Mapinduzi ya Zanzibar - Januari 12, 1964

Walikuja kufanya mapinduzi wote ni washenzi walitoka nje ya zanzibar ,mapinduzi haya hayakupangwa na wazanzibari bali wageni walikuwa wakiishi zanzibar na wengine walikuja kutoka Tanganyika kwa kushirikiana na Nyerere.

Soon inshallah Mutaitema Zanzibar yetu mulio tupokonya 1964
 
Mapinduzi ya yaliyofanyika Zanzibar mwaka 1964 hayajaliteta faida yoyote kwa zanzibar isipokuwa zanzibar imezidi kudidimia kimila utamaduni na kiuchumi,Zanzibar iliyokuwa mfano kwa nchi za Afrika na asia,zanzibar iliyokuwa na nguvu kubwa ya uchumi imekuwa ni nchi isiyojitambua wala kujijua

Wakati umefika kwa hizi propaganda za mapinduzi zifikie tamati hayo ni mambo yaliyofanywa na kizazi kilichopita cha mababa na mababu zetu,wakati umefika kizazi kilichopo sasa kifikirie nini cha kufanya kuhusu zanzibar kuliko kuzungumzia mambo yaliyopita na wakati
 
Kupeperusha bendera na kuwa na kiti kule UN sijambo dogo,baada tu ya mavamizi ya 64 zanzibar imepoteza kila kitu chake kutokana na mavamizi ya nyerere na vibaraka wake akina okello.
 
Mshume Kiyate,

Watu wengi wameandika na mengi yamandikwa kuhusu mapinduzi ya zanzibar kiasi ambacho data au information ya haya mapinduzi ya zanzibar zinaleta utata lipi la kweli na lipi la uongo,Hii ya kusema kuwa hawakupelekwa watanganyika kusaidia mapinduzi ya zanzibar sio kweli,Ukweli walikuwepo watanganyika hasa kabila la kimakonde na silaha za jadi wakati wa mapinduzi.

mapinduzi yameshafanyika yaliyotokea yameshatokea iliyobakia tusonge mbele,kizazi kikubwa cha wazanzibar hawakumbuki hayo mapinduzi hawamjui John Okelo wala karume,tuanchane na hizi habari yaliyotokea yameshatokea tugange lijalo :)
 
gombesugu,

Mkuu,

Naomba umsome hapa 'msomi' Abeid Karume 'aliyepewa' urais na huyo uliyemuita 'fundi mchundo',illiterate,haramia,kenge aso na fadhila,mtu asiyejua kusoma wala kuandika,Field Marshal John Okello akimshukuru kwa 'huduma' nzuri ya mapinduzi matukufu wakati wa hotuba yake ya kwanza kabisa baada ya mapinduzi kama rais wa nchi(namnukuu):

I am pleased and delighted to have this opportunity of speaking to you publicly in our newly freed island. As President of the Republic, I promise to serve you faithfully and to the full extent of your needs. The government we are going to construct will be the opposite of that which we have suffered under before. I am glad to say that under the wise leadership of Field Marshal John Okello we have reached a goal which we alone could not achieve. I appeal to you all to serve the new regime faithfully and honestly.

I must express my thanks Karume went on, to the freedom fighters through whose efforts I have become President, and to Field Marshal Okello, whose fruitful leadership was accepted by you. My being President now, is due entirely to your strength and energy, you have struggled and suffered and died, but you have achieved a remarkable victory. I want all of us to work in unity and to obey Field Marshal Okello as any other person born on this Island without any form of discrimnation.

Without his wisdom and courage, none of us would be where we are at the present. Fiel Marshal Okellos activities clearly shows that he is a man born with African liberation in his heart, and we of this Island are actually to have had him achieve our freedom so quickly.

Sasa kama 'Baba wa Taifa' lenu Mh Sheikh Abeid Karume amemtambua John Okello kama 'mwokozi' wa nchi yenu wewe ni nani hata umuite illiterate?

