Mapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana

baharia 1

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
1,255
1,268
Mapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana

Betrayed

Kuna wakati unapenda lakini bahati mbaya unayempenda hayupo tayari kwa upendo wala kuelewa hisia zako, inaumiza sana.

Mbaya zaidi una cheatiwa na watu wa karibu inauma. Nimependa lakini naumia sana. Natamani itokee siku mpenzi wangu abadilike na kuelewa maana ya upendo japo alipe penzi letu thamani walau kidogo.

Mwenyezi Mungu naomba nizidishie uvumilivu

1656923471658.png
 
Pole sana Chief, sometimes ukisikia mtu amemjeruhi Mpenzi wake Wala usikimbilie kuhukumu.
 
Easy usijilazimishe utazeeka vibaya asikubabaishe, labda hufiki kina mpenzini ndiyo maana unaachwa matatani.
 
Cheating on her will help you from being obsessed with her minus paranoia.

Cheat on her today to protect your sanity.

Mwamba unatakiwa ku-graduate from kulia lia baada ya kuumizwa.

A man who is in love is a defeated man.
 
Back
Top Bottom