Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
[emoji848][emoji848][emoji848]Naona sasa mapenzi yameanza kusingiziwa vitu vya uongo kama anavyosingiziwa(ga) shetani.
Unakuta mtu kaachwa (hiki ndio kinachomuumiza) ila utakuta anasingizia mapenzi ndio yamemuumiza.