Sasa kosa lake liko wapi, wewe si ndio uliyemwacha? Sumu huwa hatujaribu kwa kuramba
Nilishapenda mkuu lakini nilishinda kwa mbinu nilizokupa hizo najua unaumia sana but you a man ni lazima ushinde.
kwenye karne hii bado unakuwa na mapenz ya kwel kwa mwanamke. mkuu mwanamke sio ndugu yako. kwa Tanzania ni poa tu ukiacha ila uku korea mtu akuachi atalipiza kisasi ata kama itamchukua miaka kumi ila ipo siku atalipiza kisasi
Mimi nakushauri tu ujimalize tena jiue kabisa, ukitaka kufikia uamuzi huo naomba unitafute maana shughuli mojawapo nizifanyazo ni kuuza sanda, majeneza na kuchimba makaburi.
Kuna watu hamjui thamani ya uhai wenu, maisha na uhai wenu mmeuweka rehani kwenye vitu vidogo kama mapenzi au mmewakabidhi watu mioyo yenu.
mkuu hawa sio watu! Sasa hivi ni usikionee huruma kiumbe usichokizaa ni mwendo wa kuwapiga mimba tu, pambaaaf
Habari za asubuhi wana jf wenzangu,
Mwenzenu mapenzi yananinitesa mpaka muda mwingine nafikiria kumdhuru aliyekuwa mpenzi wangu na kujidhuru mimi mwenyewe.
Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu katika uhusiano kwa miaka 2 na nilishamwambia kwamba mwaka 2014 ndo tutafunga ndoa,,lakini gafla mpenzi wangu akabadilika hali iliyopelekea mm kumwambia tuachane,,lakini baada ya siku mbili nikaona uamuzi niliofanya siyo sahihi,nikarudi ili tuyamalize na hapo ndipo alipogoma mpaka leo hataki kurudiana na mm.
Kuna kipindi nilipandwa na hasira mpaka nikamtishia kisu,nimejaribu kumsahau lakini nimeshindwa kuishi bila yeye,nimemuomba radhi sana lakini ameendelea kushika msimamo wake kwamba hawezi kurudiana na mm na tuwe marafiki tu.
Muda mwingine nafikiria bora nimwagie hata tindikali tu ili na yeye asikie maumivu kama ninayopata mm,,kwa kweli nimehathirika kisaikolojia mpaka nashindwa kula wala kulala.
Naombeni ushauri wenu jamani.