Mapenzi yanauma jamani

Yeah kuna muda unaeza kuwa mgumu sana ila kuumia hakuepukiki hasa ile hali ya kuliana buyu huwa inauma sana tu lakini ukijiweka busy sana na ufute namba yake na kuhakikisha haumuoni sehemu yeyote wiki moja tu unamsahau mazima
 
Sio nlikamatwa
Ila n kwakua hua sipendelei kua na mtu zaidi ya mmja
Namaanisha ulimpenda...ndio mana ulivyoyumbishwa kidogo tu uliyumba kikweli kweli. Alafu kama mtu hujampenda kweli na akawa analeta mapicha picha unaumia vipi sasa yule ulimpenda yaani ulikamatika.
 
Normal sio completely kama hivyo
Sababu siwez kumpenda single m wakat najua kabisa
 
Mpe Hela,mpe pesa,Naaam! Mpatie vitu anavyopendelea

That's the point..
Ukitimiza hili,, hayo uliyoongea juu yataenda kirahisi sana...

Ukweli ni Siku zote kwenye mapenzi make sure wewe ndio Dereva...uwe na uwezo wa kuamua brake utapiga wapi,, na wapi utasimama...
ni muhimu kujua kupindua meza..
Otherwise lazima ulie...
 
Pole mzee, sema next time usimsusie demu we pambania Kombe hadi akae kwa line, ona sasa umekuwa single mwenzio huyo anaenda kwa mwingine

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Dah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.

Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.
Mwanaume kaumbwa kupenda, so big up! Kwa kupambania penzi lako

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Basi mimi ni mtu wa ajabu

Maana pale tu mwanamke anaponisaliti nachowaza sio misamaha wala kukaa chini kuzungumzia

Nachowazaga ni kuachana tu

Sijawahi kuwaza hata km naweza siku kukaa chini na mwanamke kujadili usaliti wake..

Najiuliza hata km mb** itasimama nikilala na mwanamke msaliti ili hali najua kabisa
 
hiyo point namba 6, wanawake wengi skuiz ndo zao. Sasa hapo mnakuwa hamna tofauti na wale wauza ngono na wanunua ngono. (Heri wao hawana stress za mapenzi.)
 
Hahah pole mzee aya makitu yanauma aisee ata uwe kicheche aje lkn unaempenda aki shake lazima usheki na ww
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…