Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Wanatengeneza mazingira ya kuwasumbua watoto, wazaz wao wameshaona shida wao wamezama kwenye hubba hawaon shida.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwakweli.
Mtu unadini kabisa inayoamini katika Mungu alafu ufunge ndoa ya kipagani kweli!!!Wanatengeneza mazingira ya kuwasumbua watoto, wazaz wao wameshaona shida wao wamezama kwenye hubba hawaon shida.
Yaani mnakaa mnaambiana mtaoana ndoa ya serikali?Kwanza wazaz mbona wanaweza kuungana kuwatosa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu unadini kabisa inayoamini katika Mungu alafu ufunge ndoa ya kipagani kweli!!!
subiri yakukute ndo utaelewaUnampataje mtu ambae sio sahihi kwako?
kweli kabisa .yaani x wangu atakufa macho waziNilitaka kuanza Uzi ila naona umegusa yale ambayo nilitaka kuyasemea..
Uliyosema ni kweli,kweli kabisa.... Na ndomana ndoa nyingi hazidumu kutokana na hizo KARMA ambazo tunafanyia wengine
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda wanavuta sigara bwege.
Kwakwel hivi vitu unamuumiza mtu halafu unafikiri ndo imeishia hapo wewe utaendelea kupetakweli kabisa .yaani x wangu atakufa macho wazi
You cant blame him/her sababu ulimuumizaKuna mwingine unaomba msamaha akusamehe anagoma katakata.Nifanyeje?
Ni kwel ndug yanguKwahio stori yako sio tu kwa upande ulioukusudia haya huwa yanatokea hata kwa rafiki to wa kawaida au ndugu zako au wazazi wako ilimradi kama mtu alikufanyia wema kisha ww ukawa hukusamini eema ule basi yatkukuta tu au kumfanyia mwenzio ubaya Wakati yeye alikutanfea wema itakurudi
Pole ndugu yanguSamahani wakuu am out of content but things seems to overwhelm me. very hard period of time I have in my relationship that's why anaecomment kwa mzaha namshangaa Sana. ila haya maisha ni mzunguko lisipokupata leo litakupata kesho japo laweza kuwa la aina tofauti. nashukuru wote wanaotoa michango ya mawazo.
HatariMna imani zenu za kidini, how comes.mfungishwe ndoa na serikali isiyokua na DINI???!
Mr Pato kila nikikujuza kunicheki unajisahau kumbuka tuliyoyafanya ndugu nicheki plz 0783848802Valentina hivi vitu vipo sem watu hua wanachukulia simple sana, lakini vikija kufumuka kama vilivyofumuka kwa huyo dada wa kwa Prophet Bushiri unakuta its too late and the damage has been done
Wtt mnawaacha wachague wenyewe atakaependa kumfuata baba Poa atakaemfuata mama nae Poa tuuNdoa ya serikali alafu watoto watasali wapi au serikalini?
Unamuacha achague akiwa na umri gani? Maana msingi wa dini mtoto anajengewa tangu ananyonya.Wtt mnawaacha wachague wenyewe atakaependa kumfuata baba Poa atakaemfuata mama nae Poa tuu