Mapenzi yananitesa jamani

kaka ukiona mwanamke kabadilika ujue tayari kuna mtu mwingine anadate naye keshabadilika so hauna haja ya kuumiza kichwa uamuzi uliofanya ni sahihi ,fanya mazoezi kila jioni au asubuh kichwa kitatulia na utapata mwingine hacha mawazo ya ajabu hayo kwani alikuwa ndo mtu wako wa kwanza nn mpaka upagawe hivyo
 
Ndio maana tunaambiwa oweni pindi mmnapopata mchumba saaasa kazi kwako nenda katafute mwingine au rudia hayo hayo kutembea na wtt wa wa wa2
 
"Mapenzi yananitesa jamani" na wewe YATESE!!!.. kwenda uko amekufa Mandela utashindwa wewe?..lakini asante umejitambua kuwa una matatizo kwenye ufahamu na kuna nguli humu ndani anaitwa Mtambuzi kakae nae chemba atakusaidia manake wengine siye huwa hatuamini hiyo kitu mnaiita SAIKOLOJIA..
 
Mwanamke akikukataa nyoosha
mikono juu,juwa kuna kitu umekiepuka mkuu,kubal kuanza maisha mengne
bila yeye,inawezekana.

the great post of the year 2013 una busara sana mkuu much respect
 
"Mapenzi yananitesa
jamani"
na wewe YATESE!!!.. kwenda uko amekufa Mandela
utashindwa wewe?..lakini asante umejitambua kuwa una matatizo kwenye
ufahamu na kuna nguli humu ndani anaitwa
Mtambuzi kakae nae chemba atakusaidia
manake wengine siye huwa hatuamini hiyo kitu mnaiita
SAIKOLOJIA..

acha post za kijinga tumia akili mwenzio anamatatizo alaf ww unaleta upuuz haya ndo madhara ya division 5 kudadadeki
 
shalolizo, kosa ulilofanya ni kutoa kauli ya kumwacha. Na hiki ndio chanzo cha maumivu uliyo nayo. Ukiona mwenzako kabadilika njia bora zaidi ya kudeal na moyo wako ni kumpotezea kimyakimya. Ingia kipindi cha mpito (transition period) ambapo uko somewhere in between, yaani hamjaachana na pia hamko pamoja. Kipindi hiki ni muhimu katika kupoza moyo wako kwa sababu lile wazo la kwamba kuna uwezekano wa kusolve matatizo yenu na kusonga mbele litakuwa kama tiba maumivu ya moyo wako. Wakati wa kipindi hiki wewe endelea na shughuli zako na graph ya maumivu ya moyo itashuka kila siku jinsi unavyojichanganya na watu katika mishemishe zako, Mwishowe utampata atakayetibu kabisa moyo wako.
 
usirudie tena kusema usichokimaanisha...kubali ushamkosa angalia mbele utapata mwingne
 
acha na huyo binti,yaani ukifanya makeke mkarudiana kwa sasa penzi lenu haliwezi kudum.hvo achana naye mapema.
 
Mh, kwa hizo hasira zako za kumshikia mwenzako kisu hata mie ningekuogopa na kutukukubali kurudiana... Pia hiyo ishu ya kufukiria hadi kumwagia tindikali kiukweli imenitisha! Unaoneka huwezi kukontrol hasira zako. Ili kujiepusha na majanga, nakushauri kwanza achana na huyo dada, jipe muda uache kdg mambo ya mapenzi, relax, naamini utampata atakayekupenda kwa dhati na pia kwa upande wako jitahidi kujirekebisha na uwe unakontrol hasira zako na uamini kuwa likuepukalo lina kheri na wewe so achana na huyo dada, utajaaliwa meingine inshaallah!
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ndiyo hayo unayotaka kufanya ndugu/rafiki/mwenzetu wa hapa jf.Hivi huyo mwanamke we ndiyo wa kwanza kuondoa usichana wake? Hata kama ni ndiyo huyo kwamba dem mwenye hakupendi na inaonekana kampata mwingine mtamu kuliko wewe.Usipote muda kwa mtu ambaye hakupendi.
 
tatizo ni kwamba hujapata replacement watu wa namnahiyo ili kuweza kuwasahau kuwe practical and real lazima ufanye replacement tena uoe straight utashangaa hata-evaporate, ila ata -sublime straight from solid to air au kuna msemo unasema ( disappearing in thin air)
 
sitaki nataka
imekuponza pole kwa hasira hizo hata ningekuwa mie ningekimbia kabisa
nani anataka kuuliwa dada anapenda maisha yake hawezi kuyaweka
rehani

it is a great point! sitaki na taka haifai in this world of digital jamaa kabeep akapigiwaaa! it is better atafute mwingine women are so many cha msingi ni pesa na smartness mbona atawachinja kama kangaroo!
 
Shukuru Mungu yametokea mapema kabla ya ndoa,Mke mwema hutoka kwa MUNGU.
 
now nina 29,,nilifanya uamuzi huo sababu niliona mambo yanaenda sivyo maana niliona kabadilika tofauti na nilivyomzoea,,nimekaa nae sana lakini hana sababu maalum

Nduhu shalolizo, tunapitia swala hilo hilo kwa mda huo huo. Mimi nimefikira hadi kumpiga picha za utupu nimtangaze. Lakini ah mwishowe najiuliza hivi nyamgluu ndio nimejishusha thamani kiasi hiki?? Inauma balaa hasa ukiwa umejipanga kuwa ndio wa kuanza nae maisha.
Halafu ukiuliza sababu yeye mwenyewe anasema sijui!! Hehehe sasa kama mtu hajui mtarekebisha nini.
Piga moyo konde with time maumivu yataisha tu amini hilo sababu mimi naekwambia yamenikuta kama wewe sema mimi walijaribu kurudi ila akili yangu iligoma japokua moyo ulitaka asilimia 200.
Ndugu niamini, hakuna mabinti siku hizi. Sio sisi wanaume sio wanawake wote tuko hovyo tu.
And NOBODY NOBODY has a solution!! Sio hela,sio kugonga vizuri na wala sio dini. Labda uchukue mwanamke umfungie ndani kama waarabu au wahindi matajiri hivyo hata kama upendo ukiisha hana ubavu wa kwenda kokote wewe unamzalisha tu.
 
heeeeh! umdhuru wa nin mwache jamn si hakupendi kubal yaishe yaan unakasirika wakt wanawake tupo kibao huku njoo nikufariji
 
wewe mapenzi hayakutesi, acha uongo kabisaa! yangekutesa zaidi ungeshajiua!
 
Back
Top Bottom