Naona mnajitahidi kufuta historia hii kwa malengo yenu maalum,lakini kamwe hamtaweza kwani historia ilishaandikwa na collections zimesambaa duniani kote!
Hata Adolf Hitler,Mussolini,Iddi Amini (dada),wote wanahesabika ni wauwaji lakini hawajawaji kufutwa kwenye historia.Hata hao waarabu waliua mamilioni ya watumwa lakini wala historia yao haijawahi kufutwa kutokana na maovu Yao!

Asante sana!
 
kajirita,

Mkuu Okelo hakupindua Zanzibar yamepangwa na Akina Hanga na Babu,Okelo alipelekwa tu kutanganza ninanyoona mimi sababu kubwa ya Okelo kupelekwa pale raha leo (radio station) kutangaza kwasababu kila mzanzibari alishiriki kwenye mapinduzi hayo aliogopa kusimama na kutanganza kuwa yeye ndio kafanya,kwa ule unyama na mabaya waliofanyiwa wazanzibar wakati ule wa mapinduzi

Ukisoma habari za Hanga ndie yeye alietaka kumpindua tena Karume,inasema Hanga kifo chake alifungwa mawe na kutupwa baharini.

kwa muono wangu walikuwepo walitayarisha na kuandaa haya mapinduzi ya zanzibar na walikuwepo waliotumiliwa tu kuonekana kuwa wao ndio wamefanya hayo mapinduzi,wako akina Mr X,ambao jina lake halikupaswa kutajwa wakati wa kesi ya kumuuliwaa kwa Karume :)
 
pasco, Nakushangaa sana PASKALI kwajinsi unavyo jinasibu na jinsi unavyotaka tukufaham kama ww ni muandishi mahiri mjuaje mwenye heshima ktk tasnia ya habari ninapo ona dharau kejeli na matusi ktk coments zako sijui kama ndio tamaduni za waandishi au za kabila yako au za dini yako au niukosefu tu wa adabu uliotoka nao kijiji kwenu ivi unawezaje kuwaita watu wenye mawazo tofauti na yako Nzi(MAINZI) Hivi hujui dhamana yako mbele ya jamii?
 
Mkuu Okelo hakupindua Zanzibar yamepangwa na Akina Hanga na Babu,Okelo alipelekwa tu kutanganza ninanyoona mimi sababu kubwa ya Okelo kupelekwa pale raha leo (radio station) kutangaza kwasababu kila mzanzibari alishiriki kwenye mapinduzi hayo aliogopa kusimama na kutanganza kuwa yeye ndio kafanya,kwa ule unyama na mabaya waliofanyiwa wazanzibar wakati ule wa mapinduzi

Ukisoma habari za Hanga ndie yeye alietaka kumpindua tena Karume,inasema Hanga kifo chake alifungwa mawe na kutupwa baharini.

kwa muono wangu walikuwepo walitayarisha na kuandaa haya mapinduzi ya zanzibar na walikuwepo waliotumiliwa tu kuonekana kuwa wao ndio wamefanya hayo mapinduzi,wako akina Mr X,ambao jina lake halikupaswa kutajwa wakati wa kesi ya kumuuliwaa kwa Karume :)

Mkuu,
Mwanamapinduzi Ernesto Guevara "Che" wakati anafanya mapinduzi ya Cuba alishirikiana kikamilifu na Fidel Castro katika vita ya msituni kumuondoa Dicteta Batista,wala hakuna hata mmoja kundi la wanamapinduzi ambaye alipanga mapinduzi yale hakushiriki katika vita hiyo ya msituni.
Wasiwasi wangu mimi ni pale mnapowaita wale waliojificha Tanganyika huku wanakunywa ghahawa na kucheza bao(akina Babu) ambayo walikuja Zanzibar mapinduzi yamekwisha kufanyika kuwa ndio wanamapinduzi,na mkiwasahau wale walioyaweka maisha yao rehani kutekeleza mapinduzi hayo!

Lakini mwanamapinduzi Field Marshal amewashukuru sana kwa yote mlomfanyia kwenye kitabu chake 'Revolution in Zanzibar' akisema (namnukuu):

"I have had several lessons, then in African psychology and I believe that a good thing done by an African for his brothers in need may in future be turned against him. Yet there are few people on earth who will help others at their own risk. It is wrong that when you have cultivated a farm for your brothers and the fruits are ready, they deny you a share.

