Its time to revolt.....follow the revolution;
Tanzania Revolution - CCM MUST GO! Enough is Enough - Wall | Facebook
Tanzania Revolution - CCM MUST GO! Enough is Enough - Wall | Facebook
mkuu hii title niaje Tuzidi kururahi JK na CCM wanapochemsha..
Mkuu CCM haijaingia madarakani hata kwa nusu ya ridhaa ya watanzania wote wenye uwezo wa kuchagua viongozi wao. Kwa muktadha huo kama UMMA ukichoshwa na ukiamua kuitoa CCM Madarakani, hakuna wa kuzuia (hata Mubarak na serikali yake haikung'olewa na wapinzani bali UMMA)Wapinzani wenyewe wa kuitoa CCM madarakani wako wapi?
Wapinzani wenyewe wa kuitoa CCM madarakani wako wapi?
Sababu ya mapinduzi ipo, uwezo tunao, je nia ipoooo?
INAKERA
- sisi wananchi na upumbavu wetu: watanzania ni wajinga kupita maelezo. mnakalia ushabiki wa chama huku mnakufa njaa? mnauawa katika ardhi yenu? mnakaa gizani huku madini yanakwenda? mnakufa kwa kukosa dawa za malaria wakati viongozi wanajitwalia mali kwa mikataba na njia mbovumbovu za kifisadi? mnakosa ajira kwa waziri mkuu kusema sie 'wajinga' hatujasoma?gharama za maisha zinapanda wakati wabunge wanahongwa mamilioni ili kupitisha budget? .....
SIMAMA CHUKUA HATUA!
MALAWI WAMECHOKAAAAAAAAAA?
Hata huo UMMA wenyewe ambao una uthubutu wa kuingia barabarani na kudai kuitoa serikali uko wapi. Watanzania ni hodari sana wa kutoa maoni na kashfa kwenye FB, JF, na magazetini lakini hakuna mwenye guts na kutoka waziwazi. Labda wanachuo na kudai meals allowance.Mkuu CCM haijaingia madarakani hata kwa nusu ya ridhaa ya watanzania wote wenye uwezo wa kuchagua viongozi wao. Kwa muktadha huo kama UMMA ukichoshwa na ukiamua kuitoa CCM Madarakani, hakuna wa kuzuia (hata Mubarak na serikali yake haikung'olewa na wapinzani bali UMMA)
i am afraid to say that kikwete can not think.....itatugharimu sana kwenye historia yetu huyu bwana kuwa ikulu.
Haishangazi wakenya kusema ni ' lazy, foreign-trip-loving president who is soft on corruption always always out to sprucing his image'I am afraid to say that Kikwete can not think.....itatugharimu sana kwenye historia yetu huyu bwana kuwa Ikulu.