Mapenzi yanauma jamani

na yeye huko anapitia hali kama yako.
Huyo usimtafute kabisa
 
Kwanini unataka pesa za wanaume wenzako mkuu?

Huoni kwamba watakushikisha ukuta kirahisi sana aisee.

Take care mkuu.
Mie muuza majeneza, sasa msipotafuta pesa mnafikiri nitakula polisi?
 
Ukiwa mzembe kihisia hivi hakuna mwanamke atakulewa. Unakuwaje mzembe hivi?! Ina maana kichwa chako kinawaza mapenzi badala ya maisha sasa mwanamke gani atakuhitaji wewe?!
 
afu ninyi ndo wanaume legelege nyie, mnatuaibisha wanaume. Unalialia nini mtoto wa kiume, acha mambo ya kishoga, tafta mwingine wanawake wapo kibao mpaka kero.

Mwanaume unatakiwa uwe mgumu na maamuzi na msimamo.
point noted.
 
We fala kweli, demu kishakuonyesha kuwa ni kicheche na bado unataka akurudie....si bora ukanunue tu Wahaya wa Tandale, ujichapie bila kujipa stress za kujitakia.
 
He he he he he,,,humu jf wangetupa option ya ku attach gif ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ kama whatsapp!

Muhuni anakula ubatizo wa moto shenzi type! Mapenzi hayana komandoo unalizwa chap
 
Nilishaapa ,, nitalia kwa kitu kingine au kupigwa ila sio nilie kisa mapenzi... So God help me

MรŠmENtO HoMO
Ni swala la muda tu mzee na uzi utauleta mwenyewe hapa! Walikuwapo wajanja kama kina Napoleone ila nao wametubu jukwaani ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… japo walikazaga kuwa kulia haiwezekani๐Ÿ˜…
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