Mapigano ya kugombea ardhi yaua Tegeta

Mapigano ya kugombea ardhi yaua Tegeta

muwe mnaweka story kamili kama mnaamua kuanzisha thread, msipende kuacha watu wakiguess. si wote wanakuwa wanajua kinachoendelea kwenye akili zenu. asante

Yaani sipendi mtu anaanzisha thread afu juu juu tu ana assume kila mtu yuko kwenye tv mda huo
 
Aisee JK amepatwa na mambo makubwa katika historia ya viongozi wa nchi hii, ametengeneza vacuum sasa nature ina take cover, hii ni dalili ya udhaifu katika uongozi, sasa hili ni fundisho kwa wale wote waliokuwa wanaungana na ccm kusema vyama vya upinzani vinasababisha uvunjifu wa amani, hii kwa kweki ni aibu kwa serikali yetu na ni jambi la kusikitisha sana. Sitashnagaa kutosikia serikali ikitoa tamko lolote kufuatia tukio hili la aina yake hapa Dar, pia nadhani itakuwa fundisho kwa hao wanaotumwa na kutekeleza udhalimu kwa maslahi finyu ya muda mfupi. siku nyingine watapima kwanza kabla ya kuingia kichwaX2.
 
Mbona hao mabaunsa kidogo wangeliwaua na mpaka aliyowatuma, siku nyingine wakija wachomwe moto ili wasionekana hata miili yao, pumbafu sana kama Kikwete
 
Nimeiona taarifa hii ITV, wana nzengo walivyokuwa wakiwacharanga mapanga mabunsa inasikitisha na haitizamiki. Wizara ifanye maamuzi kabla ya hatari zaidi
 
Ohh my gudness, nimeona hizo picha itv yaani watu wamekufa so cheaply like mende au kunguni. Roho imeniuma sana, hivi tunaelekea wapi?? Hivi mbona maisha yetu hayathaminiwi? Mpaka afe nani ndio serikali ianze kutusikiliza?

Ohhh Lord have mercy!!!
 
Inakuaje mtu mmoja ndani ya jiji la dsm anamiliki ekari 30?hilo ni shamba au?ni bora angepima viwanja na kuwauzia wananchi wajenge
 
OH GOD KEEP ME ALIVE AS FAR AS LIFE IS GOOD FOR ME AND LET ME DIE WHEN DEATH IS GOOD FOR ME. Ila mafisadi wachukue hata leo. Watu wamekufa kwa kupewa sh. 50,000 tu
 
It's about time. Huwa nakaa nakufikiri, hivi ningezaliwa enzi wakoloni na utumwa ningezubaa tu au ningechukua hatua za kupinga ukatili huo. Najifariji nakusema ningepigana. Nikaja nikafikiri kwani sasa kuna tofauti gani na 'siku hizo' za ukoloni na utumwa? Nikakuta hamna tofauti. Nikajiuliza sasa unafanya nini nyamgluu na ukoloni huu? Jibu nalo mwenyewe. Tafakari chukua hatua.
 
Tanzania peke yake ndio isoyokuwa na polis wenye akili timamu, chochote wanachoambiwa wako tayari kukifanya na wala hawajui madhara yake.
 
Hali ni mbaya sana maiti zimetapakaa mashambani kama zile za Genocide kule Rwanda. Wengine wamevunjwa viungo wame lala tu wanasubiri kufa. Huwezi amini kama ni Tanzania tena Dar es salaam karibu na makao makuu ya vyombo vyote vya usalama. Tajiri mmoja amesababisha roho za watu kupotea. JAMNI WATANZANIA.

This is very sad, watu watatakiwa wawajibike hapo, wa kwanza ni wale walioshindwa kutatua mgogoro wa Ardhi na wa pili ni uongozi wa polisi pia. Lakini cha kushangaza utasikia tume itaundwa. Hii nchi inaelekea pabaya sikuamini macho yangu kwa niliyaona kwenye TV leo.
 
Ndio tumechoka lakini is too much...Kitendo walichofanya hawa mabaunsa hakikua cha kiungwana,na kitendo cha waliowaleta pia hakikua cha kiutu hasa ikizingatiwa yangeweza kutokea km yaliyotukia!....kitendo cha wananchi kujichukulia sheria mkononi nacho ni cha kikatili na kisichokua cha kiutu! Yatosha sasa kusema mamlaka zote zinazohusika kwa namna moja ama nyingine katika hili sakata kutoa taarifa za kushindwa ili tujue pa kukimbilia pindi yakitufika!
 
Zaidi ya watu 5 wamekufa ktk mapigano ya kugombea ardhi kati ya wananchi na mabaunsa wa kampuni ya udalali ya Mwangata huko Mivumoni Tegeta. RADIO1 STEREO

Matokeo ya serikali ya mafisadi, wananchi wana-anza kupambana nao.
 
I think now Tanzanians are in the right truck,there is more to come,amani na njaa sawa haiwezekani
 
I think now Tanzanians are in the right truck,there is more to come,amani na njaa sawa haiwezekani
 
very sad indeed.

guys suffering from unemployment get involved into bloodshed confrontations for such kind of wages (Tshs. 50 000).

People's power is gradually taking its real shape. We are slowly getting used to seeing people killing one another openly. May our Almighty God help us not to reach there.
 
Wakati ule wa enzi ya RAI chini ya J.Ulimwengu makala nyingi zilizokuwa zinatoka katika gazeti hilo zilikuwa zinaonya bomu litakalo lipuka kutokana ukubwa wa pengo lililokuwa likiongezeka(na sasa linaongezeka kwa kasi zaidi) kati ya wenyenacho na wasionacho. Leo ITV ndio wamenionyesha(Mapigano ya Tegeta) kuwa zile makala ziliandikwa na watu wenye maono.

Watanzania(mlioko madarakani) nina hakika mnaelewa kabisa kuwa Tukio lililotokea Tegeta leo limeonyesha jinsi wananchi ambavyo wamechoka kuonewa (kuporwa haki zao za msingi). Nawatahadharisha msije mkajaribu kutatua mgogoro huu kwa jazba au visasi. Mkifanya hivyo nawahakikishia mtaanzisha virugu ambazo hamtazidhibiti kamwe.
 
Back
Top Bottom