Mapenzi yanauma, usishangae mtu kufanya maamuzi magumu

Mapenzi yanauma, usishangae mtu kufanya maamuzi magumu

Hamna njia ya kumsahau,we vumilia miaka 2 ifike utamsahau tu.
 
Daah hii vita nikiishinda nitatoboa
Kwanini ushindwe? Je uliumbwa uje kuteseka kisa mtoto wa mtu hapa dunia, grow up, maisha yakusumbue bado mapenzi yakutese, faida chache kuliko hasara hiyo biashara ni ya kupiga chini
 
Naenda kusema kwa Extro, wee haya tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tatizo mlaku sana yule hanipagi tamu simtaki tena mie 😂😂🙈🙈

Afu wizo kapigwa BAN jamani 😂😂😂 nimemmissss sijui anatumia ID gan nyingine jaman wanamuonea my WIFII 😂😂
 
tatizo mlaku sana yule hanipagi tamu simtaki tena mie [emoji23][emoji23][emoji85][emoji85]

Afu wizo kapigwa BAN jamani [emoji23][emoji23][emoji23] nimemmissss sijui anatumia ID gan nyingine jaman wanamuonea my WIFII [emoji23][emoji23]
Wee wizoo wako mbona yukoo kwa vazi jingineee, [emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu tulia kwa extroo bhanaa wee,
 
Shida ni moja tu unatamani kuwa na mtu unaempenda wenginee wote huwaelewi Halafu huyo mtu hana mpango na wewe

Kuna muda unawaonea wivu wenzio wenye wapenzi wao mpaka unajiuliza au Mimi ndio nimewekwa Kama mfano wa wanaoteseka na mapenzi...
Tuma picha tuone shida iko wapi
 
Shida ni moja tu unatamani kuwa na mtu unaempenda wenginee wote huwaelewi Halafu huyo mtu hana mpango na wewe

Kuna muda unawaonea wivu wenzio wenye wapenzi wao mpaka unajiuliza au Mimi ndio nimewekwa Kama mfano wa wanaoteseka na mapenzi...
Pole
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom