wengine wafanye na sisi tuzidi kuchangia jamvini na kuendekeza propaganda. siku ukisikia mgambo wamebomoa vibanda vya wamachinga na wao hawajakubali, then ujue ndo mwanzo wa mapinduzi....my take!
 
Naomba nipewe kuongoza nchi hii japo kwa mwezi mmoja muone mambo

kwa Muammar Qaddafi kuna jangwa na ukame miaka yote...hawana shida ya maji, barabara wala umeme. na wanatusaidia kutujengea misikiti huku huku kwetu. huyu mtu wetu anaposimama na kujitetea ati tatizo la umeme ni ukame, bado simuelewe. mimi siyo juha.
 
Nasubiria kuingia mtaani naamini humu JF tuu wenge kila mmoja akiwashawishi watu watano tunatosha kabisa kuing'oa hii serikali ya magamba
 
Hivi mtoto wa Slaa kwa Mama Mushumbushi anaitwa nani?? Na pia mwenye picha yake atuwekee humu pliiz
 
Hivi mtoto wa Slaa kwa Mama Mushumbushi anaitwa nani?? Na pia mwenye picha yake atuwekee humu pliiz

vp mkuu? umeanza w/end na gongo la kwa mtogole nini? mbona sijakuelewa hapa? hii thread tangu ianze hii ni post ya kwanza upupu. mtoto wa slaa tukimjua atasaidia nini kwenye revolution tunayojadili hapa?
 
Back
Top Bottom