God himself must have cursed such behaviors It is also unwise to say a pot which helped you to cook should be broken to pieces when you have eaten from it and are satisfied, for you do not know what may happen the next day, and if you are hungry a pot broken in contentment will not serve you in the need. The old fishermen with whom I spoke when crossing from Pemba to Unguja in 1963 and many of my soldiers and officers, will recall my predictions about their behavious towards me.

I did as I said I would lead them to freedom and they did as I said they would expel me from their land like tailless dog. As a child, I was dispossessed of everything, yet this did not defeat me, as a leader of the Zanzibar Revolution."

ANGALIENI UJUMBE HUU USIJE UKAWA NI LAANA ATI!

Asante!
 
Nakushangaa sana PASKALI kwajinsi unavyo jinasibu na jinsi unavyotaka tukufaham kama ww ni muandishi mahiri mjuaje mwenye heshima ktk tasnia ya habari ninapo ona dharau kejeli na matusi ktk coments zako sijui kama ndio tamaduni za waandishi au za kabila yako au za dini yako au niukosefu tu wa adabu uliotoka nao kijiji kwenu ivi unawezaje kuwaita watu wenye mawazo tofauti na yako Nzi(MAINZI) Hivi hujui dhamana yako mbele ya jamii?
Mkuu Bizimaki, na wengine uliokereka na lugha hizi za "mainzi" na "muuza utumbo!", hizi ni tamathali tuu za semi!, jina la "muuza utumbo" limeletwa na Mkuu Zomba!, huyu "muuza utumbo" ni mtu maalum na hao "mainzi" ni watu fulani humu na wanajijua!. Samahani sana kwa mliokereka
Tuendelee kuchangia!.
Pasco.

/
 
pasco,

Paskali ww ni mtu unaetakiwa kuwa mfano(kioo cha jamii) kutokana na kazi yako ulioichaguwa haipendezi kumkashif mtu kumtukana kumkejeli na hata kutukana au kekejeli mtu na watu wakakunukuu / kukusikia. Hao unao sema ni watu maalum unao waita Nzi bado haikuweki ktk nafasi nzuri kiheshima na kimaadili ya kibantu na ya tasnia ya uwandishi na hasa ulivyo mwana ccm ndio kabisa unatakiwa kuwa mfano zaidi
 
Asante nimekusikia, ila very unfortunately mimi sio mwanachama wa chama chochote!, kama vipi nitaingia CCM ili nijifunze nidhamu japo ya woga!.
Asante lakini.
Pasco
 
Asante nimekusikia, ila very unfortunately mimi sio mwanachama wa chama chochote!, kama vipi nitaingia CCM ili nijifunze nidhamu japo ya woga!.
Asante lakini.
Pasco
uje na Zzk na wenzake kina Said arfi. Tuachane nahayo tuambiea uwelewa wako wa Okelo na hayo mapinduzi matukufu ya znz!!
 
uje na Zzk na wenzake kina Said arfi. Tuachane nahayo tuambiea uwelewa wako wa Okelo na hayo mapinduzi matukufu ya znz!!
Hii story ya Okellohumu ndio ukweli wenyewe!, japo ni kiongozi wa Mapinduzi, aliletwa na ndie alieleta dawa ya kupumbaza!.

Kwa kuogopo just incase mapinduzi yangefail, Karume na Babu walikaanga mbuyu, na kuwaachia wenye meno watafune!. Wao walotorokea Dasalama usiku usiku!, huku akimdanganya mkewe anapeleka watoto shule, wakti huo, wanae Amani na Ali, wakisoma nchini kwao, Karume, Malawi!.

Kuna kitu wengi hawakijui, baada ya kufanikisha Zanzibar, Okelo alikuja bara ile tarehe 17 kuamkia 18 ili kumpindua Juliasi, kutokana na kubwa wa DaSalaam, na poor coordination, uasi ule ulizimwa na Mwingereza.
Pasco.
 
