Hapo paragraph ya mwisho umemaliza vizuri kabisa.....hii kanuni ni Bora kabisaMwanamke nilazima amtii mwanaume wake, na utii umebeba taswira kubwa sana ambayo ni uvumilivu unao tokana na upendo.
Shemeji, minaamini kwamba..... mwanaume anapaswa kuishi na mwanamke kwa akili, then ataweka mipango/taratibu na sheria ambazo kazi ya mwanamke itakua niku lain yote yanayo toka kwa mwanaume wake.
Na kiasili, hakuna mwanamke anaeweza kukubali kuishi na kumtii mwanaume ambae hana akili.
Kifo ChemaAshura ni nini ulitaka kutoka kwangu sikukupa, japo sikuwa na kazi ya kueleweka lakini nilipambana kwa ajili yako na mtoto wetu huku nikijipa moyo wanaume tumeumbwa kuteseka, licha ya magumu yote niliamini ipo siku Mungu ataniona.
Ooh, lakini imekuwa tofauti kwangu kumbe hata mtoto uliyesema ni wangu Ashura umenidanganya umezaa na mtu mwingine, bora angekuwa ni mtu wa mbali kumbe ni kaka yangu wa damu na sasa mnapanga mniroge niwe kichaa.
Ashura ahadi zote ulizonipa kumbe ulikuwa ukinilaghai, kumbe mwenzangu kwa kushirikiana na kaka yangu mlipanga kunimaliza na hata kile kidogo nilichokuwa nacho mnataka kukichukua.
Ashura siamini kama ni wewe ndio umekuja kuwa hivi, lakini mimi ndio nilikuwa mpumbavu, walimwengu waliambia kuhusu wewe sasa nitaficha wapi uso wangu mimi!
NI BORA NIFE TU NIKAMPUNZIKE KULIKO KUISHI KWENYE HII DUNIA ILIYOJAA MATESO.
Kwaherini wana JF tutaonana mbinguni kwa Baba.
Mwambie Yesu shida zako, ,,,, nenda kanisani utapata faraja mpya usijiue kwa Jina la YESU, bado tumaini lipo.Ashura ni nini ulitaka kutoka kwangu sikukupa, japo sikuwa na kazi ya kueleweka lakini nilipambana kwa ajili yako na mtoto wetu huku nikijipa moyo wanaume tumeumbwa kuteseka, licha ya magumu yote niliamini ipo siku Mungu ataniona.
Ooh, lakini imekuwa tofauti kwangu kumbe hata mtoto uliyesema ni wangu Ashura umenidanganya umezaa na mtu mwingine, bora angekuwa ni mtu wa mbali kumbe ni kaka yangu wa damu na sasa mnapanga mniroge niwe kichaa.
Ashura ahadi zote ulizonipa kumbe ulikuwa ukinilaghai, kumbe mwenzangu kwa kushirikiana na kaka yangu mlipanga kunimaliza na hata kile kidogo nilichokuwa nacho mnataka kukichukua.
Ashura siamini kama ni wewe ndio umekuja kuwa hivi, lakini mimi ndio nilikuwa mpumbavu, walimwengu waliambia kuhusu wewe sasa nitaficha wapi uso wangu mimi!
NI BORA NIFE TU NIKAMPUNZIKE KULIKO KUISHI KWENYE HII DUNIA ILIYOJAA MATESO.
Kwaherini wana JF tutaonana mbinguni kwa Baba.
Kama anataka simu ya panya pia ipo aseme eletewe
Ashura ni nomaHivi ndo ashura huyu huyu wa diwani lwakatare?
Pumbavu Sana huyo jamaaPole Dogoo!! Nipasie namba za Huyo Ashura nami nione namna ya kufanya Jambo,, ulimwenguni hapa Acha kulialia Dogoo gangamala Haswa Mtoto wa kiume wewe,,tupa kule endelea na maisha ya kila siku ukileta Ufilipino kwenye mapenzi ya kibongo utatapika kamasi,,na Kama umeona kung'ata mbao ndio suluhisho wewe kufa tuu,,Mbona palestina huko wanakufa maelfu Kwa siku na ni watoto na Wanawake hawana hata hatia,,ije kuwa wewe mpumbavu mmoja!!Toa upuuzi wako hapa
Mafii Yakee!!Pumbavu Sana huyo jamaa