Mapenzi yananitesa jamani

Pole sana aisee. Ila kumbuka kuwa wakati mwingine blessings huja kwa staili hii. Hujui MUNGU anakuepushia nini kwa yeye kukataa kurudiana nawe. Usije juta baadae bure. Kuhusu kumdhuru na kasha kujidhuru mwenyewe, please hebu acha ubinafsi usijifikirie wewe tu, huna ndugu ambao wataumia sana kwa kitendo utakachokifanya cha kujidhuru? Je ukimdhuru ukaishia jela huoni kuwa utakuwa umewakosea sana wakupendao? Mimi ninakupenda ukijidhuru utaniumiza sana na mimi.
 
Huyu mkaka ana makosa mengi japo wengi wamemshauri wanawake ni wengi. Kaka usije kutishia mpenzi wako unaempenda kuwa utamchoma kisu mara oh tumeachana mara unarudi tena. Hata kama ni mimi siwezi kurudiana na wewe. Hivyo basi makosa ni yako wala usimlaumu huyo dada. Siku nyingine usipende kutia nyau sawa ee.
 
mkuu shalolizo,

una umri gani sasa?

kwanini unafanya maamuzi ya haraka namna hiyo? yani from nowhere unaamua tu kuvunja uhusiano then unataka uurudishe?

au ulikuwa under the influence of alcohol?

by the way, kaa na mpenzi wako, muulize vizuri kwanini hakutaki, kisha fanyia kazi sababu atakayokupa!
Sasa hapo amuulize nini mwenzake? Mwenyewe keshasema amewahi kumtishia kisu, maana yake amewahi kutaka kumuua. Ndugu zangu Siku zote maneno yanaumba, ukisema kuna Siku utatenda. Ili mwanamke huyo arudi kwake, ni lazima awe mjinga kweli. Na Siku zote ni tabia mbaya sana mtu mzima ku tishio nyau. Unatishia kumwacha mke huku bado unampenda, matokeo yake ndio hayo sasa
 
pus.jpg
yani navokuhisi upo kama huyu jamaa. tehe tehe tehehehhhh
 
pole sana ndugu. Ila unatakiwa uanza kujipenda kabla kumpenda mwingine. Katika mapenz hilo swala dogo sn. Wat if angekuwa mkeo then akuletee watoto wasio wako?. Move on mkuu.
 
eehhe..maajabu ya mwaka ya sikio kuzidi kichwa......maamuzi ya kumwagia tindikali tena? u know girls are so many find the new one..:panda:
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom