Mapigano wakristu na waislamu - yametimia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapigano wakristu na waislamu - yametimia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by emrema, Feb 24, 2011.

 1. e

  emrema JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mapigano makali yanaendelea hivi sasa huko Mto wa Mbu Arusha. watu wameumia sana na nyumba kuharibiwa. Ndugu yangu alieyeko mji huo sasa anakimbilia Arusha.

  Source Radio one na private contact with ma bro.

  Inachotaka serikali kinaanza tujiandae haya ndio matunda ya sera chafu.
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kaazi kweli kweli.

  Inashangaza ni kutoka Arusha na sio Zenji.

  Ngoja niombe Mungu aepushe shari,
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kisa cha hayo mapigano ni nini??
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mwenye update, please tupe habari.
   
 5. fige

  fige JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hujaeleweka Mkuu
   
 6. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  lete habari iliyokamili sio kukimbilia tu kupost
  toa sababu ya hizo vurugu nini ni?
  na chanzo chake ni nini?
  isije kuwa ni ugomvi tu wa majirani:usa2:
   
 7. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Safi sana mpaka maaskofu watakapo elewa kuwa waislam nao wana haki ktk nchi hii.
   
 8. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  ippmedia pia wameweka habari kuhusu hayo mapigano.


  Tunapoelekea pabaya na haya yote yameanzishwa kwa maneno maneno ya udini wakati wa kampeni.Mungu atatunusuru.
   
 9. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Safi kuuana??? We kama una hamu ya kuuana si uende afghanistan kwa maghaidi wenzio bana... Acha kutuharibia nchi yetu bana.
   
 10. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  we jamaa waajabu sana, unafurahia watu kupigana, nenda iraq ambako mmezoea na iman zenu za kujilipua mkisingizia mungu ndo atawapokea kuzimu.
   
 11. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  na mimi nemesikia eti waislam VS wakristo. eeh mungu tuepushe na hili balaa
   
 12. m

  mams JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Si kawaida ya Watz, mlioko huko tujuzeni
   
 13. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kwani Maaskofu ni viongozi wa deen ya Muham-mad? Or you just need their clergy consent! You wont get it.
   
 14. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Nilitoa angalizo...kwamba tutatukanana...tutakashifiana...uvumilivu utatushinda na mwisho tutachinjana...Uisilamu,ukristu zote ni dini za kumcha Mwenyezi Mungu...Si utu kwa Mwisilamu ama Mkristu kuinuka juu ya mwenzake..kwa kua baada ya maisha haya kila mmoja atasimaa mbele ya Mwenyezi Mungu siku ya kiama kwa ajili ya kutoa hesabu zetu...
   
 15. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hv hao wachungaji wameshindwa kuhubiri Injili ya YESU KIRSTO anaenda kwenye kuruhan? Bila shk ngoja niingie kwenye maombi MUNGU akanusuru hali ya anga hizo na Watanzania kw ujumla
  K
   
 16. peck

  peck JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 220
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  chanzo nini?
   
 17. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kama hayo mapigano yataendelea binafsi yataniathili sana kwani marafiki zangu na jamaa zangu wengi tumetofautiana dini.
  Lakini ndio kampani moja, tunaongea, tunafurahi, tunasaidiana yaani ni kama ndugu.
   
 18. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  [​IMG]
  Breaking News
  • Yamezuka mapigano kati ya Wakristo na Waislamu huko Mto wa Mbu Arusha. Makanisa 2 yaharibiwa,wachungaji 2 wajeruhiwa.
   
 19. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Jinga hili..... Mwili kontena akili kisoda, eti linafurahia mapigano, wakati lenyewe hata siku moja halijawahi kwenda kuwapiga hao wasioelewa haki!
   
 20. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  We ndo mjanja... Sio kushabikia dini kipumbavu! Undugu kufaana na si kufanana, thats why Mengi na Matonya wanatofautiana sana ingawa wote dini moja!
   
Loading...