Mapenzi yanauma jamani

Naona hekma yako ni ndogo dada,usioneshe hasira jinsi hii,matatizo huwa yapo pande zote,hata kwetu wanaume tunakutwa na changamoto kama hizi!Mshauri ajiangalie tu na ajipime!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
well said. ukiachwa jitathmin umeachwaje na ilikuwaje na kama tatizo ni wewe jirekebishe.
 

Ushaanza kilimo cha mbaazi bibie....?
 
Pole sana tatizo lenu wanawake ni wepesi kusahau! Umechelewa kujua kuwa si kila uhusiano lazima hudumu mi lele! Kwenye kila kinacho tokea kwenye maisha yako unatakiwa kujua huwa kuna sababu mbili inaweza kuwa ni baraka au funzo!

Pole sana hayo ndio maisha!
 
wanawaĸe мda мwιngne мnajιѕaнaυ ѕana....υмewaнι ĸυjιυlιza ĸwaĸo anaĸoѕa nn???
 
Pole sana dada futa machozi endelea na safari, japo inauma lakini jiulize je kabla yake ulikuwa unaishije? Miaka mitano ni michache sana kumbuka una safari ndefu. weka kipaumbele kwenye kutafuta maisha uwe busy then atakuja ambae atakufuta machozi na utasahau.
 
Samahani lakini, sijui nimekuelewa vibaya..

Umesema una mke, halafu ulikuwa na mdada mwingine (mchepuko) ambaye ulimkuta ana elimu ya darasa la 7 ndo ukamsomesha hadi diploma? Afu baadaye akakutukana na kukukana na after 4 years amenyorodoka?

Baada ya hapo umepata mchepuko mwingine ambao umedai unaishi nao vizuri sana, right?
 
Pole sana. Huwezi jua mungu kakuepusha na nini. Kubali na move on. Wapo wengine bora zaidi yake ni suala tu la muda
I agree i remember tha frst tym i almost killed ma self coz ov em..!!! Bt tnx to God he shown me the right path..!!! My dear all i can say is that time is the only best healer..!!! Utapata furaha n faraja moyon mwako
 
Picha yako plz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…