Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,103
- 5,030
Na wewe utakuwa umenaswa na pepo la upumbavu; kuasi kanisa maana yake nini; kama sio udini: Mwite fool kama kavunja mapenzi ya mungu na amri zake; sio kwa kete ya udini ama ukanisa. Ukanisa ni kama vyama vya siasa vinavyotafuta kuingia mbinguni;Tehee...teheee...tihii ! Fool ni wewe na huyu mjombako mlio asi Kanisa !:becky:
hivi unaweza kujivunia involuntary action mkuu?Halafu watu wanaona Ni sifa kuwa hivo
Mcharo son kwenye kitabu cha mithali kuna mstari unasema "Ni heri kukutana na mnyama mkali kuliko kukutana na mpumbuvu katika upumbavu wake
hivi unaweza kujivunia involuntary action mkuu?
Kuna nguvu maalum ambayo wewe huwezi kuikwepa, lazima tu uifuate.
Tofautisha nguvu ya kwenda safari kwa mfano ambayo unaweza kuiahirisha, na nguvu ya kupiga chafya!
Different..
cc unknown.
unamjua ishmael? yeye coment zake ziko vipi?Jamaa angu mbna unataka kuharibu thread yetu.... Ww unapenda sana kulumbana mambo ya dini na sijawahi kuona comments zako kwenye thread za kawaida ww kuponda dini ya wenzako tu...k
Hivi ni pepo au mashetani? Peponi si ndio huko mbinguni au?
Mi nahisi yote hayo yanachangiwa na Pepo moja kuu ambalo ni TAMAA...ukiwa na tamaa utakuwa muongo, mwizi, mzinzi na mengne ya kufanana na hayo...!!
mie nina pepo namba5 kaka mshana jr niombee mwenzako
Tamaa mbaya ndio baba wa mapepo hayo,yanayotumwa na shetani.
Maana kuna tamaa nzuri pia!
Mshana naomba unieleze matendo mema ni yepi?Hakuna cha kufanya zaidi ya kuishi kwa kutenda yaliyo mema kwakuwa kila kitu kimeumbiwa mbadala wake
Itabid tamaa nzuri tuitafutie jina zuri maana hili linaloanza na tamaa linapungukiwa kaupako Mkuu..!!
katawa matendo mema niMshana naomba unieleze matendo mema ni yepi?
nawezaje kujua kuwa haya ni mabaya na yale ni mema?
mf kwenye jamii ya mashoga ushoga ni jambo jema lkn kwenye jamii nyingine sio jambo jema.
Pepo la DINI. Yes I mean it.1.Pepo la uongo
2.Pepo la uzinzi
3.Pepo la pombe na madawa
4.Pepo la wizi
5.Pepo la kisasi na malipizi
Haya ndio mapepo matano makuu tunayoyaabudu na kuyasujudia kuliko hata dini na imani zetu; ni mapepo yaliyotukamata hasa. Pepo la uongo likiwa ndio kubwa lao. Hakuna ambaye si muongo, mwizi, mlevi nk, hata ukikuta mmoja hana pepo hili basi utamkuta na pepo/mapepo mengine na wengi wetu tunayatumikia kwa utiifu mkubwa kabisa lakini bila ridhaa zetu tuko chini ya himaya zao.
Chunguza maisha waishiyo watu, mambo wafanyayo nyuma ya pazia na vile wanavyojiweka mbele ya kadamnasi utashangaa mno. Tuna watu ambao hawapitwi na Chupi wala suruali, kuna watu ambao bila kupata japo tusker baridi hawawezi kupata usingizi, tuna watu ambao wana mali nyingi tu lakini ameshazoea kuiba, yeye asipoiba anakosa amani kabisa, anaiba hata visivyoibika.
Kuna wale ambao wasipodanganya wanaugua kabisa, anadangaya familia, kazini, mtaani kwa jioni boss wake yeye anadangaya tu. Ni pepo sio yeye.
Haya yote yameleta matatizo makubwa kabisa tuliyonayo duniani kwa sasa. Visasi na malipizi vimeleta vita visivyoisha, ngono, wizi na ulevi vimeleta matatizo si haba.
Cha kushangaza ni kwamba ukiacha pombe labda na sigara wengi wetu hatuko tayari kuyasema waziwazi mapepo yetu.
hivi unaweza kujivunia involuntary action mkuu?
Kuna nguvu maalum ambayo wewe huwezi kuikwepa, lazima tu uifuate.
Tofautisha nguvu ya kwenda safari kwa mfano ambayo unaweza kuiahirisha, na nguvu ya kupiga chafya!
Different..
cc unknown.
Haya mapepo matano ndio yanatengeneza ukoo mzima wa hao wote ukichanganya na husuda,choyo, majivuno,uzandiki ma mambo yote yafananayo na hayo