Mapigano wakristu na waislamu - yametimia

THANKS FOR BREAK NEWS.Ndo wakati huu ,huitaji kuuliza kwani pale wanapigana,Je kuna aliyejua nini kitatokea sasa Misri,Tunisi na Libya
 
Nawasisi kama haya ni maigizo.....kunamtu amewalipa watu wafanye fujo ili yale waliyokua wanasema ..(udini).....yawe kweli......nasikitika!!!
 
Jamani nini tena? Matokeo ya kupandikizana udini na siasa chafu. Ee Mungu tunusuru na hilo janga. Haya mambo sio ya kushabikia familia, marafiki.majirani tumechangamana na hiyo vita haitachagua inaweza kubabua mkeo, mwanao, mamako, babako nk.
 
sababu nilizosoma kwnye gazeti moja ni kwamba kuna mchungaji mmoja kutoka dar es salaam ajulikanae kama Rich,alienda mto wa mbu kuhubiri injili,akiwa pamoja na wainjilist wa pentekoste walianza neno vizuri-na hoja alizokuwa akitoa ni 3,nazo ni KWA NINI WAKRISTO WANAKULA NYAMA YA NGURUWE,KWANINI MTUME MOHAMED ALIKUWA NA WAKE WENGI NA UHALALI WA WAKRISTO KUINGIA KANISANI NA VIATU,
Mchungaji Rich alitoa maelezo yakujitosheleza,watu wakaridhika nayo,ikumbukwe kwamba kwenye mkutano huo walikuwapo watu wa dini zote,tatizo lilianza muda wamaombezi,maana watu walitakiwa watoe maisha kwa Yesu wawe na maisha mapya-Sasa kuna watu wanaodaiwa kuwa ni waislamu,nao kwa uhuru wao wa kuabudu walionao-wakajongea mbele wakaanza kuombewa-kitendo hicho cha baaz ya waislamu kuikana dini yao na kwenda kuombewa na kusalishwa toba kiliwauzi "extrimists" flani ambao walienda mskitini na kupiga azana ili watu waje msikitini,baada ya watu kufika msikitini ndipo wakajipanga waende kuharibu mkutano ili wengine wasiweze kuombewa-wakafanya hivyo,wakaharibu spika,kujeruhi Mtumishi wa Mungu Rich na mwinjilisti mwingine-kwa hio mchakato ulikuwa hivyo
 
Back
Top Bottom