Mapenzi yananitesa jamani

jiweke busy,jitoe out,jichanganye na matafiki usikae mpweke soon utasahau kila kitu ikiwezekana choma kila kinachomhusu ambacho bado unakimiliki
 
dunia ndo inaenda ukingon bidadas ckuiz mkikorofishana anamkubal aliyekua akimtafuta,ila akitendwa ndo anarud.nilipo kuna dada 2napanga nae walikorofishana na mwenzie kamkubaliajamaa jamaa kapiga alafu kaacha.karud pa wal leo et wanakutana jamaa ajui
 
hujamsahau kwa sabau unaendendelea kumbuka na hutokaa humsahau kama bado hujaamua.,cha kufanya futa contact yake acha kabisa mawasiliano yake,mblock katika social network yeyote mliokuwa mna interact,kama ulikuwa una kaa nae karibu hama kaa nae mbali kwa kifupi fanya kila uwezalo usahau existance yake,from there ndio utakuwwa upo serious kwamba umejitahidi kuachana nae. na kumsahau
 
Mimi nakushauri tu ujimalize tena jiue kabisa, ukitaka kufikia uamuzi huo naomba unitafute maana shughuli mojawapo nizifanyazo ni kuuza sanda, majeneza na kuchimba makaburi.

Kuna watu hamjui thamani ya uhai wenu, maisha na uhai wenu mmeuweka rehani kwenye vitu vidogo kama mapenzi au mmewakabidhi watu mioyo yenu.
Naona unaendelea kutoa dozi kwa wavulana.
 
Wewe ----- kweli mademu kibao tena wakareeeee kinoma hawana watu wewe unaangaika na morijo aka shangazi jitambue wewe au umelishwa limbwata? Abbas kubafu.
 
Me naona hata kazi kumshauri shalobaro maana naona hana future!
kanunue kwanza tindikali halaf uje tena uombe ushauri!
 
Ulilianzisha wkt huna pa kukimbilia..... Haya sasa komaaaa. Mapenz ya kugandana hayapo siku hiz ni mguu mmoja ndan mwingne nje. Usijarib kina cha maji kwa miguu yote. Mpotezeee utapata wako.
 
Back
Top Bottom