Kaka MSHANA, 1Yoh 3:8,atendaye dhambi ni wa abilisi,kwa kuwa ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo kwa kusudi hil mwana wa Mungu alidhihirishwa ili azivunje kazi za shetani.
Dhambi ni uasi na shetani aliasi, kwa hiyo kazi lake kubwa kutushawishi tuasi twende Motoni pamoja naye,kaa ndani ya Yes na umuombe akushindie peke yako huwezi.
Nimeona watu wengi wasomi wanajaribu kuproove mambo ya roho na elimu,saikoloji,hekima zao nk,huwezi Mungu utamjua kwa neno lake tu, Zab 25:14 "siri ya BWANA iko kwao wamchao. Nate atawajulisha agano lake"
Ukifungua mlango wako roho za ibilisi ikakuingia lazima utatenda dhambi kwani mapepo yanasubiri yafanye kazi yaliyotumwa na baba yao Lucifer