Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
TUSISAHAU KUWA SERA YA ARDHI ALIIANDIKA ISSA SHIVJI KWA STAILI ILE ILE ANAYOTAKA KATIBA MPYA IANDIKWE. MATOKEO YAKE NI MIGOGORO YA ARDHI ISIYOISHA NA WAGENI KUJA KUWANYANGANYA WANANCHI ARDHI YAO. MIFANO IKO MINGI, TEGETA NDIO WA LEO TU. TUKIMSIKILIZA SHIVJI TENA LEO KATIKA MASWALA YA KATIBA MATOKEO YAKE TUTACHINJANA KAMA KUKU.
Sera ya ardhi inaingiaje hapa? Umiliki wa ardhi na taratibu zake zinafahamika, kwamba raia watz wanashikilia tu lease kwa maximum of 33 years, na sioni ubaya wowote hapa.. ishu hapa ni kwa serikali legelege ambayo pamoja na tz kuwa na eneo kubwa la kutosha bado inakabiliwa na tatizo la makazi holela na migogoro ya ardhi isiyo na kichwa wala miguu kutokana na managament mbovu ya rasilimali hii adhimu.