kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
LAWAMA SI ZA JESHI LA POLISI..... wahusika walioanza kupigana ndo lawama ziwaendee
lawama ziende kwa anayedai kumiliki eneo kutotumia mihimili husika kufikia muafaka.LAWAMA SI ZA JESHI LA POLISI..... wahusika walioanza kupigana ndo lawama ziwaendee
jamani hii ni tanzania au imekuwa rwanda sasa? jmani serikali ipo kweli na inayaona haya?
u hv spoken ma mind.i swear pamoja na kuwa mwanamke lakini ningekuwepo ningemchoma mtu moto.Ningetoa petrol kwenye gari haraka haraka ningemlipua mtu.Hii nchi habari za majadiliano zimefeli kilichobaki mabavu tu.mambo haya yanapotokea, wanasiasa wasiendelee na kauli zao za 'tanzania nchi ya amani'. wanayodhani hayawezi kutokea tanzania yanawezekana kabisa, as long as wenye njaa wanaonewa na kunyanyaswa. ipo siku wanasema basi!!!
R.I.P.
lawama ziende kwa anayedai kumiliki eneo kutotumia mihimili husika kufikia muafaka.
Think of wabomoe nyumba yenu from no where, no details/no maelezo kabla
Ningekuwa karibu na eneo ningechochea fujo ile mbaya na ningemwagia mtu petrol na kumchomea mbali.
Bila kujali chochote kile.
Kutoa uhai wa binadamu mwenzio kwa sababu yoyote ile ni UKATILI.
MUNGU awalaani na kuwasamehe WAUAJI hawa. Na wakamatwe wakajibu mashtaka kwenye vyombo vya haki.....Unawezaje kumuua binadamu mwenzio namna ile kisa ardhi/mali?
sijibu maswali yasio na msingi.Nawapongeza polisi kuwaachia wanainchi wale jukumu la kulinda mali zao.100% WAMEFAULUkwani kazi kubwa ya wizara ya ardhi ni nini?
sijibu maswali yasio na msingi.Nawapongeza polisi kuwaachia wanainchi wale jukumu la kulinda mali zao.100% WAMEFAULU
u hv spoken ma mind.i swear pamoja na kuwa mwanamke lakini ningekuwepo ningemchoma mtu moto.Ningetoa petrol kwenye gari haraka haraka ningemlipua mtu.Hii nchi habari za majadiliano zimefeli kilichobaki mabavu tu.
LAWAMA SI ZA JESHI LA POLISI..... wahusika walioanza kupigana ndo lawama ziwaendee
Ndio tumechoka lakini is too much...Kitendo walichofanya hawa mabaunsa hakikua cha kiungwana,na kitendo cha waliowaleta pia hakikua cha kiutu hasa ikizingatiwa yangeweza kutokea km yaliyotukia!....kitendo cha wananchi kujichukulia sheria mkononi nacho ni cha kikatili na kisichokua cha kiutu! Yatosha sasa kusema mamlaka zote zinazohusika kwa namna moja ama nyingine katika hili sakata kutoa taarifa za kushindwa ili tujue pa kukimbilia pindi yakitufika!
hapo kwenye red&bold:
baby unachanganya mada. hakuna ushahidi wowote kuwa wewe ni 'ke'
Jamani Ndg Zangu Watanzania wapendwa, tumeisha sema mara nyingi ili kuondoa migogoro yote ya umiliki wa aridhi lazima tuwe na katiba mpya. Huwezi kusema aridhi ni mali ya taifa ili inufaishe mafisadi wawadhurumu watu walioishi kwenye hiyo aridhi tangu enzi za mababu!!!!!!!!! Katiba italitazama swala la aridhi ili liwe na msingi mzuri wa kunufaisha waliopo kwenye eneo lao!!!!!!! Aridhi ni mali ya taifa watu wamezikwa wazima wazima Nyarugusu, Tundu Lisu na wanaharakati wengine wamefatilia saana swala hili, na haki bado kupatikana shauri ya katiba legelege. TUNAHITAJI KATIBA MPYA ILI TUWEZE KUONDOA MIGOGORO YA ARIDHI ILIYOPO TAIFA LISIINGIE KWENYE UANGAMIVU!!!!!Mwanzo nilikuwa ninachukulia hii habari kama nyingine ila baada ya kuona hii clip nimeshawishika kuwa hii ni habari kubwa na nyeti sana kwenye ustawi wa public safety kwenye nchi yenye Govt for the people by the people hasa ukiangalia mlolongo wa matukio
My Take: Hili suala linatakiwa kuondoka na Askari wote waliopigiwa simu kuwa kuna ugomvi, yaani kuanzia Mwema, Kova na wengine wote wa upande wa mawasilino. Pia kwa upande wa wanasiasa waziri muhusika anatakiwa kuwajibika kwa makosa ya askari wake ili kuongeza public trust
- Mabaunsa 400 wameletwa na Kampuni ya udalali kuvunja nyuma bila kumtafuta mwenyekiti wa mtaa na kuomba ulinzi wa vyombo vya dola wakati wa utekelezaji, kama walikuwa na haki ya kufanya hivyo
- Mwenyekiti wa mtaa na viongozi wanawasiliana na vyombo vya dola kwa lengo la kuepusha maafa lakini, kwa jeuri na uzembe wa hali ya juu hasa kwa kujua hawakuitwa na kiongozi wa juu wa serikali kulinda masilahi ya CCM basi wanaona kuwa maisha ya binadamu wengine is useless
- Polisi wanatoa kauli za dharua wakati wa dharula kuwa acha wananchi wauane na wa mwisho atakuja kuripoti polisi, hii ni kauli inayoweza kufanya wizara nzima inayohusika na usalama wa raia kuvunjwa na kuundwa upya katika nchi za demokrasia ya kweli na zenye kulinda masilahi ya wananchi. Isipofanya hivyo uchaguzi ujao inakuwa ni issue kubwa ya kupoteza kura
- Watu watano wanapoteza maisha hapo ndipo tutakapoona Full force ya kamatakamata kwa lengo la kujikosha na ku-sucrifice polisi aliyejibu utumbo kwa kumuhamishia sehemu ingine.
Waliouwawa ni mabaunsa ambao kwa jinsi inavyooneka wengi wao ni jobless ndiyo maana wakawa tayari kurisk maisha yao kwa ujira wa Tshs 50,000. Kundi hili ni lazima litakuwa linajumuisha wavuta bangi na vibaka. wasiwasi wangu ni kuwa kwa wale waliopona na kukimbia wanweza kuwa na moyo wa kulipiza kisasi kwa kupoteza wenzao watano na kuamua kuvamia mivumoni usiku wa manane kutoa kibano cha haja kwa mkazi mmojammoja hasa wale waliowa identify kuwa ni frontliners. Hapa busara itumike hasa kuwapoza mabaunsa waliosalia kwani nina hakika kuwa aliyewaleta anawafahamu. Upande mwingine ni kuwa aliyewaleta nae anaweza kugeukwa na mabaunsa hawa baada ya kuwapeleka machinjioni na kuwakimbia.
Nina hakika kabisa kuwa kama KOVA angepigiwa simu kuwa CHADEMA wanaandamana bila kibali basi isingechukua dakika kumi na tano kwa magari FFU waliosheheni silaha zote nzito kufika eneo la tukio kuwavurumusha ili apate credit kwa viongozi wa CCM