Pasco,

Yaani hapa unawavuta SHARUBU na KANZU zao kiasi hata kuomba kwenda haja wanaona aibu ha ha ha , wamuombe MMJ aje awasaidie

CC Mwanakijiji
 
Hii story ya Okellohumu ndio ukweli wenyewe!, japo ni kiongozi wa Mapinduzi, aliletwa na ndie alieleta dawa ya kupumbaza!. Kwa kuogopo just incase mapinduzi yangefail, Karume na Babu walikaanga mbuyu, na kuwaachia wenye meno watafune!. Wao walotorokea Dasalama usiku usiku!, huku akimdanganya mkewe anapeleka watoto shule, wakti huo, wanae Amani na Ali, wakisoma nchini kwao, Karume, Malawi!.

paskali mbona historia ya mapinduzi ya znz inachanganya sana kila mtu kila jamii kila kikundi kila kabila kila dini ina historia yake tofauti ivi tuamini ipi na kwanini haichukuliwi juhudi ya pamoja kuunganisha hizi historia ili ipatikane historia kamilifu isiyo na utata?
 
Hii story ya Okellohumu ndio ukweli wenyewe!, japo ni kiongozi wa Mapinduzi, aliletwa na ndie alieleta dawa ya kupumbaza!. Kwa kuogopo just incase mapinduzi yangefail, Karume na Babu walikaanga mbuyu, na kuwaachia wenye meno watafune!. Wao walotorokea Dasalama usiku usiku!, huku akimdanganya mkewe anapeleka watoto shule, wakti huo, wanae Amani na Ali, wakisoma nchini kwao, Karume, Malawi!.
Kuna kitu wengi hawakijui, baada ya kufanikisha Zanzibar, Okelo alikuja bara ile tarehe 17 kuamkia 18 ili kumpindua Juliasi, kutokana na kubwa wa DaSalaam, na poor coordination, uasi ule ulizimwa na Mwingereza.
Pasco.

Duh! Mkoloni yule yule ndio ameokoa jahazi muda mfupi baada ya kutupa mamlaka kamili. Si aibu hii!
 
kajirita,

kwa kifupi Mkuu,ndo yale yale nilokwambia kwenye post yangu ya awali.
sasa huyo Mnyasa Karume ulitaka tumshukuru sisi kwa lipi!?

je wafahamu yakuwa hata huyo Karume nae pia alikua illiterate!?

hiyo hotuba hapo unayodai ndo ya Karume ati kumshukuru Yule Okello kwa Yale mauaji ya halaiki!?
je Karume alisoma kwa lugha hiyo ya kizungu!?

unajua yakuwa Karume wakati ndo rais wa nchi lakini ndo alikua akifundishwa hata kuzungumza kizungu/kiingereza na maalim Fulani!?

mkuu mie nakudodosa hivi makusudi sababu nafahamu yakuwa wewe hayo yoote uandikayo huyafahamu kiundani na labda itakua umesoma tu vitabu kiduuchu vya upotoshaji wa history!?

kwa hivi sasa fursa Yangu ni kiduchu mno...lakini nauufuatilia huu mnakasha kwa utuvu!
ahsanta
 
Pasco,

Yaani hapa unawavuta SHARUBU na KANZU zao kiasi hata kuomba kwenda haja wanaona aibu ha ha ha , wamuombe MMJ aje awasaidie

CC Mwanakijiji

wee bado una hangover ya thread ilopita,sio!? Teeth! Teeth! Teeth!

unamsifia huyo pimbi mwenzio msu-k.u.m.a pasikali aka pasco, wakti hata hii thread/maelezo haya yoote tumekuwekeeni nyinyi ili mjifunze japo kiduchu!? Teeth! Teeth! Teeth!

hao ulowataja pasikali aka pasco na yule kauzu mwingine illegal immigrant ajiitae ati mwanakijiji...wacha kuwa-glamourise pasi kiasi!

yomba mwana kuyomba na huyo msu-k.u.m.a pasikali...tafadhalini acheni kumuharibia Mkuu Mshume Kiyate thread kwa kuleta mambo yenu ya kwenye michiriku!!!

Ahsanta
 
Back
Top Bottom