Kwa sababu unazoPesa hainunui msamaha, Wala haitengenezi thamani ya moyo ila inatengeneza thamani ya mwili,
ndiyo maana unaweza sema unapendwa kumbe siyo,Bali unatimiza mahitaji ya mtu.
Kama hakuwa na nyumba atajenga.
SawaNi sehemu ya maamuzi yako
Mkuu, usitafute kutambua kanuni , we tenda kama ni vitu vya kawaida tu ( routine). Nakuhakikishia atakua anakuona wewe ni dhahabu safi kupita zote duniani; Hawanaga kanuni hao...Ahsante mkuu,waweza kuwa navyo vyote ila ukashindwa kuzitambua kanuni
Mtu anapojiua kisa mapenzi hapo hasara ya nani na faida kwa nani.?Usilolijua sawa na usiku wa giza
Mkuu kweli mapenzi yamekuvuruga hadi mwandiko umevurugika!
Mimi haya sikubaliani nayoUkitaka mwanamke akung'ang'anie na kukupenda kwa dhati;
1. Mpe surprise za upendo kadri muda unavyokuruhusu.
2. Usimsimange/ usiwe na gubu kwake.
3. Mwambie ukweli pale unaposhindwa kumtimizia kile anachoomba.
4. Muombe msamaha haraka pale utakapokua umemkosea.
Mbali ya hapo ndio huja hizo kauli za " mapenzi huumiza ".
Hayajakupata. Omba uishi ivoivo Lkn siku utampata wako akuponyoke utajuta kumjuaWanaokufa kwa ajili ya mapenzi ni ujinga wao wenyewe
Lkn kwanza upitie mapenzi. But km hkuwahi kuyajua maumivu yake ni mara 10Kuna ka stage ukifika hautaona mapenzi yanaumiza, utakuwa unajionea sawa tu katika jambo lolote.
Kitu pekee kitakachokuwa kinakuumiza kinaweza kikawa ni njaa tu na magonjwa mbalimbali
Aaah! Bado mpenzi wake ni vidole ukiona vidole laini vya watu mbali mbali hasa wadada unasisimuka mwili. Ukawii kusema "nitie Dole baby"...Ni sehemu ya maamuzi yako
Heee!!! Kweli bado mutoto hayo ni kwa mzungu lkn mbantu?Ukitaka mwanamke akung'ang'anie na kukupenda kwa dhati;
1. Mpe surprise za upendo kadri muda unavyokuruhusu.
2. Usimsimange/ usiwe na gubu kwake.
3. Mwambie ukweli pale unaposhindwa kumtimizia kile anachoomba.
4. Muombe msamaha haraka pale utakapokua umemkosea.
Mbali ya hapo ndio huja hizo kauli za " mapenzi huumiza ".
Nasemaje upendo hauna kanuni ni vile unajiskia moyoni umtendee nini mwingine iwe ni kielelezo cha kumpenda but mwitikio wake unatofautiana kulingana na mtu na mtu, mwingine atarespond positive kwa namna unavyomuonesha upendo wako kwake lakin pia mwingine akaonesha respond ya tofaut kabisa japo ulihisi ulichokifanya kililenga kwenye upendo na wala si kingine
Hisia za mtu kumpenda mwingine na ziheshimiwe, maana upendo ili uongezeke inategemea pia na anayependwa anamuitikio gani,binafsi sionesh kujali sana kwa anaenichukulia poa jinsi ninavyowekeza upendo kwake